Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Msipende kukariri mambo. Mtaenda nchi za watu muishie kuchekwa au kipigwa kwa kuita/kuona wasichana wa watu malaya kwa kigezo cha kukariri.
By the way hata unaowaona na ushungi au wanashinda nyumba za ibada wanaweza kuwa malaya pia. Umalaya ni tabia na si aina ya mitindo wa mavazi. Dunia imeendelea sana kuishi kwa kukariri.