Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Wazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.

Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao
Si tupo busy na kuvumbua nguvu za kiume.
 
Wazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.

Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao
Wanatazama kesho yao, ni jambo jema, sisi ni hand to mouth.
 
MUNGU alishaweka kanuni ya uumbaji.
Mtaishi duniani na mtafukiwa ardhini..
Sayari ambayo haina maji wala MITI ni ngumu kwenda kuishi
Hiyo kanuni ilikua applied kipindi hicho, hapo juzi tu kuna bilionea wa japan alipanga kufanyia honeymoon kwenye moon
 
UDSM waligundua dawa ya corona lakini sioni mafanikio yake.

Wataweza kurusha chombo kama hiki kweli au wamefanya chuo ni sehem ya kusubiria teuzi?
 
kumbuka kwenye mwezi hakuna oxygen
Hyo ndo kanuni ambayo naizungumzia
Hiyo kanuni ilikua applied kipindi hicho, hapo juzi tu kuna bilionea wa japan alipanga kufanyia honeymoon kwenye moon
 
UDSM waligundua dawa ya corona lakini sioni mafanikio yake...
Wataweza kurusha chombo kama hiki kweli au wamefanya chuo ni sehem ya kusubiria teuzi?
 
Wamarekani uwaga ni waongo,, uwaga ni Photoshop.
 
Wazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.

Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao
Sio nguvu nyingi kwenye mambo ya anga tu. Wamewekeza kwenye sayansi kwa ujumla. Na kuishi kwako leo,madawa unayotumia leo pia kulitokana na kitu ambacho ungekuwepo kipindi hicho ungekiita wanahangaikia vitu visivyo na maana. Maprofesa wenu wanahangaikia mishahara minono ili wawe na matumbo makubwa
 
Umaskini na uduni umefanya waafrika tuwe na wivuuuuuuu hasa tunapoona mafanikio ya wengine,tunapinga badala ya kujifunza,uvivu nao umefanya tuwe na visingizioooooo hasa tunapofeli badala ya kuinuka na kuoambana tunaishia kuwalaumu waliofanikiwa,utaskia oooooh wazungu Mara wanataka kuja sijui kutuibia,Mara sijui ooooooh,Mara eeeeeeh,
Tuache uvivu na wivu
huu ni uongo. wametoa video wanashangilia eti ndio tuamini. wana msemo if you cannot make it fake it
 
Huko mars itakuwa sehemu ya kutalii kwa matajiri lakini haitowezeka kwa POTUS NA POPE kuishi huko.
Kuna jamaa zangu walikaa hapa duniani wakaona hawaelewi wakaenda mars wakaishi huko kwa muda mrefu tu nako wakaona hawaelewi wakaondoka sasa hivi kuna mahala wapo amaizing sana na siisemi.
 
Sio wote wataenda huko mkuu, wale wakwasi wenye uwezo wa ku afford hiyo gharama ndio watakua na access

Afu kitu kingine ambacho ni very bored ni kwamba mpaka unafika unakua umetumia miezi sita njiani.

Sasa hiyo miezi sita inamaana chombo kitakua kina ukubwa gani wa tank la mafuta kiasi cha kukaa miezi sita bila kuishiwa? Na ukumbuke hakuna ku land mpaka unafika
Hapana,
Hiyo miezi sita ni kwa tech ya sasa hivi. Hapo baadae waweza ona chai ya asubuhi Dar ugali wa mchana MARS
 
Alafu anatokea mtu mmoja ambaye kachanjwa chanjo za utotoni kibao na hawa wazungu na kizazi chake anasema chanjo ya COVID 19 ni plot ya kutumaliza!!
Leteni chanjo tunaotaka tupewe,msituamlie maisha wengine hatutaki kuishi kisiwani hapa maisha yetu yote!
 
Wazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.

Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao
Sijui a sana wanashindwa kuwekeE kwenye salaried hiidola 1bl tu tutorage miti kila tulip photo I na kuongeza matumizi ya green energy
 
Back
Top Bottom