Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Bado nauliza, camera iliyopiga picha ya hiko vhombo wakati kinatua nayo ilirushwa kabla ya chombo au sambamba na chombo. Tuzingatie angle yake.
Camera inayofungwa juu ya uwanja wa mpira inashikwa na nani? Au nyuma y magoli anashika nani?
 
sawa mtaalam, kwamaana hiyo hizo sensors ndio zimepiga hiyo picha, how? Tunaoeana elimu tuu. Enhe sensors hiyo ikitangulia au ilikua na chombo au haipo hata eneo la tukio? Msaada tafadhari ewe mtaalamu wa masuala ya upigwaji wa picha.
Sensor inafungwa kwenye camera nyngne kwenye chombo pia au sehemu nyingne yyte ndani ya chombo kutokan na uhitaji. Sas kinachofanyika sensor ina uwezo wa kubadlisha badliko la kitabia kuwa umeme. Sas ko wanaweza sema labda wafunge sensor ya joto ina maan ikifika sehem ikatokea badliko la joto sensor itatoa taarifa kwa umeme. Ko kuna action itafuata ya kiumeme nd kama switching ya camera. Pia wanaeza funga sensor ya umbali it means wanaset umbali fulani ukifikiwa basi sensor itatoa taarifa ya kiumeme kuruhusu action fulani ambayo kwa case yetu ni switching ya camera on.
 
Huyo aliyeniambia kuwa kuna sayari nyingine huko.
SIO ALIEYEZITENGENEZA.
angalia udongo wa mars utasema kuna UHAI HUKO?
Aliekufahamisha kwamba kuna sayari nyingine japo hazisupport maisha si ndo yupo kutafuta lead ya kupata maisha huko sas unampinga nn? 2litarajia utakuwa unaitafuta hata anga sahv kwenda kuthibitisha.
View attachment 1712057
 
Sas wewe hata nauli ya kufika 2 nasa huna unatak sisi tukusaidiaje? Wenzio wanaend wanashuhudia chombo inaondoka CNN wanarusha live we sijui unakuwaga wapi hapo. Hufanyi effort yyte ya tafiti.
Poa.
 
Poa.
 
Ile ni ozone layer wewe huna uwezo wa kuona umbali mrefu kiasi hicho. Ile ozone layer ni reflection 2 ya mwanga there is nothing. Ungekuwa umewahi tumia telescope nadhani ungeshuhudia.
Poa.
 
Kumbe ndo kilichokuponza wewe unashinda na watu hawajui mambo. Sasa kuna mtu anaejua field ya sayansi vizuri hajui einstein alichokifanya kweli? We umefanya nn ambacho hata kimetatua changamoto za bongo?
Poa.
 
Yani wewe ungezaliwa kipindi kile cha malaika waliozaa na binadamu huenda ungewaabudu wale. We unataka binadamu wenzio wajifanye Miungu kila ki2 wajue kinachofuata nd shida hyo.
Poa.
 
Bro siyo kila mada lazima uchangie vitu km huvijii kausha ujifunze. mwaswali uliyouliza yanaonyesha una ufahamu mdogo kihasi gani juu ya Haya mambo
 
Bro siyo kila mada lazima uchangie vitu km huvijii kausha ujifunze. mwaswali uliyouliza yanaonyesha una ufahamu mdogo kihasi gani juu ya Haya mambo
Sasa maswali niliyo yauliza unatakiwa uyajibu na unikosoe, siyo unapayuka, kupayuka kila mtu anaweza, shida inakuja kuthibitisha ukweli wa mnachokidai.

Bila shaka wewe unavijua, sasa jibu maswali niliyo uliza. Usipoteze muda.
 

Wewe hata kuandika hujui, halafu unataka kujitia hojaji wa uhalali wa hizi sayansi?
 
Sijakataa.ila kuanzisha maisha mars NI KAMARI ambayo lazma waliwe.
kwenye somo la probability kaa wale waliosoma hesabu,if you toss a coin, kuna 50% itadondokea kichwa au mkia.
for now bado wako kwenye research somewhere.. peonability is wanaweza wafanikiwe au wasifanikiwe ,its down to how hizo tafitinzitatoa majibu gani.
sasa ww unakuja na conclusion moja kwa moja ,wkr hujawahi kufanya tafiti yoyote.
 
Kwa hiyo unaona sio fair kwa NASA ambayo ni chombo cha serikali ya Marekani, kutokuzungumza kuwa Taifa (serikali) la Urusi ndio wa kwanza kufika Mars? Kichekesho.
Nani anawazuia warusi kupeperusha bendera yao ya mafanikio? Mpaka wasaidiwe na wamarekani?
 
labda unashundwa kuelewa kuwa BILA OXYGEN HAKUNA MAISHA.
nashindwa kukuelewa wewe ni MTU WA Aina gani usiyejua umuhimu wa oxygen.
Kinachotofautisha dunia na sayari nyingine ni OXYGEN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…