mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sijazungumzia ukubwa WA sayari ya mars BALI mazingira yake NI magumu kuishi.
Hakuna hata Jani MOJA.
Hakuna hata Jani MOJA.
kwa hiyo udogo wa sayari ya mars unapima kwa hiyo picha?
so ulitegemea sayari yote ya mars ienee kwenye hiyo picha ndio uamini kuwa ni kubwa?