Cholo Comedian azidi kung'ara

Cholo Comedian azidi kung'ara

Kuna yule mwengine sijui anaitwa chipe mweusi hivi alikuwa anapigapiga picha naona amepotelea wapi
 
Dah.. wavulana mnaokoment humu mna chuki kali kwa dogo ka mama wa kambo mja mzito...kmamae..

Mwenzenu anajaribu kujikwamua ..kmamayo zenu..

Cholo songa mbele..
 
Back
Top Bottom