Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Hahaha niko ubalozini kaka. Huku hakuna kuangalia unavaa nini au muonekano wako sijui. Ni kupiga kazi tu. Halafu tunakuwa kwenye high level meeting na vigogo na bleach zetu bila shidaWewe nae ndio wale wale
Ofisi gani hiyo wanaruhusu bleach?
Labda barmaid sawa
Na wiki hii naenda kukutana na vigogo wa wizara fulani Dodoma na bleach yangu kichwaniNi kweli, ila tunakatisha tu huko ofisi za wamatumbi na bleach zetu tena unakaribishwa vizuri sana kisa tuko na mabeberu. Ila wabongo wanafiki kwa double standards aisee, katisha hivyo na bleach na kimini chako uwe umetokea mtaani unahitaji huduma walah utarudishwa espeally ofisi za serikali
Wewe nae ndio wale wale
Ofisi gani hiyo wanaruhusu bleach?
Labda barmaid sawa
Najua kolomije hivyo ni vitu adimu kidogo,Kaa hapo mjini kama wiki mbili hivi utaanza kuzoea..sio kosa lako jamaa mkitoka usukumani ndivyo mnavyokuwaga,ni hali ya kawaida,utazoeaEndelea na umalaya hivyohivyo
Mimi ama?Umeandika kwa jazba Sana mpk umepoteza mantiki nzima ya Uzi wako[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasambaa wapo wengi wanaovaaWalipotelea wapi hawa?View attachment 2403623
ShumiziWalipotelea wapi hawa?View attachment 2403623
Yupo dada zilimkatikia Kanisani wakati wa kutoa sadaka ile analifikia kapu la sadaka na kuinama kiheshima kuweka sadaka zikaanza kububujika kama vile mbuzi anavyomwaga zile karanga zake nyeusi.Zilimkatikia dada mmoja posta mpya, wakati tukigombania dalala, watoto wa kihuni acha waanze, dada amwemwaga lazi, chachandu inamwagika. Mdada hakuinua uso.