Scale
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 2,116
- 2,616
Wewe ulifundwa na ukazingatia!!Huyo ni malaya flani hivi.
One in a million!!
Hongera sana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulifundwa na ukazingatia!!Huyo ni malaya flani hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanawake wa Tanga wengi wanavaa shanga, mwanzoni nilikuwa sizipendi lkn sasa hv nachukulia kawaida..kuna mmoja alivaa cheni kiunoni sasa mimi sikujua kama kavaa basi ile haraka haraka ya kumvua nguo ya ndani nikaikata[emoji3] [emoji3] [emoji23]
Hahaaaaaaaaaaa nilikua nasubiri comment yako mkuu[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwangu huwa naziona ni kama hirizi za waganga wa kienyeji.
teh teh teh weee mie hichi kitambi sikitoi... nikikiangalia kinavotetemeka ndiyo raha yangu.[/QUOTE][QUOTE="Behaviourist, post: 17890420, member: 36na kiuno kubeba umbo la kike achana nayo kwanza la msingi pambana kwanza na kile kitambi chako then ndo mambo mengine yafuate![emoji1]
Mkuu umepotelea wapi weye?shanga naonaga ni uchafu ,angalau kicheni cha gold cha mguuni kinanisisimua
Niko fiti mkuu huku sio sana,njoo siasani tutapatana huko[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mkuu umepotelea wapi weye?
Yaonekana wapenda kufumua kiuwa wewe?shanga naonaga ni uchafu ,angalau kicheni cha gold cha mguuni kinanisisimua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji14]Flat screen hawavaagi shanga zinadondoka zote hata kabla ya kufika kiunoni.
Hahhahah kwanini jamani?"mmmmhh kiuno kibebe umbo la kike" hii mada hainihusu.
ha zakoYaonekana wapenda kufumua kiuwa wewe?
Mimi huwa nadhani hizi shanga zinavaliwa wakati maalum tu kumbe mtu anazifaa hata akiwa kwenye mishe mishe za maisha km ofisini nk. duuuuuuuhZilimkatikia dada mmoja posta mpya, wakati tukigombania dalala, watoto wa kihuni acha waanze, dada amwemwaga lazi, chachandu inamwagika. Mdada hakuinua uso.