MaxShimba
JF-Expert Member
- Apr 11, 2008
- 35,771
- 4,065
CEO wa Endless Fame Films, Wema Sepetu amelazimika kujisamilisha kwa daktari wa meno baada ya ulaji wa chocolate kumponza na hivyo kuozesha baadhi ya meno yake.
Kupitia mtandao wa Instagram, Miss Tanzania huyo wa zamani, ame-share picha akiwa kwenye clinic ya meno kungoa jino lililokuwa likimsumbua. Apparently I have 8 cavities .. oh god does this mean no more chocolate for me ameandika