mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kwa hiyo udogo wa sayari ya mars unapima kwa hiyo picha?
so ulitegemea sayari yote ya mars ienee kwenye hiyo picha ndio uamini kuwa ni kubwa?
kuna maji chini ya surface ya mars ambayo yanaweza kushikilia oxygen ya kutosha kuweza kusaidia maisha kwa viumbe vilivyopo duniani.
Na mars sio kwamba hakuna oxygen kabisa bali ipo kwa kiwango kidogo kulinganisha na carbon dioxide iliyo tawala
huwa nakushangaa unapo criticize sayansi kwa kum refer mungu
kwani hayo material yaliyopo duniani hayawezi kuwa transfered somewhere else?
hiko kifaa kilicho land mars kimetumia vifaa kutoka sayari gani?
vile vile umesahau mars kuna vitu ambavyo duniani ambavyo havipo na ni worthily
swali ni,
Are we alone?
kumbuka kuna millions of galaxy katika hizo zilizotafitiwa ni mars pekee ambayo imeonekana kuwa na mfanano na dunia japo inakaupee flani wa kimazingira.Sijazungumzia ukubwa WA sayari ya mars BALI mazingira yake NI magumu kuishi.
Hakuna hata Jani MOJA.
kwani adam alikuta marocket na highest roof?Walivyoenda mars walikuta hata JANI MOJA au mti mmoja!?.
Hivi unadhani Adam aliikuta dunia ikiwa jangwa?.
Sababu dunia haitaendelea kuwepo milele na wala haitoweza kuwa inhabitable milele.
Wako wapi Dinosaurs?
Wanachofanya ni kugeuza human specie kuwa multi planetary.
Hivyo kama siku kukitokea threat ambapo itapelekea dunia kuwa uninhabitable. Means itabidi binadamu wafanye fast evacuation to another planet ili human specie kutobecome extinct kama dinosaurs.
Wao wanajaribu na kujitahidi kuona future kwa ajili ya future humans na sio kuwa selfish.
cement ina tengenezwa kwa clay, limestone, sand and some rocks. kwa hiyo kama hivi vipo hakutakuwa na haja ya kubeba cement ya dangote kupeleka marsUnaleta mzaha.
Hivi utaanza kubeba cement mifuko mingapi mpaka ukajenge nyumba mars?
Nilitaka kusema hivyo hivyo. hawa jamaa tangu waje na ile movie ya kumuua osama huku obama anaangalia live ndio mimechoka. wana msemo wao if you cannot make it fake it.
Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani[emoji27][emoji27] Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap[emoji27][emoji27][emoji27] Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake[emoji27][emoji27]
Hawawajibiki kukupa "evidence" yoyote.Hakuna Evidence za uhakika unashabikia nn! endelea kushabikia Bro
Huyo mnatumia nguvu nyingi sana kumjibu!kumbuka kuna millions of galaxy katika hizo zilizotafitiwa ni mars pekee ambayo imeonekana kuwa na mfanano na dunia japo inakaupee flani wa kimazingira.
ishu ya mmea kuto kumea mars sio big issue katika ulimengu wa sayansi hii sio tatizo inawezekana hata kwa kufanya simulation udongo.
cement ina tengenezwa kwa clay, limestone, sand and some rocks. kwa hiyo kama hivi vipo hakutakuwa na haja ya kubeba cement ya dangote kupeleka mars
kwani adam alikuta marocket na highest roof?
adam alifanya sayansi gani ya kiteknolojia zaidi ya kudanga pale eden na mkewe?
Hawawajibiki kukupa "evidence" yoyote.
Who are you asking for evidence? Evidence?
Watu wako bize kuutawala ulimwengu from galaxy to galaxy, halafu unakuja mmatumbi mmoja weye unalilia upewe evidence?
Are you serious with your life? "BROOO"......
hii mitambo unayoiona hapa kwani ilikuja na dunia watu waliikuta tayari imewekwa?sasa hayo MATIRIO yapo huko?.
na labda unasahau kuwa cement inatengenezwa na MITAMBO
Ameshavimbiwa mihogo yake ya jero, roho yake kwatu. Anafikiri mwisho wa dunia ni chato.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Mmatumbi anataka NASA wampe evidence kama kweli chombo chao kimefika MARS. Nimecheka mpaka mbavu zimeuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akina Stephen Hawking wameonya sana kuwa binadamu inabidi akazane kutafuta na kutawala safari zingine ili siku kikinuka hapa duniani kwa kulengwa na li Asteroid likubwa, ma super volcano kuripuka au hata mwenyewe kujiangamiza kwa masilaha yake ya Nyuklia aliyojirundikia; awe na mahali pa kukimbilia ili asipotee kabisa. Angalau wenzetu wanahangaika. Sisi sasa! Ndo kwanza tunaomba evidence utafikiri tuna mchango wo wote katika tafiti zao. Tunaogopa kudanganywa [emoji1787][emoji1787]
Kuna setelaiti na vyombo vilivyotanguliaKuna vitu mi nashindwa kuviamini hasa inapotokea nguvu kubwa yakutaka niamini... sasa hiyo picha kaipiga nani aliyekua katangulia huko chombo kinapotua?
katika hivyo vitu alivyovikuta adam ilikua ni pamoja na ma flyovers, rockets, nuclear?Point yangu ni kwamba.adam aliikuta dunia ikiwa tayari
Ikiwa na wanyama,mmea,bahari n.k
Usi sahau tuliachwa tukiwa uchi mapangoni swala la muda kama mengine tu mkuuMUNGU alishaweka kanuni ya uumbaji.
Mtaishi duniani na mtafukiwa ardhini.
Sayari ambayo haina maji wala MITI ni ngumu kwenda kuishi