Hilo nalo ni la kujiuliza? Si wanapeleka wanawake 40 na wanaume watano tu? Kikubwa human species, siyo jina wala sura vya nani.Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani😰😰 Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap😰😰😰 Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake😰😰
Africa kuna vituko sana.Wakati wenzetu wako serious na ugunduzi wa maana. Sisi tuko bize na kugundua misuli na mishipa gani ya tako inaweza kunasa na bitiView attachment 1705922
Kwa hiyo unadhani maskini na watawala wa dunia hii wataenda huko mars?Sababu dunia haitaendelea kuwepo milele na wala haitoweza kuwa inhabitable milele.
Wako wapi Dinosaurs?
Wanachofanya ni kugeuza human specie kuwa multi planetary.
Hivyo kama siku kukitokea threat ambapo itapelekea dunia kuwa uninhabitable. Means itabidi binadamu wafanye fast evacuation to another planet ili human specie kutobecome extinct kama dinosaurs.
Wao wanajaribu na kujitahidi kuona future kwa ajili ya future humans na sio kuwa selfish.
Unadhani kazi za ajabu ajabu atafanya nani huko!!! Lazima twendeKwa hiyo unadhani maskini na watawala wa dunia hii wataenda huko mars?
HakunaHivi kwanini hawakurudi tena mwezini. Tafiti za mwezini ziliishia wapi au ziko classified huko kwao!
... na (NASA) wametumia karibu TZS 7tr/- kiasi ambacho (Tanzania) kinajengea SGR! Kwa mara ya kwanza wamefanikiwa baada ya failure za mara kadhaa; lets assume 10 failures - 7tr x 10 = 70tr/- (NASA sio Marekani). Tuendelee kuchapa nyungu!Nimeona hii kitu CNN... Yaani wametumia miezi 6 kusafiri maili karibia milioni 300.
Huko mars itakuwa sehemu ya kutalii kwa matajiri lakini haitowezeka kwa POTUS NA POPE kuishi huko.Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani😰😰 Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap😰😰😰 Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake😰😰
2024 wana mpango wa kupeleka watu. Ni mipango tu.Hivi kwanini hawakurudi tena mwezini. Tafiti za mwezini ziliishia wapi au ziko classified huko kwao!
Sio wote wataenda huko mkuu, wale wakwasi wenye uwezo wa ku afford hiyo gharama ndio watakua na accessSasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani😰😰 Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap😰😰😰 Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake😰😰
Mi ntakaa kitengo cha saidia fundi.Unadhani kazi za ajabu ajabu atafanya nani huko!!! Lazima twende
Miezi sita ni jela hiyo aiseeSio wote wataenda huko mkuu, wale wakwasi wenye uwezo wa ku afford hiyo gharama ndio watakua na access
Afu kitu kingine ambacho ni very bored ni kwamba mpaka unafika unakua umetumia miezi sita njiani.
Sasa hiyo miezi sita inamaana chombo kitakua kina ukubwa gani wa tank la mafuta kiasi cha kukaa miezi sita bila kuishiwa? Na ukumbuke hakuna ku land mpaka unafika
Sababu dunia haitaendelea kuwepo milele na wala haitoweza kuwa inhabitable milele.
Wako wapi Dinosaurs?
Wanachofanya ni kugeuza human specie kuwa multi planetary.
Hivyo kama siku kukitokea threat ambapo itapelekea dunia kuwa uninhabitable. Means itabidi binadamu wafanye fast evacuation to another planet ili human specie kutobecome extinct kama dinosaurs.
Wao wanajaribu na kujitahidi kuona future kwa ajili ya future humans na sio kuwa selfish.