Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

akivaa kikuku, jua fika anagawa 'tarCall' hilo halina ubisha
kama una mechi naye vaa ndom 3 au zaidi
nishukuru baadaye

akiweka 'blichi' kichwani huyo kugongwa kwa 'diwali/DP' kawaida sana
Diwali/DP ndio nini wengine sio waswahili fafanua vizuri.

#MaendeleoHayanaChama
 
Acha kukalili zama zimebadirika hata mkeo anaweza kuwa malaya wa mtaa na hivo vikuku havai
 
Peleka ushamba wako huko
Kwanza unamfikiriaje mtu hyo pambana nayo
Fikiria maisha yako yalokushinda huko
 
Washamba plus hawa achana nao
Nani anajali sasa wanacjokifikiria?? Wajiwazie wenyewe na maisha yao
 
Kipini sio umalaya. Ni asili ya mtu anapotoka. Ni sawa na wamasai kuvaa shanga hizo

Wanawake wa kiislam wengi sana wana vipini.. na wana tabia nzuri
 
Tutaenda nchi za watu.kufanya nn wakati nyumbani kumenoga mzee
 
Tafuta Hela kijana acha makasiriko,
Hao uliowataja ni Wajanja wa Mjini najua kuwapata imekua shida aidha wajishtukia kwa hali yako ama wamekukataa,

#Kila Kiungo cha Mwanamke kinahitaji Urembo, kama ulisikia Mwanamke ni Pambo la Nyumba basi ndio hayooo
 
Mkuu hizo code za kijiweni na za kizamani, mwanamke anatakiwa ajipende na ajirembe kwa namna yoyote ile. Ndio raha ya mwanaume macho yake kuona mwanamke mrembo aliyejiremba.

Hivyo unavyotaja hapo vyote ni urembo. Binafsi napenda shanga au cheni kiunoni, kikuku ndio ugonjwa wangu kabisaaa, kipini puani sio kivile ila anaevaa simshangai. La msingi vinavawaliwa wapi, inapendeza mwanamke akipiga hizo code awe nyumbani na mumewe sio mabarabarani akaleta tafrani.

Mke wangu akiwa nyumbani anatupia code kama densa wa fally ipupa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…