Chocolate Zamsababishia Wema Sepetu Matatizo Ajisalimisha Kwa Doctor

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo kuozesha baadhi ya meno yake.

Kupitia mtandao wa Instagram, Miss Tanzania huyo wa zamani, ame-share picha akiwa kwenye clinic ya meno kung’oa jino lililokuwa likimsumbua. “Apparently I have 8 cavities….. oh god… does this mean no more chocolate for me” ameandika

 
Jamani eeh haya mbona mambo ya kawaida sana mnajaza server ya JF kwa utumbo huu,andika basi hata kama akata gogo
 
Thise are the problem associated with intesively blowjob!!
 
Daktar mwenyewe ameweka max mdomon kwa kukimbia vundo linalotoka hapo, kila sk kuingiza mi*b*lo tofauti tofaut kwenye kinywa chake hiv domo litaacha kutoka fangas

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
anazisingizia tu chocolate, huyo domo halisugui vizuri, kinywa kinanuka, hausugui ulimi na ufizi...
aaaaghhrrrrr

Hakuna kitu kibaya na kinachomuondelea mtu heshima kama kunuka mdomo kwa uzembe na uvivu wa kusafisha kinywa vyema mpaka unafikia hatua ya kung'olewa meno..awe mwanaume au mwanamke..!
 
Kwakweli huyu kaishiwa scendo so ameamua atafute kwa nguvu kumbe anajizalilisha. Puuumbavu
 
Huyu binti anapenda media hadi basi,kila week lazima auze sura tu anaogopa jamii itamsahau au ndio masharti ya sangoma?
 

Usikute kazoea sana kumung'unya bichwa la kambare, sijui lakini kama mmenielewa namaanisha nini!
 
tupunguze utumbo jama jf cyo sehemu ya kujadili fungus za mdomo we need 2 post sensitive issues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…