Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Vipo viwili Voyager 1 na Voyager 2. Vimeshavuka solar system. Unaweza kuvitrack live online hapa.
 
Huyo bwana elimu ya dini imemkaa sana, anatakiwa atafute na elimu dunia sana
Sasa kama elimu ya dunia ni uongo na kupoteza muda. Niendelee kupoteza muda ili iweje huoni nazidi kufanya utoto zaidi ?

Pili, huwa mnasema ya kuwa sina hoja mara mimi mbishi, muda huo huo mnashindwa kukosoa hoja zangu kielimu mnaishia kukimbia.

Tatu,akili mmepewa bure,mnatakiwa kuzitumia katika kuhoji na kutafuta ukweli.

Nne, kuna mwenzenu analeta habari za Kepler's,huku hajui ya kuwa wapo walio zikosoa laws hizo na kuona zina Errors kibao, sasa sijui ujasiri wa kupokea kila mnachokisikia na kukiona mnapata wapi ?

Tano, hakuna atakaye weza kuthibitisha ukweli wa Solar System, yaani kwamba kuna Solar Systen zaidi ya dhana tu zisizo na ushahidi wowote, hii ni ziada tu, kwamba Jua halitembei na Sayari nyingine zinalizunguka. Muda huo huo tunaona jua linachomoza toka Mashariki na linazama Magharibi.

Sita,kama nyinyi hamsomi mkaelewa, sisi tuliamua kuacha kazi tufanye kazi. Yaani tukisoma tunasoma hasa na tunahoji na tunakosoa sababu tuna marejeo.
 
Vijana huwa nawaona madebe tupu,sababu mnaishia kusema tu bila kukosoa ninachokiandika kielimu na kuweka usahihi. Sasa sijui hili la kunikosoa linawashinda nini, kama mnajua wekeni hoja zenu, acheni uoga.
 
Mkuu voyager ishaingia interstellar region kitambo sana. Meaning ishavuka our solar system sasa haipo kwenye solar system IPO mbali sana
 
Mkuu voyager ishaingia interstellar region kitambo sana. Meaning ishavuka our solar system sasa haipo kwenye solar system IPO mbali sana
nawaza tuu, kwanini mawasiliano ya vyombo hivyo hayawekwi ktk ndege?
 
Muda wa kununua hisa za Space X/ Blue Origin/ Virgin Galactic and stuff. If you know you know.
 
Wewe unachopinga ni nini? Au unataka kusema nini..??

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…