Na vumbi la congo atawaachia wenye kisukari chao...Jifunze matumizi na faida zake utazipenda mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vumbi la congo atawaachia wenye kisukari chao...Jifunze matumizi na faida zake utazipenda mkuu
Za wanene sizioni ama ulisort vimbaumbau tu mkuu utakuwa mwambao sana kaka.
Naweza kusema ni state of mind pale unapoona kiuno cha kike shanga zimeonekana kidoogo! Kile kimuhemuhe na ashiki unayopata na mawazo yako unakoyapeleka.
Shanga ni kivutio cha asili kwenye mapenzi kitandani lakini si kila mmoja wetu ni mpenzi wa shanga ama anajua kuzitumia vema na akaburudika.
Shanga hazivaliwi tu kama kuvaa, kuna rangi kuna idadi... Mara nyingi huwezi kukuta binti kavaa shanga nyeupe.... Shanga kwa uchache huvaliwa 3 na kwa wingi kabisa 32.
Si kila kiuno cha mwanamke kinafaa kuvishwa shanga, ni lazima kiuno kibebe umbo la kike hapo ndio shanga zitaleta maana na hasa zikipata fundi wa kuzichezea (kama jr[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85])
Na si kila mpenzi ni mpenzi wa shanga kwahiyo shanga hazivaliwi kama fasheni kama tunavyowaona mabinti wengi siku hizi wakiwa na ushanga mmoja wa gold shaba ama madini mengine.
Mwanamke mtundu na mwizi wa mahaba anajua vema kuziviringa chini ya kiuno cha mwanaume na mwanaume akachanganyikiwa kabisa! matumizi ya shanga ni sanaa ya aina yake kabisa ni ufundi ni utundu.
Usivae ushanga/shanga kama hujui matumizi yake utatia aibu na wewe kama hujui jinsi ya kucheza nazo ziache kama zilivyo kaka utajikuta umezikata zote na kupewa adhabu ya kuziokota na kuunga zote.
Kitu kingine muhimu kabisa kwenye shanga ni usafi mwanamke mchafu daima havai shanga zitamnukia azidi kuonekana wa hovyo.
Je wako anazo kiunoni? Ngapi? Unajua kuzitumia?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ya Tanga waachieni wajuzi wake asijekwambia anataka kunku ukajua ni nyama ya kuku[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hiki kijambazi kabisa
Kiuno kimetuliaView attachment 410334shanga mlegezo View attachment 410335shanga mahabaView attachment 410336shanga urembo
@Mshana Jr nasikia pipi Kali zinatumika kwenye maloveee .. sasa nataka kujua matumizi yake kwa wanawake...maana hizi tetesi kama zimaeneaKiuno feni hicho
Nitafanya udukuzi kwa vitendo lakini nadhani zinafanya kazi kwa vijana wadogo na si kwa maligend ambao () zimeota sugu@Mshana Jr nasikia pipi Kali zinatumika kwenye maloveee .. sasa nataka kujua matumizi yake kwa wanawake...maana hizi tetesi kama zimaenea
Mshana jr[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]