Part 7\>>>
Nikiwa sasa na wanangu Mussa sambongo
KENZY ,zacharia ndepanya
troublemaker ,na bro muhuni mmoja kutoka hall 5 kidato cha 6
BAK ..
"Aaah ***** yaani Leo nitalala mtaroni ..,pisi yangu nimeibambia na kudinya nimedinya what a luck.."
Huyu alikuwa ni komamanga kenzy akijitapa kuwa amemdinya mrembo wa kuitwa
Lenie that time disko ...
Na hiyo ni tabia yake ukute uyu fala na mzigo hajala maana ni domo zege..
Muda huu wote tulikuwa na sare za shule kasoro wa kishua
troublemaker .
Yeye chini alikuwa na raba mtoni kama zangu ,tofauti yake zangu nilipewa na mjomba angu Baharia aliezamia kwa madiba ,,na kurudi na macheni,raba ,za kutosha. Wakati zake trouble maker zilikuwa mpya..
Mpka sasa sijakwambia tunaelekea wapi.
Kurudi shule kama wengine??, "golden chance never come twice"
Huu ni msemo alioupenda kuusema mwalimu wetu ndugu
paschal mayala ..
Na sisi wahuni tuliuzingatia vizuri..
Hatukuelekea na ilikuwa inagonga saa 3 usiku..
Tunaelekea baa moja kwa mama mmoja mama mpangangala maarufu kama
Jael
Bosi wetu trouble maker ana ela alitumiwa na baba ake majuzi kati alipopita kumsalimia before hajarudi kwa madiba.
Una haraka tulia mbwa wewe...!unawahi ndege?
Tunamkuta mwanetu mmoja mule baa anaitwa john mushi elisante tulimwita
MLEVi Mmoja ...
Uyu hakwenda hata shule kule kwa pisi .aliingia baa hapo toka saa 4 asubuhi akipata faru johni kubwa..!
Tunalewa wenyeweeeeee.ila tu usimkorofishe ,hutokunywa tenaa.
"Haya jamani imeshafika saa 4 muda wa loko umepita ,maskini matako yangu yalaaa"
Kenzy alitukumbush apo ilikuwa saa 6 usiku na tumechelewa loko imepita
Kibaya zaidi anaehusika ni mwalimu
Ushimen "mwalimu weka tako"
That time kila mtu aliyaonea huruma matako yake maana kilichofata tulikijua..
"Hey handsome u come upate zaidi ya moto"
Huyu alikuwa ni jimama mwenye baa
Jael aliniita handsome..
Ndio mnabisha ama? Kunya tikiti basi.
Njian kuelekea shule akili zilianza kuturudi sawa baada ya kumkumbuka mwalimu weka tako
Ushimen huyu mzee aliwahi mtandika jamaa wa pcm alieitwa steveni achiko maarufu
steveachi ..
Jamaa aliteguka mshipa wa tako na kushindwa kukaa week nzima ..ila mzee wake na Steve alipotokea apo shule palitimka vumbi fisi wakasomee!
Well now alikuwa anaenda kutulalua sisi .
Kwa kuwa tulikuwa na kawaida ya kuruka fensj na mlinzi wa shuleni pale jamaa wa kuitwa
wa stendi alitujua na hakuwa na soo kwani trouble maker huwa anamuachia ela ya sigara ...
Tulia basi naona unataka tukamatwe na mwalimu weka tako ..acha uchawi mbwa wewe..
Well naanza Mimi napanda kweny mti uliopo kwa nje then narukia ndani ya fence ,puuuh!, kishindo kinaskika najiweka sawa.
Anafata trouble maker kisha komamanga
Ghafla puuuh! Yalaaaa, kiuno changu nafwaaaa!
Alikuwa ni uyu boya
MLEVi Mmoja kwani aliruka vibaya na kutulia kiuno ..
Uyu mbwa huwa anatukost mnoo.
"Arooo afazari nimewashika ,weka tako haraka tusicheleweshane"
Mama weeh alikuwa ni
Ushimen mwalimu weka tako ..kumbe yowe alilokuwa anapiga uyu nyau
MLEVi Mmoja ticha huyu mkurya alituskia maana bado alikuwa darasani na form 4 akiwajaza matereo ya math madogo walikuwa na necta mwezi huoo.
Guess what? Kumbe komamanga alishajikolea baada tu ya sauti ya mwalimu weka tako ..
Hapo ndo tuliwalaani akina
Makiseo ,
Lenie ,
Khantwe ,japo Mimi sikumlaani asali wa moyo wangu
Carleen ..
Nimlaani nini bhna akati uzembe wetu wenyewe??
Acha ninywe chai ama mnataka nife shenzy??