Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani[emoji27][emoji27] Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap[emoji27][emoji27][emoji27] Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake[emoji27][emoji27]
 
Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani😰😰 Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap😰😰😰 Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake😰😰
Hilo nalo ni la kujiuliza? Si wanapeleka wanawake 40 na wanaume watano tu? Kikubwa human species, siyo jina wala sura vya nani.
 
Sababu dunia haitaendelea kuwepo milele na wala haitoweza kuwa inhabitable milele.
Wako wapi Dinosaurs?
Wanachofanya ni kugeuza human specie kuwa multi planetary.
Hivyo kama siku kukitokea threat ambapo itapelekea dunia kuwa uninhabitable. Means itabidi binadamu wafanye fast evacuation to another planet ili human specie kutobecome extinct kama dinosaurs.

Wao wanajaribu na kujitahidi kuona future kwa ajili ya future humans na sio kuwa selfish.
Kwa hiyo unadhani maskini na watawala wa dunia hii wataenda huko mars?
 
Nimeona hii kitu CNN... Yaani wametumia miezi 6 kusafiri maili karibia milioni 300.
... na (NASA) wametumia karibu TZS 7tr/- kiasi ambacho (Tanzania) kinajengea SGR! Kwa mara ya kwanza wamefanikiwa baada ya failure za mara kadhaa; lets assume 10 failures - 7tr x 10 = 70tr/- (NASA sio Marekani). Tuendelee kuchapa nyungu!
 
Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani😰😰 Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap😰😰😰 Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake😰😰
Huko mars itakuwa sehemu ya kutalii kwa matajiri lakini haitowezeka kwa POTUS NA POPE kuishi huko.
 
Kwanini unadhani kwamba walidanganya ni ushahidi gani unataka?

Hawajaenda tena kutokana na budget. It's expensive na ukizingatia wapo na project nyingine kama hii ya Mars.

Kipindi cha Apollo program budget ilikuwa kubwa bila shaka ni 4% of the federal budget na sasa ni 0.4%.

Ila 2024 NASA wana mpango wa kupeleka watu mwezini.

Kwahiyo ni jambo la mipango tu.
 
Taarifa ni ya ukweli kwasababu haipingani na akili iliyo salama.
 
Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani😰😰 Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap😰😰😰 Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake😰😰
Sio wote wataenda huko mkuu, wale wakwasi wenye uwezo wa ku afford hiyo gharama ndio watakua na access

Afu kitu kingine ambacho ni very bored ni kwamba mpaka unafika unakua umetumia miezi sita njiani.

Sasa hiyo miezi sita inamaana chombo kitakua kina ukubwa gani wa tank la mafuta kiasi cha kukaa miezi sita bila kuishiwa? Na ukumbuke hakuna ku land mpaka unafika
 
Miezi sita ni jela hiyo aisee
 
MUNGU alishaweka kanuni ya uumbaji.

Mtaishi duniani na mtafukiwa ardhini.

Sayari ambayo haina maji wala MITI ni ngumu kwenda kuishi

Back
Top Bottom