Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Mzoeee hatokupa tabu vizuri samia anaujua ukweli!watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia
mfano ety unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa
Inaonekana watu wengi wanaotokea Mbeya ukimtoa Sugu wengi ni wajinga sn sijui kwanini?Ngoja aje kutoka kwenye Mashamba ya mpunga ya Askofu Masanja Mkandamizaji Huko Ubaruku, hapatatosha hapa!
Magu pamoja na ukatili wake lakini alikuwa anapiga kazi, huyu bibi tozo kazi kubwa ni kuteua kutengua na kuhamisha.Hiyo ya sita ilianza lini na ya tano imeisha lini.?
Wasafwa bado hawajawa Huru ndio sababu hawawezi kuchagua Mbunge miongoni mwao wanakodisha Unyakyusani na Ukingani!Inaonekana watu wengi wanaotokea Mbeya ukimtoa Sugu wengi ni wajinga sn sijui kwanini?
wewe ni mnafiki vilevile data gani za kukopi na kupaste wanafiki nyie maadui wa watanzania mnakifanyq hamnazo mnajifanya mnaishi Ulaya hamuoni shida taabu na mateso wanayopitia bibi na babu zenu mnaangalia matumbo yenu nyie ombaomba mliolaaniwa kwa kuandika uongo na kujipendekeza kwa uongo mtafufa vibaya sana nyie wanafikiChoice variable Ni komandoo wa data na facts tu.ngoja aje hapa akushushie NONDO zenye ushahidi.maana inaonekana wewe kuna kitu au jambo limekuvuruga akili yako . Huwezi vita unayotaka kuipigana maana wewe bado mchanga sana kupigana vita yoyote ile.
Sijawajui vizuri mi huwa nadhani wote ni wanyakyusa, Sugu ni msafa? ndiyo maana basi ana akiliWasafwa bado hawajawa Huru ndio sababu hawawezi kuchagua Mbunge miongoni mwao wanakodisha Unyakyusani na Ukingani!
Hawa wapumbavu ndiyo wanashida kubwa haswa kuliko hata sisiwewe ni mnafiki vilevile data gani za kukopi na kupaste wanafiki nyie maadui wa watanzania mnakifanyq hamnazo mnajifanya mnaishi Ulaya hamuoni shida taabu na mateso wanayopitia bibi na babu zenu mnaangalia matumbo yenu nyie ombaomba mliolaaniwa kwa kuandika uongo na kujipendekeza kwa uongo mtafufa vibaya sana nyie wanafiki
Sugu ni MkingaSijawajui vizuri mi huwa nadhani wote ni wanyakyusa, Sugu ni msafa? ndiyo maana basi ana akili
Kama huna takwimu usifanye argument na Mimi utanichukia Bure πππwatu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia
mfano ety unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa
Wanyakyusa nadhani karibu wote ni mwaSugu ni Mkinga
MwakinanasiWanyakyusa nadhani karibu wote ni mwa
wewe uelewa wako haufiki hata kwenye sole ya kiatu changu akili zako umezificha makalioni ni tapeli mzoefu mimi niko hapa Mwanza hakuna mradi mpya hata mmoja ulioanzishwa na Samia nasisitiza haupoKama huna takwimu usifanye argument na Mimi utanichukia Bure πππ
Mazuri yapi ya awamu ya 5 nimsingizie Samia Ili iwaje?
Samia ana miradi chungu mzima na anafanya na ya awamu ya 5.
Kwani nyie Mashabiki wa Mwendazake Kwa nini hamkumaliza miradi yenu? Mlisubiria Samia au? Au mlihitaji miaka mingapi Ili kukamilisha miradi?
Mwisho usipende kumlinganisha Samia na vitu vya ajabu ajabu