Choice variable ni mnafiki sana. Mazuri yote ya awamu ya 5 utakuta Rais Samia anaingizwa na kusifiwa lkn mabaya eti hakushiriki

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ™πŸ™πŸ™Nacheka tu maana inaonyesha umefura kwa hasira .kibaya zaidi unapigana vita na mtu ambaye anakumaliza kwa vishindo tu Kabla hata ya kukutwanga moja kwa mojaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ .utakufa kwa presha mwaka huu. ila napenda kukwambia kuwa vita hutawezi kupambana na sisi maana tupo full kila idara tumekamilka. Kibaya zaidi unapambana na watu usio wafahamu wala kujuwa utashambuliwa kutoka upande upi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Sisi ni jeshi imara lenye uwezo wote wa kivita kupambana na yeyote yule humu jukwaani na bado huwezi kutushinda wala huwezi kuturudisha nyuma hata hatua umoja. Narudia kukwambia kuwa huwezi ukapambana vita na sisi.maana sisi tupo imara na kamili.
 
Mwanza Barabara mbovu, zina mabonde kama za ukoloni, kulikuwa na kabarabara kutoka Buhongwa kwenda kishiri mpaka Igoma kamewashinda hakuna kinachoendelea barabara ya jijini Mwanza kutokea usagara kupitia city center mpaka kisesa ni mbovu hakuna kitu hospitali ya sekoutoure inanuka na ina kutu hamna kitu tofauti na lile jengo kubwa na refu la Magufuli la mama na watoto uneme unakatika hovyo hovyo maji ya shida mfumko wa bei uliopi
tiliza kupanda hovyohovyo kwa nauli nasisitiza hovyo hovyo kuchakaa kwa kasi kwa stand ya Nyegezi na Nyamongolo
 
Yule aliyekaa miaka 5 alifanya kipi?

Miradi ya Samia ni Mingi hapo Mwanza Hadi nasahau ,eg Ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu Ardhi na DIT.

On top of that kazi ya Sgr Iko 44% from 0%

View: https://www.instagram.com/p/C0Dag1uIEmJ/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
ulivyo kanafiki Sasa utasifia kwa hili lkn mengine unaponda ndio maana nakuambia wewe ni mnafiki Nani mwanzilishi wa kujenga meli?
Mimi sio nyumbu kama wewe ukiona naponda ujue Nina logic.

Huwezi msifi Magufuli mfano kwenye bwawa la Umeme wakati Hadi mama anachukua bwawa lilikuwa chini ya 35% na tayari I
Lilikuwa Nje ya mda.

As we speak Mwakani linazinduliwa mwaka mmja kabla ya Deadline ya 2025.
 
unafiki wenu mpaka muache wa kuwa mnadanganya watu ovyo ovyo tena mchana kweupe mnajipendekeza ili mhongwe kwa kuongoea uoongo mchana kweupe kila idara saaasa imepwaya wizi uliokithiri serikalini huduma mbovu za kijamii chama kimepoteza mvuto kwa sababu ya ubovu na uduni wa huduma za kijamii
 
mpaka uje kwenye msitari Ma

Magufuli hakutaka sifa za wajinga kama nyie kazi zake zilimuelezea mwenyewe na kwa taarifa yako huyo kipara ambaye ndio aliudanganya umma kuwa bwawa la Nyerere lilikuwa 35% ni uongo na wivu wake bwawa la Nyerere lilikuwa zaidi ya 65% Samia alipomuachisha kazi Kalemani kwa kugoma kukata umeme akaliweka likipara lililovuruga mfumo mzima wa umeme Magufuli miradi yake ilikuwa ni trillions of money and strategic projects hutaki utake ataiendeleza
 
Yule mwendazake sijui ninyi wanyonge mnampenda nini alikuwa fisadi kuwahi kutokea mwache akarangizwe huko alipo
 
Mapambioa na maigizo mliyokuwa mnafanya mlikuwa mnamuimbia nani? 😁😁

Niletee taarifa ya kabla ya kipara inayooneshwa bwawa la Nyerere likuwa 65% nikutumie Laki ya fasta.
 
Mapambioa na maigizo mliyokuwa mnafanya mlikuwa mnamuimbia nani? 😁😁

Niletee taarifa ya kabla ya kipara inayooneshwa bwawa la Nyerere likuwa 65% nikutumie Laki ya fasta.
kipara kama aliweza kutengeneza tatizo la umeme ashindwe kubadilisha asilimia? kama mnaigiza saa hizi Kuna tatizo la umeme nasema mnaigiza ili kuuza majenereta ya mjerumani jipangeni vizuri najua mmetumwa kuivuruga CCM kwa sababu ujinga wenu na wa level ya ukichaaa
 
Sema wewe ndiye umepoteza mvuto na siyo CCM yetu ambayo inaendelea kuvuna wanachama na kupata uungwaji mkono kila uchwao.huduma za kijamii kwa sasa zimeboreshwa na kuwa za kiwango cha juu haijapata kutokea.
 
Niletee taarifa sitaki porojo
 
Kwa ujinga wako kuongoza vyuo vikuu viwili mmekubaliana na mumeo ndiyo akili?
 
Balaa tupu
 
Kwa ujinga wako kuongoza vyuo vikuu viwili mmekubaliana na mumeo ndiyo akili?
Dada mbona una hasira sana?

Mbeya tumejaa Kila sehemu kuanzia kina Apson Mwang'onda,General Mwamunyange Hadi Kwa General Mboma.

Dada yangu Mbeya tuna akili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…