Mjane wa Marehemu Jiwe bado tu waomboleza kifo cha lile shetani lenu la Chato!?wewe ni mnafiki vilevile data gani za kukopi na kupaste wanafiki nyie maadui wa watanzania mnakifanyq hamnazo mnajifanya mnaishi Ulaya hamuoni shida taabu na mateso wanayopitia bibi na babu zenu mnaangalia matumbo yenu nyie ombaomba mliolaaniwa kwa kuandika uongo na kujipendekeza kwa uongo mtafufa vibaya sana nyie wanafiki
Matusi ndo legacy alokuachieniwewe uelewa wako haufiki hata kwenye sole ya kiatu changu akili zako umezificha makalioni ni tapeli mzoefu mimi niko hapa Mwanza hakuna mradi mpya hata mmoja ulioanzishwa na Samia nasisitiza haupo
Hata babu yako ashakufa na hizi zilipendwa tumerudi kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa machawa waongo wazushi na wachonganishiMjane wa Marehemu Jiwe bado tu waomboleza kifo cha lile shetani lenu la Chato!?
Huyo sio mnafiki, ni mfiwa wa Marehemu JiweKwenda zako huko na unafiki wako.wewe inajulikana wazi ulishavurugwa. huelewi ushike lipi na uache lipi.mnafiki mkubwa wewe.
kujua utajua wewe unajua Kuna wahuni wahuni fulani tu hawatosheki na mishahara yao walichonacho hawaridhiki wanatumia kodi zetu kuhonga vijana kufanya ufuskaMatusi ndo legacy alokuachieni
Kushnei.Hata babu yako ashakufa na hizi zilipendwa tumerudi kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa machawa waongo wazushi na wachonganishi
shetani ni nyie wasaliti wakubwa mmehongwa kusapoti Taifa kuingia gizani akili ni nywele wasio na nywele walipopewa kusimamia TANESCO Wameimaliza ni mashetani makubwa yanayopenda kula gizaniKushnei.
Achana na mawazo kuliwazia lile shetani lenu la Chattle.
Wenzio washamsahau umebaki ww tu
Yaani unatokwa na mapovu sababu ya nini hasa? Hapo Mweka hakuna Upanuzi wa Chuo? Yale noliyotaja pale Mwanzo hayafanyiki?wewe ni juha mimi ndio nyumbani naelewa matatizo na hizo porojo za siasa yapo mambo chungu nzima serekali imeuweka pending huo mkoa sababu ya mihemko ya siasa sasa kibosho ni sehemu ya kuwa na shida ya maji kweli? hilo lipo na sasa linasumbua lina kama miezi mitano na upuuzi vyanzo vya maji vipo kuweka miundombinu mipya hawawezi wao wanachoweza ni kuweka meter na kupita kila mwezi kukusanya hela hopless kabisa.
Leta official documents tenda za serikali zilizotangazwa n process zinavyoendelea tofauti na utapeli mnaofanyaYaani unatokwa na mapovu sababu ya nini hasa? Hapo Mweka hakuna Upanuzi wa Chuo? Yale noliyotaja pale Mwanzo hayafanyiki?
Mama hana mda wa siasa uchwara kwanza kwao ni Zanzibar aanze kuhangaika na siasa zenu za kipumbavu Ili kitokee nini?
View: https://www.instagram.com/p/CzvCJYnKOQx/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
hivi wewe una akili kweli nyie watu wazima mnamsifia Rais kwa mradi wa mill200 au 400 tunapoongea mambo amefanya Rais tuambieni Mega projects zinazoivusha nchi kwenye matatizo sugu
point hujaielewa chawa wanataka kumuingiza Samia kwenye mazuri yote awamu ya 5 na kumtoa mabaya yote ya awamu ya 5 hoja zao zinakuwa invalid na hazina Tija yoyote na wanaonekana projects zao ni keyboard mercenaries..how about kuendeleza au kukamilisha mega projects?
..mega projects, jina linajieleza, hutumia fedha nyingi, na huchukua miaka mingi kukamilika.
..Sio ajabu mega projects kuhususisha Maraisi zaidi ya mmoja, na mawaziri kadhaa.
..Mimi simuungi mkono Samia lakini nadhani ni upumbavu kuanza kunyang'anyana naye miradi ya maendeleo.
..Kazi kubwa zaidi iko ktk uendeshaji wa miradi baada ya kukamilika.
Unataka kuona tender au ujenzi? TakatakaLeta official documents tenda za serikali zilizotangazwa n process zinavyoendelea tofauti na utapeli mnaofanya
Samia sio blaa blaa Wala propaganda kama awamu ya 5,ni kazi tuuWatu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia
Mfano eti unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa.
point hujaielewa chawa wanataka kumuingiza Samia kwenye mazuri yote awamu ya 5 na kumtoa mabaya yote ya awamu ya 5 hoja zao zinakuwa invalid na hazina Tija yoyote na wanaonekana projects zao ni keyboard mercenaries
Mama Yuko kazini 🔥🔥point hujaielewa chawa wanataka kumuingiza Samia kwenye mazuri yote awamu ya 5 na kumtoa mabaya yote ya awamu ya 5 hoja zao zinakuwa invalid na hazina Tija yoyote na wanaonekana projects zao ni keyboard mercenaries
Acha kufikiri badala ya wengine! Kizuri kwako siyo lazima kiwe kwa wengineWatu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia
Mfano eti unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa.
kwa sababu unajipigia tu picha za kutosha hafu unqanza kudanganya watu wewe ndio unajifanya afisa usalama fekiUnataka kuona tender au ujenzi? Takataka
Mimi siwezi gombana na funza ,Ili kitokee nini?Hapa ndo hua nashangaa..
Yaeza kua hawa watu wawili hawafahamiani kabisa, lakn wanaeza kugombana humu jukwaani na kuchukiana kabisa.
Lakn nyuma ya paziwa wote ni wachumia tumbo wa CCM.
ANYWAY, subiri tuone mtaishia wapi maana wote mnajuana