Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Ngoja nivae nione

Sent from my SM-A725F using JamiiForums mobile app
JamiiForums1832233133.jpg
 
Yupo dada zilimkatikia Kanisani wakati wa kutoa sadaka ile analifikia kapu la sadaka na kuinama kiheshima kuweka sadaka zikaanza kububujika kama vile mbuzi anavyomwaga zile karanga zake nyeusi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]
 
Najioneaga ujinga tu huu usio na maana yoyote..na concerntrate kwenye mbunye tuuuu
 
.
 
Attachments

  • 20221215_132841.jpg
    20221215_132841.jpg
    139.1 KB · Views: 22
Mashine yoyote kali yenye nguvu na inayosafiri masafa marefu, ni mhimu sana ipate ivishwe shanga hasa nyekundu kwa kuwa haijawahi kusafiri na kurudi bila kunywa juice nyekundu.
Shanga ni zana kubwa sana ktk mambo ya jadi ktk kufunga na kufungua.
Wanaojiita walokole huku wamevaliana mashanga kiunoni sijui wapi huwa nawazoom sana.

Mtu aliyevalishwa shanga hakuna muombaji anayeweza kumtoa majini unless otherwise awe naye connected wa mchongo.
Shanga hutumika kwa ajili ya mizimu pia hasa shanga nyeupe kuna utaratibu wake. Angalia waganga wanaotibu kwa mizimu huvaa mkononi siyo ombi ni amri.

Sina nia mbaya na imani zenu maana mimi imani zote nimeishi na bado nipo huko.
All in all tusikurupuke kufanya kitu bila kuelewa undani wake waafrika tuna dini nzuri mno kuliko hata za wazungu.
 
Naweza kusema ni state of mind pale unapoona kiuno cha kike shanga zimeonekana kidoogo! Kile kimuhemuhe na ashiki unayopata na mawazo yako unakoyapeleka.

Shanga ni kivutio cha asili kwenye mapenzi kitandani lakini si kila mmoja wetu ni mpenzi wa shanga ama anajua kuzitumia vema na akaburudika.

Shanga hazivaliwi tu kama kuvaa, kuna rangi kuna idadi... Mara nyingi huwezi kukuta binti kavaa shanga nyeupe.... Shanga kwa uchache huvaliwa 3 na kwa wingi kabisa 32.

Si kila kiuno cha mwanamke kinafaa kuvishwa shanga, ni lazima kiuno kibebe umbo la kike hapo ndio shanga zitaleta maana na hasa zikipata fundi wa kuzichezea (kama jr[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85])

Na si kila mpenzi ni mpenzi wa shanga kwahiyo shanga hazivaliwi kama fasheni kama tunavyowaona mabinti wengi siku hizi wakiwa na ushanga mmoja wa gold shaba ama madini mengine.

Mwanamke mtundu na mwizi wa mahaba anajua vema kuziviringa chini ya kiuno cha mwanaume na mwanaume akachanganyikiwa kabisa! matumizi ya shanga ni sanaa ya aina yake kabisa ni ufundi ni utundu.

Usivae ushanga/shanga kama hujui matumizi yake utatia aibu na wewe kama hujui jinsi ya kucheza nazo ziache kama zilivyo kaka utajikuta umezikata zote na kupewa adhabu ya kuziokota na kuunga zote.

Kitu kingine muhimu kabisa kwenye shanga ni usafi mwanamke mchafu daima havai shanga zitamnukia azidi kuonekana wa hovyo.

Je wako anazo kiunoni? Ngapi? Unajua kuzitumia?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ya Tanga waachieni wajuzi wake asijekwambia anataka kunku ukajua ni nyama ya kuku[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
...huyu mwenye chupi ya kijani ana mku.ndu safi sana ...mademu namna hii kiuno safi unaweza hata kula ma.vi yao..
 
Mashine yoyote kali yenye nguvu na inayosafiri masafa marefu, ni mhimu sana ipate ivishwe shanga hasa nyekundu kwa kuwa haijawahi kusafiri na kurudi bila kunywa juice nyekundu.
Shanga ni zana kubwa sana ktk mambo ya jadi ktk kufunga na kufungua.
Wanaojiita walokole huku wamevaliana mashanga kiunoni sijui wapi huwa nawazoom sana.

Mtu aliyevalishwa shanga hakuna muombaji anayeweza kumtoa majini unless otherwise awe naye connected wa mchongo.
Shanga hutumika kwa ajili ya mizimu pia hasa shanga nyeupe kuna utaratibu wake. Angalia waganga wanaotibu kwa mizimu huvaa mkononi siyo ombi ni amri.

Sina nia mbaya na imani zenu maana mimi imani zote nimeishi na bado nipo huko.
All in all tusikurupuke kufanya kitu bila kuelewa undani wake waafrika tuna dini nzuri mno kuliko hata za wazungu.
All in all tusikurupuke kufanya kitu bila kuelewa undani wake waafrika tuna dini nzuri mno kuliko hata za wazungu.[emoji817][emoji818]
 
.
 
Attachments

  • 20221225_225343.jpg
    20221225_225343.jpg
    81.5 KB · Views: 24
Kuna hawa wanaovaa za silver au hizi English gold,
Wakiwa wanapita kwenye scanner utawaonea huruma.
Alarm inapiga na yeye kaweka kila kitu chenye asili ya chuma pembeni. Huwa hawaruhisiwi mpaka wajieleze kama wamevaa shanga za chuma au silver
 
Hahahah[emoji23]
 
Ninaona maelezo marefu lakini sijaona ukiandika matumizi yake
Au wewe haujui kama Mimi?😂
 
Back
Top Bottom