Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Si tupo busy na kuvumbua nguvu za kiume.Wazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.
Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao