Choice variable ni mnafiki sana. Mazuri yote ya awamu ya 5 utakuta Rais Samia anaingizwa na kusifiwa lkn mabaya eti hakushiriki

Choice variable ni mnafiki sana. Mazuri yote ya awamu ya 5 utakuta Rais Samia anaingizwa na kusifiwa lkn mabaya eti hakushiriki

Acha ujinga MABOTO imefata nini hapo 😂😂😂😂😂😂.KWENYE UWANJA UMEDANGANYA BI MKUBWA AJAKAMILISHA LOLOTE PALE ZAIDI YA SIASA.

Hio project ya maktaba mbona imekua ya kisiasa kama hizo barabara.

Niko sumbawanga mnachoizid kahama ni barabara 😂😂

NAOMBA KUWASILISHA
Wavu kama wewe ndio Huwa nawapenda Sasa.

Mwanza(Ukamilishaji , Mwendazake alishindwa)
-Sgr Mwanza -Isaka 50% done
-Miradi wa Maji Butimba 99% done
-Ukamilishaji wa Mwanza Airport
-Sekou Toure 4 Storey Ward
-Ukamilishaji wa meli na Vivuko eg Mv Mwanza
-Ukamilishaji wa Magufuli Bridge 80% done
-Ukamilishaji wa Stand Kuu zote mbili 100% done
-Ukamilishaji wa BoT 100% done
-Ukamilishaji wa Mwanza Tourist Hotel 100% done

Mwanza New Projects
-Ujenzi wa jengo jipya la uwanja wa ndege Mwanza na kupanua
-Ujenzi wa Majengo ya Ghorofa ya TBA-Ghana
-Ujenzi wa Barabara za Tactic Mwanza Jiji na Ilemela
-Ujenzi wa Hospital ya Jiji
-Ujenzi wa Barabara ya Nyehunge-Sengerema
-Ujenzi wa barabara ya Hungumalwa-Ngudu
-Ujenzi wa Hospital ya Rufaa Nansio
-Ujenzi wa Hospital za Wilaya zote
-Ujenzi wa Meli Mpya na Vivuko
-Usanifu wa Upanuzi wa Barabara njia 4 uko hatua za mwisho next financial year ujenzi unaanza (Barabara zote Kuu za hapo Mjini)
-Ujenzi wa jengo la Maktaba Kuu ya Kanda
-Ametoa maboto ya Kisasa 158,vizimba 375 Kwa wavuvi Mwanza bil.65
Ujenzi wa Ambulance ya Kwenye Maji bil.5
-Miradi ya Maji ni Utitiri mfano Misungwi Kuna bil.7 hapo
-Miradi ya Afya na Elimu ni Utitiri

View: https://www.instagram.com/p/C1AAfY8tJvR/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Kiufupi Mama ameupiga mwingi Kwa miaka 3 kuliko waliokaa miaka 5 na hakuna walichokamilisha 🤪🤪🤪

Kama unashinda kwenye sites za porno huwezi jua haya mambo 😁😁

Kwa mama Kila goti litapigwa

View: https://www.instagram.com/p/C1AAfY8tJvR/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia

Mfano eti unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa.
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete

Katika_Historia:%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hakuu...jpg
 
Acha ujinga MABOTO imefata nini hapo 😂😂😂😂😂😂.KWENYE UWANJA UMEDANGANYA BI MKUBWA AJAKAMILISHA LOLOTE PALE ZAIDI YA SIASA.

Hio project ya maktaba mbona imekua ya kisiasa kama hizo barabara.

Niko sumbawanga mnachoizid kahama ni barabara 😂😂

NAOMBA KUWASILISHA
Aliyemwelewa huyu mtu anitag maana anaandika kama Vidole vimemwagiwa maji ya Moto,ubongo hauna ushirikiano na Vidole.
 
Mimi sio nyumbu kama wewe ukiona naponda ujue Nina logic.

Huwezi msifi Magufuli mfano kwenye bwawa la Umeme wakati Hadi mama anachukua bwawa lilikuwa chini ya 35% na tayari I
Lilikuwa Nje ya mda.

As we speak Mwakani linazinduliwa mwaka mmja kabla ya Deadline ya 2025.
Kwamba samia ni jembe kisa bwawa na magufuri ni mbaya kisa kakata miti kwenye pori la akiba.

Muelewe mleta mada mbona teuzi zipo tu 😂
 
Naona chawa wanapigana hapa, chawa yupi ana facts na yupi hana, kumbe kuna timu mbili za machawa humu ndani zote zipo CCM.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ni kweli kuna timu mbili, lakini siyo zote za chawa. Moja ni ya wazalendo, na ile ya pili ndiyo ya chawa. Kwenye post mzalendo anawatolea uvivu chawa.
 
Choice variable Ni komandoo wa data na facts tu.ngoja aje hapa akushushie NONDO zenye ushahidi.maana inaonekana wewe kuna kitu au jambo limekuvuruga akili yako . Huwezi vita unayotaka kuipigana maana wewe bado mchanga sana kupigana vita yoyote ile.
Chawa wa taifa katoa tamko
 
Watu wanafiki ndumilakuwili nyoka hatari ni wabaya Sana wachonganishi hawana constructive ideas mawazo yao ni mfu utakuta vinajipendekeza ety awamu ya 5 ilivuruga hivi hawa watu wa awamu ya tano walivuruga vile walivyo wa ajabu wanatengeneza hoja za kinafiki kumsifia Samia

Mfano eti unamsifia Samia kwenye miradi ya kimkakati bila kujua kuwa mwanzilishi wake ni Magufuli wakati huo unaleta hoja za serikali ya awamu ya tano ilisababisha hasara hawa watu wanaandika hizi hoja wakiongozwa na mnafiki choice variable lengo ni kugqnga njaa na hawa watu wanafadhiliwa na genge la wezi na majambazi ya nchi yanayojitutumua kuharibu legacy ya Magufuli na yakashindwa.
Naona waumini wa dhalimu mnapata tabu sana chawa wa mama wanapoiponda legacy ya yule kiongozi muovu.
 
Choice variable Ni komandoo wa data na facts tu.ngoja aje hapa akushushie NONDO zenye ushahidi.maana inaonekana wewe kuna kitu au jambo limekuvuruga akili yako . Huwezi vita unayotaka kuipigana maana wewe bado mchanga sana kupigana vita yoyote ile.
Chawa pro.
 
🍿🥤🤗 jamani uaneni kwa hoja huu mtanange hauhitaji hasira.
 
Kama huna takwimu usifanye argument na Mimi utanichukia Bure [emoji16][emoji16][emoji16]

Mazuri yapi ya awamu ya 5 nimsingizie Samia Ili iwaje?

Samia ana miradi chungu mzima na anafanya na ya awamu ya 5.

Kwani nyie Mashabiki wa Mwendazake Kwa nini hamkumaliza miradi yenu? Mlisubiria Samia au? Au mlihitaji miaka mingapi Ili kukamilisha miradi?

Mwisho usipende kumlinganisha Samia na vitu vya ajabu ajabu
Tazama jibu la ajabu hili
Huyu ni chawa wa kutupwa
 
Back
Top Bottom