Choice variable ni mnafiki sana. Mazuri yote ya awamu ya 5 utakuta Rais Samia anaingizwa na kusifiwa lkn mabaya eti hakushiriki

Choice variable ni mnafiki sana. Mazuri yote ya awamu ya 5 utakuta Rais Samia anaingizwa na kusifiwa lkn mabaya eti hakushiriki


hayo majengo yote unatuletea ya Enz za mwendazake hafu mnatuletea uongo uongo tu
Mimi siwezi gombana na funza ,Ili kitokee nini?

Huyo ana mtindio wa ubongo nampuuza so Mimi Niko focused naendelea na kuelezea kazi nzuri za Mama .

Chato wenyewe wanamuelewa mama

View: https://www.instagram.com/p/C1T3P9IKupa/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
ChoiceVariable ni mnafiki na chawa, anajipendekeza hana lolote. Hata kipindi cha JPM he was the same, hana lolote mchumia tumbo huyu. Watu wa namna hii ni sumu kwa maendeleo ya taifa as the praise and worship every stupid move that the government does.
 
📌📌🔨 Au siyo? Endelea kupimia 😆😂😆😂

Huyo ni marehemu hawezi fufuka tena 😁😁
hata bibi yako na mama yako ni marehemu kutuletea mapicha ya Facebook ya ukurasa wa mama yuko kazini mengine ya uongo ndo unajiita mtu wa dawa kichwa kimehjaa gunia la chawa
 
Leta taarifa Yako sitaki hadithi
mimi siwezi kujaza takataka kwenye simu za watu kwa kuleta uchafu kama wako jionee mwenyewe ulivyo huna haya unaenda ukurasa wa Facebook wa mama yuko kazini unakopy na kupaste jiridhishe na kila taarifa unayopost zingine ni feki unaonekana kituko
 
mimi siwezi kujaza takataka kwenye simu za watu kwa kuleta uchafu kama wako jionee mwenyewe ulivyo huna haya unaenda ukurasa wa Facebook wa mama yuko kazini unakopy na kupaste jiridhishe na kila taarifa unayopost zingine ni feki unaonekana kituko
Leta taarifa sitaki pambio
 
wewe ni mjinga kweli degree ya kupewa bila kuihangaikia unapostia watu inakusaidia nini

..wenzako wanaendelea kile mlichokuwa mlifanya wakati wa Magufuli -- kusifia kupita kiasi.

..wewe ni mwana-ccm huna haja ya kugombana na wenzako.

..zaidi wao ndio wameshika hatamu za nchi. Polisi, mahakama, tume ya uchaguzi, vyote ni mali yao.

..Wenzako kama Makonda, Bitebo, wamesalimu amri na kumuunga mkono Mama, wewe unasubiri nini?
 
Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia

Mfano eti unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa.
Achana na hiyo kenge
 
Back
Top Bottom