Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Wanawake wa Tanga wengi wanavaa shanga, mwanzoni nilikuwa sizipendi lkn sasa hv nachukulia kawaida..kuna mmoja alivaa cheni kiunoni sasa mimi sikujua kama kavaa basi ile haraka haraka ya kumvua nguo ya ndani nikaikata[emoji3] [emoji3] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
shanga naonaga ni uchafu ,angalau kicheni cha gold cha mguuni kinanisisimua
 
[QUOTE="Behaviourist, post: 17890420, member: 36na kiuno kubeba umbo la kike achana nayo kwanza la msingi pambana kwanza na kile kitambi chako then ndo mambo mengine yafuate![emoji1][/QUOTE]
teh teh teh weee mie hichi kitambi sikitoi... nikikiangalia kinavotetemeka ndiyo raha yangu.
 
[QUOTE="Behaviourist, post: 17890420, member: 36na kiuno kubeba umbo la kike achana nayo kwanza la msingi pambana kwanza na kile kitambi chako then ndo mambo mengine yafuate![emoji1]
teh teh teh weee mie hichi kitambi sikitoi... nikikiangalia kinavotetemeka ndiyo raha yangu.[/QUOTE]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tusivunjane mbavu asubuhi yote hii
 
1475483587420.jpg
 
Flat screen hawavaagi shanga zinadondoka zote hata kabla ya kufika kiunoni.
 
Mimi
Zilimkatikia dada mmoja posta mpya, wakati tukigombania dalala, watoto wa kihuni acha waanze, dada amwemwaga lazi, chachandu inamwagika. Mdada hakuinua uso.
Mimi huwa nadhani hizi shanga zinavaliwa wakati maalum tu kumbe mtu anazifaa hata akiwa kwenye mishe mishe za maisha km ofisini nk. duuuuuuuh
 
Back
Top Bottom