Chochote kizuri nikimhusisha mama kinakufa

If you believe in God, Mlaani shetani na upambane kutoa sadaka na kufanya amali njema.

Usiruhusu mawazo ya kishirikina. That is your Mom for crying out loud.

Huyo Kaka yako teja Mama yako kumpenda haimaanishi anything other than a Mother's pure love for her kids na ukizingatia hali ya kaka yako.

Praying for you and your Mom.
 
Kuna rafiki yangu nae ni hivyo hivyo nikamwambia mipango yangu tu lazima hiyo mipango ife, hata kama kesho yake ningekuwa na safari na tayari nshajiandaa halafu nikamwambia lazima hiyo safari ife,
Baada ya kugundua hilo Sahiv simwambii chochote
 
tunapowambia kuwa duniani si salama tena huwa mtuelewi. Angalia huyu ashajua tatizo nn lkn haoni njia ya kutokea lkn kama angalikuwa amemempokea Yesu angalikuwa huru na hakuna kitu kingekufa mikononi mwake...
 
Mimi pia nina tatizo hili. Ni mwaka wa pili tangu nifahamu kwamba Kila ninachomshirikisha mama kinafeli. Kwa sasa najikusanya nihame mkoa kwa siri na kamwe sirudi hata nikisikia amefariki siji kumzika.

Nimejaribu ku Link dots hata huu umaskini unaotuandama unasababishwa na yeye.
 

Aisee!

Kweli una hasira.
 
Kuzimu teknoliji ni pana sana
 
Ubaya ni kwamba, usipo muhusisha ataanza kujihusisha mwenyewe. VITA BADO MBICHI.

Nashauri uwe unamshirikisha project hewa ili wakati yeye anashughulika nazo we unafanya mambo yako mengine.

Pia jaribu kuongea nae kama unalalamika hivi, "Mama baadhi ya mambo yangu yanakufa bila sababu za msingi sijui shida ni nini" Mrecord majibu yake yasikilize ndani ya wiki nzima kama ni yeye anakuchezea majibu yake hayatacheza mbali na ukweli
 
Nakuhakikishia

Hesabu 23:23 Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, Ni mambo gani aliyoyatenda Mungu!

Wewe jisogeze kwa Mungu muache Mungu ashughulike naye "perpendicular"
Yaani ukiwa na Mungu unamuambia na bado mzigo wote unabaki kama ulivyo pangwa

Ukikubali na kutii utakula mema ya nchi.
 
Kaa tulia Andika tena , sijakuelewa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…