Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Mzima kipenzi.. Hofu kwako.Kabisaaa. Na anajua kutunga pia.
Vp lakini mdogo uko mzima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzima kipenzi.. Hofu kwako.Kabisaaa. Na anajua kutunga pia.
Vp lakini mdogo uko mzima?
Na amekupatia balaa😆Ngoja nione hatima ya komamanga maana si kwa lugha hiyo uliyonianzisha...😂
Nawe ndo unashadadia! Ama kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza..😂Na amekupatia balaa😆
Hahahaaa. Pole sana Mtani.Yaani sasa hivi hata kufungua threads zenye Yanga na Simba sitaki kabisa.
Bahati mbaya tu nimekuona nikasema nikusalimie, ila roho inauma.
Mie mzima kabisa my dear.Mzima kipenzi.. Hofu kwako.
Amen Dear.Mie mzima kabisa my dear.
Haya tuwe na siku njema.
Hahahaaa. Pole sana Mtani.
Wewe ni komamanga kweliMkuu hii stori yako haijanitendea haki mi si mkorofi kiasi hicho..😂
Ati komamanga.. walahi hili jina nabadilisha😅
Tulia we kengeee hahaha😎😎😎Kunawajinga huku waitwa kenge na bado wanaendelea kusoma hii story, me imenishinda🚶🚶🚶🚶
Inawezekana kweli nimetukana ila ni katika kujaribu kuakisi life halisi la maisha ya shule lilivyokuwa najaribu tu kufikisha ujumbe kwa akili yangu ndogoNaimani unaweza kuandika bila matusi otherwise mods wawe wamelala..
Unajua kabisa ni kinyume cha sheria za humu.. mods wakiufuta unafikiri itakuwa si sawa..?Inawezekana kweli nimetukana ila ni katika kujaribu kuakisi life halisi la maisha ya shule lilivyokuwa najaribu tu kufikisha ujumbe kwa akili yangu ndogo
😮😮😮🙉🙉Tulia we kengeee hahaha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Part 5 >>>
Tunatoka sasa tukiingia darasani ambapo kutakuwa na disco apo .
Gues what ??
Ndani tunawakuta madj wakubwa that time kutoka kituo cha redio kikubwa kutoka.mjini dar es salaam ..MAISHA FM..
Wakulungwa wengine huko dar hatujawahi kufika huwa tunaskia tu story za jamaa wa bweni hall 5 wa kuitwa MO11 ..huyu kenge pia ni mpiga nyeto mzuri sana ila hamfiiii Kunguru wa Manzese .
OK.nilikuwa nshaanz kuchomeka story za wapiga nyeto hawa maarufu shuleni kwetu...
Basi bhna tuliwakuta DJ matata kutoka huko maisha FM bitoz wa kujiita Nyani Ngabu .na tulikuta kaachia kibao matata enzi hizo.kutoka kwa msanii kutoka Jamaica shaggy kikijulikana kwa jina la "strength of woman".
Wahuni kina Bujibuji ,Mjep ,BAK .
Na mkulungwa yule Lucas Mobutu akikamatia pisi ya kuitwa Khantwe nayo pia imetoka mbeya kwa kina Bujibuji ..
Ghafla dj Nyani Ngabu anachezea santuri yake na kuachia kibao cha bwana misosi " mabinti wa kitanga"
Shit..gues what mpka sasa nilikuwa alone nyege zimepanda ile pisi siioni..!
Yaani mpka komamanga KENZY yeye yupo na pisi yake ya kichaga Lenie .
Za chini ya kapeti pia hapo kumbe Dada mmoja wa kimakonde aitwaye zuhura zingizi..ama maarufu apo shule kwao Joanah alianzisha tifu la.kufa mtu kisa hasa ni jamaa yake wa kuitwa Mikwara Ya Andunje kumzunguka na kutaka pisi ya kaka mkubwa mmoja wa kidato cha 6 aitwaye petro kipongo maarufu kama funzadume ..
Patia mbwa wewe..
Pisi yenyewe kumbe ndio alikuwa hiyo hiyo nnayoitafuta ..! Yeah hiyo hiyo..!
Kwakuwa wakulungwa huwa hatukwami,
Nikamcheki mwamba wa kuitwa niachiemimi ,na msukuma.mmoja mbavu Nene wa kuitwa Cast ..
I'll twende kumaliza ugomvi nimbebe pisi wangu nikambambie mie
That time.dj alikuwa wamoto mnoo kashtua kibao cha jamaa wa kuitwa DNA "banjuka juu"..
Japo huyo Joanah alikusudia kumtoa ngeu jamaake Mikwara Ya Andunje ,na kuunganisha na pisi yangu ile.kumbe nikaja kujua inaitwa Carleen ..!
Wakulungwa wenzangu wawili hao tukamchomoa Carleen wangu ,then tukawaachia msala.huyo Joanah na bwanake.. Week ijayo nilipata habari kuwa huyo jamaa alipigwa sana na pisi yake akashonwa nyuzi 6 usoni..
Mtoto yuko mikononi mwangu sasa ..nipewe nini Mimi ..
Kumbe nae Carleen alintafuta akachoka..!
" hakuna noma.tusakate mama" sauti moja niliotoa ila.yenye mamlaka mtoto akajaaa kifuani ...!
part 6 na ndo tumalizie punda vihongwe nyie