Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
kwakweliHao ndio wanaoharibu sifa ya uanaume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwakweliHao ndio wanaoharibu sifa ya uanaume.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haya yametoka moyoniJohn mke wangu ana kachanga na hizi mvua utaniua[emoji51]
Niachie demu wako mmoja bas
aliyekwambia anataka kubanana kwenye daladala nani😏,
Haha 🤣🤣🤣 mtani utanifikiria tu😀😀😀mimi ndo hata sikufikirii,pambana tu na Leejay49 pengine anaweza kukuonea huruma [emoji38][emoji38]
Hahahaha basi ukikubali tunakuw kama wale watu wanaopakatana kwenye daladala mtu na demu wake🤣🤣🤣aliyekwambia anataka kubanana kwenye daladala nani😏,
hahah😅🙌, me nataka nikae pekeyangu kwenye gari languHahahaha basi ukikubali tunakuw kama wale watu wanaopakatana kwenye daladala mtu na demu wake🤣🤣🤣
Kwani gari sh ngap😀 ngoja nitumbe maombi ya kazi ya ualimu. Nikipata kazi napata mkopo nakununulia gari mamsap😀hahah😅🙌, me nataka nikae pekeyangu kwenye gari langu
eti kazi ya ualimu, si bora ukaombe ata kufanya usafi benki maeneo yenye hela😅😎Kwani gari sh ngap😀 ngoja nitumbe maombi ya kazi ya ualimu. Nikipata kazi napata mkopo nakununulia gari mamsap😀
Hahaha ualimu una hela za twisheni. Bank unashika hela za watu🤣🤣🤣eti kazi ya ualimu, si bora ukaombe ata kufanya usafi benki maeneo yenye hela😅😎
si utakua unaiba kidogo kidogo halafu tunanunua gariHahaha ualimu una hela za twisheni. Bank unashika hela za watu🤣🤣🤣
Nilivyomaliza chuo miaka 8 iliyopita basi kuna baba yangu mdogo alikuja home akaniuliza ulisomea nini? nikamjib banking and finance. Akasema unataka kufanya kaz bank wanaume wenzako wakuletee hela uwahesabie. Yale maeno yaliniingia vibaya huwezi amini kazi ya bank ikaishia hapo🤣si utakua unaiba kidogo kidogo halafu tunanunua gari
ndo umwambie tena sasa akufanyie connectionNilivyomaliza chuo miaka 8 iliyopita basi kuna baba yangu mdogo alikuja home akaniuliza ulisomea nini? nikamjib banking and finance. Akasema unataka kufanya kaz bank wanaume wenzako wakuletee hela uwahesabie. Yale maeno yaliniingia vibaya huwezi amini kazi ya bank ikaishia hapo🤣
kwahiyo sasa hivi umeamua ujiajiri kwa kupika mbegeNilivyomaliza chuo miaka 8 iliyopita basi kuna baba yangu mdogo alikuja home akaniuliza ulisomea nini? nikamjib banking and finance. Akasema unataka kufanya kaz bank wanaume wenzako wakuletee hela uwahesabie. Yale maeno yaliniingia vibaya huwezi amini kazi ya bank ikaishia hapo[emoji1787]
imeisha mkuuHiv hii kamaliza au bado
😂😂😂😂😂😂