Nje ya mdahalo wenuHyo akili ya kufanya hayo yote huyo binadamu kapewa na Nani?.
Yaani mungu aliyetengeneza akili na ubongo unamuona hafai.ila Yule aliyetengeza suruali na Shati akitumia akili aliyopewa na mungu ndo unamuona ana maana[emoji848][emoji848][emoji848]
Sio kweli.Sayari yenye UHAI NI moja tu. Na MUNGU ndo ameshapanga hivyo na itabaki kuwa hivyo.
Mimi napenda ujue vitu vidogo vidogo ambavyo unaviona ndo tujadili mambo makubwa.Kijana labda nikusaidie kitu kimoja ili usipoteze muda katika hakuna, usiniwekee mambo yenye "Assumptions" weka uhalisia wa mambo, haya mambo nimeishi nayo ila nilipoanza kutafakari kwa usahihi na kuhoji na kusoma vitabu vya wakubwa nikajua ya kuwa huo ni utoto.
Ngoja nikuoe maana tu ya "Assumptions" katika Sayansi hasa fizikia na anga, unapoona "Assumptions" ujue ya kuwa "..wameshindwa kupata jibu sahihi,kwahiyo wanaficha ujinga wao ili hesabu zikubali tu"
Maana yake wangekuwa wanajua hakika ya mambo wasingeweka "Assumptions". Sasa huu utoto usiulete kwangu.
Well, kama unakiri kuwa binadamu kapewa akili ya kufanya mambo... iweje hukubaliani na hayo mambo yanayofanyika!!
Kinachokukereketa wewe ni nini hasaSababu mungu mwenyewe amesema kuwa duniani ndo kuna maisha.
Na ndo maana hauwezi kuingia sayari nyingine bila kuwa na vifaa maalum.
Kinachokukereketa wewe ni nini hasa
Ndugu zangu huu mjadala tu, tusifike huko ila tuzidi kupeana elimu, maana hapa tunajifunza mengi kutokana kwa wengineHaya rusha ngumi.
You can't survive my punch.Haya rusha ngumi.
You can't survive my punch.
Well done NASA. Jurjani umeona lakini?
Sababu mungu mwenyewe amesema kuwa duniani ndo kuna maisha.
Na ndo maana hauwezi kuingia sayari nyingine bila kuwa na vifaa maalum.
Niletee ushahidi wa Mungu kutaja neno dunia, kwake ni nchi na mbingu... labda huyo unayemuita 'mungu'.!
Pia, kwani hivyo 'vifaa maalumu' vimeshindikana kutengenezwa?
Mtu mweusi ni rahisi sana kumteka akili, kama wewe Paula Paul ...huwa mkisikia tu mzungu kafanya kitu flani mnapigwa butwaa
Unaonaje kama tungeishi duniani kama wale wanaokwenda mwezini.yaani kusingekuwa na oxygen
Aya ya 15.View attachment 1707261
Mkuu, unaelewa tofauti ya dunia na ardhi?
Mungu hataji 'dunia' popote, hivyo epuka kumsingizia kwenye hoja zako... ardhi hata huko Mirihi ipo so andoa shaka.[emoji847]
Na huko mars kuna watu wanazaliwa?
Rejea kwanza hii mada inahusu nini, ujue tunajadili nini... come to your senses![emoji16][emoji16][emoji16]
Si umesema hata huko mars kuna ardhi.ndo nimekuuliza Hilo swali.huko mako kuna watu Wana ishi na kuzaliwa?