Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Hyo akili ya kufanya hayo yote huyo binadamu kapewa na Nani?.
Yaani mungu aliyetengeneza akili na ubongo unamuona hafai.ila Yule aliyetengeza suruali na Shati akitumia akili aliyopewa na mungu ndo unamuona ana maana[emoji848][emoji848][emoji848]
Nje ya mdahalo wenu

Nikuulize Swali: Kuishi nje ya Dunia ni dhambi kiimani (endapo binadamu ataweza fanikisha)??
 
Sayari yenye UHAI NI moja tu. Na MUNGU ndo ameshapanga hivyo na itabaki kuwa hivyo.
Sio kweli.

Hata wazungu wa zamani walivuka BAHARI KUU kuja Afrika. Wakakutana na ardhi nzuri yenye rutuba na madini mengi.

Wakawatuma wapelelezi akina Carl Peters kuja kufanya uchunguzi kama ardhi ya Afrika inafaa.

Wakaja wakapiga kambi wakaiba na kukomba madini yote. Wakatumia ardhi wakajitajirisha kweli kweli.

Wakaenda marekani wakakutana na pande la ardhi safi kabisa. Wakawafurusha wahindi wekundu wakaifanya ardhi kuwa yao.

Hiyo inaitwa "kuitawala dunia" na kufanya mambo ambayo yanadhaniwa kuwa ni miujiza.

They conquered the world from angle to angle. From Africa to Americas and Asia.

Wakati huo nyie mnatafuna mizizi akili zimedumaa.

Leo wanaenda MARS. Wanataka wakaitawale sayari nyingine.

Ninyi bado mnajifukiza majani ya upupu na kumuabudu tapeli mwamposa!
 
Kijana labda nikusaidie kitu kimoja ili usipoteze muda katika hakuna, usiniwekee mambo yenye "Assumptions" weka uhalisia wa mambo, haya mambo nimeishi nayo ila nilipoanza kutafakari kwa usahihi na kuhoji na kusoma vitabu vya wakubwa nikajua ya kuwa huo ni utoto.

Ngoja nikuoe maana tu ya "Assumptions" katika Sayansi hasa fizikia na anga, unapoona "Assumptions" ujue ya kuwa "..wameshindwa kupata jibu sahihi,kwahiyo wanaficha ujinga wao ili hesabu zikubali tu"

Maana yake wangekuwa wanajua hakika ya mambo wasingeweka "Assumptions". Sasa huu utoto usiulete kwangu.
Mimi napenda ujue vitu vidogo vidogo ambavyo unaviona ndo tujadili mambo makubwa.
Wewe kwa akili yako unafikiri ndege kuruka na kutua hakuna assumptions?
Kuna assumptions nyingi sana mpaka umbo la ndege iweze kuruka na kutua salama, hizo assumptions zinarahisishwa kwa msaada wa kitu kinaitwa calculus na applications za theory za motion. Hata utabiri wa hali ya hewa una assumption kibao ila unatoa kitu kama kilivyo tabiliwa, ila sijajua mwengu una fani gani. Ungekuwa karibu ningekuelewesha kwa vitu havipo linearly kama unavyo fikiria maana hata kwenye biasha na uzalishaji haupo kama unavyo waza ndo maana kuna assumptions kibao kwenye uchumi
 
Sababu mungu mwenyewe amesema kuwa duniani ndo kuna maisha.
Na ndo maana hauwezi kuingia sayari nyingine bila kuwa na vifaa maalum.
Well, kama unakiri kuwa binadamu kapewa akili ya kufanya mambo... iweje hukubaliani na hayo mambo yanayofanyika!!
 
Waafrika huwa ni rahisi sana kuamini kitu hususani kwa wazungu...unaamini kweli hicho kifaa kimefika sayari ya MARS!!!!! Mkisikia tu "mzungu kafanya kitu flani" mnapigwa butwaa 😀
 
Sababu mungu mwenyewe amesema kuwa duniani ndo kuna maisha.
Na ndo maana hauwezi kuingia sayari nyingine bila kuwa na vifaa maalum.

Niletee ushahidi wa Mungu kutaja neno dunia, kwake ni nchi na mbingu... labda huyo unayemuita 'mungu'.!

Pia, kwani hivyo 'vifaa maalumu' vimeshindikana kutengenezwa?
 
Unaonaje kama tungeishi duniani kama wale wanaokwenda mwezini.yaani kusingekuwa na oxygen
Aya ya 15.
Niletee ushahidi wa Mungu kutaja neno dunia, kwake ni nchi na mbingu... labda huyo unayemuita 'mungu'.!

Pia, kwani hivyo 'vifaa maalumu' vimeshindikana kutengenezwa?
Screenshot_20210220-134317.jpg
 
Na huko mars kuna watu wanazaliwa?
Mkuu, unaelewa tofauti ya dunia na ardhi?

Mungu hataji 'dunia' popote, hivyo epuka kumsingizia kwenye hoja zako... ardhi hata huko Mirihi ipo so andoa shaka.[emoji847]
 
Si umesema hata huko mars kuna ardhi.ndo nimekuuliza Hilo swali.huko mako kuna watu Wana ishi na kuzaliwa?
Rejea kwanza hii mada inahusu nini, ujue tunajadili nini... come to your senses![emoji16][emoji16][emoji16]
 
Si umesema hata huko mars kuna ardhi.ndo nimekuuliza Hilo swali.huko mako kuna watu Wana ishi na kuzaliwa?

Ukirejea mada tu yote hayo utaelewa, una haraka gani mkuu... JF haijai tutaendelea tu kujadili.
 
Back
Top Bottom