mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Unafahamu vipi kuwa walioikuta waliikuta ikiwa na material yote?
Inawezekana we are not even from here. Inasemekana mars was once like Earth miaka mingi nyuma then something happened ikawa hivyo ilivyo sasa.
Umeshajiuliza likitokea la kutokea duniani binadamu na viumbe hai wakatoweka then wana anga walio katika space station wakapata ufumbuzi wa kuendeleza maisha katika sayari tofauti vizazi vya hiyo sayari vitaelewa kuwa vilitoka wapi? Ujue tuna tafsiri nyingi sana za michoro kwenye mapango hatujui mababu wa mababu walimaanisha nn.
Kama tunaingia kwenye masuala ya dini tuishie tu hapa.Wewe ni DINI gani?
Kama tunaingia kwenye masuala ya dini tuishie tu hapa.
Hapana.Kuwa na DINI ni kosa kwako?
Hujajibu swali inavyotakiwa ndiyo maana nimekuuliza tena ili uhakiki ukichokijibu.nmekujibu, haya nawewe jibu swali nlilokuuliza
umesema "Lincoln Barnett amekuja karne ya 20, na kuhitimisha jambo hilo."Naona umeishiwa hoja unauliza ujinga. Kile ulichodai kwamba ni dai la Barnett bila ithibati, ni nini ? Usiwe unapoteza muda.
ukiwa duniani jua linaonekana ku move juu ya anga na kupotea nyakati za jioni, hiyo ni kwasababu dunia ina spin toward east kwa hiyo unachokiona hapo ni eyes illusionIna maana hujui hata unacho nukuu kwenye hoja na kujidai umejibu hoja ?
Kwa ushahidi wa uhalisia ambao tunaona kabisa hatu feel kuzunguka kwa dunia hata ukiwa katika space. Bali tunaona kila siku jua linatembea, au wewe huoni kama jua linachomoza Mashariki na kuzama Magharibi?
hii nayo umeitoa kule kule kwenye cyclopedia za kiislamu?Kadhalika, naweza kutumia ushahidi wa Albert Michelson ambaye alikuja kuthibitisha hilo baadae sana baada ya Leon aliyekuwa anaruka ruka maabara mwaka 1851 na Pendulum yake.
kuna mambo mawili huyaelewiUkiwa katika gari yenye constant speed una feel motion hu feel ? Kijana nitakupiga makofi.
we're all moving the same speed with itPili mfano na swali lako haliingii katika rotation ya Earth sababu kwanza unatakiwa ututhibitishie pasi na shaka juu mwendo wa dunia na wewe mwendo wako ulipo na usawa wake.
weka facts zenye kuzingatia itifaki za kisayansi, hapo hujaonesha tatizo kwenye foucalt bali umeonesha tatizo ni wewe kutokuielewa vyema.Kijana labda nikuulize kuna assumptions kibao katika Foucault Pendulum ? Kwanini pendulum lazima uirelease na kuicha imove clockwise ? Au reference lazima iwe ni North pole ?
Hili mpaka unakufa huwezi kulithibitisha, sababu kitabu chetu kinatuhimiza kwanza kabisa tusome na tunasoma kweli.huwezi kuikosoa sayansi inayotumia research na vipimo katika tafiti zake kwa kutumia kitabu cha imani ambacho kimejengwa kwa msingi wa UJINGA.
Hivi ninacho kiandika huwa hukisomi au hukielewi ? Naona una mawenge unarudia rudia jambo ambalo nimeshalijibu.Nipe emperical evidence ambazo ni valid and interpretable in accordance with with scientific method kwenye hiyo kuran, nipe stage zote walizotumia kutafiti hilo mpaka wakafikia hitimisho.
Kijana huwa unapenda kurudia mambo yaliyo jibiwa tena zaidi ya mara moja.shida zipi?
kabla ya kujua shida kwanza umejitafakari uelewa wako kuhusu sayansi unaona unatosha?
kwasababu inaweza ikawa unaona zinashida kwasababu huielewi sayansi. Mfano huko juu umeonesha wazi hujui hata procedures za kufanya scientific research mpaka nikaamua niku recommend ukajifunze kwa mtoto wa form one
Hoja ya msingi je ni za kweli ?hata hadithi za alfu ulela, spiderman sories, nk zipo constant lakini doesn't change the fact kuwa ni hadithi za kufikirika.
Sitegemei Qur'aan ipate challange toka kwetu, tunategemea toka kwenu kitu ambacho hamkiwezi na hapa nathibitisha hilo.unategemea kuran ipate challenge kutoka kwa waumini ambao tangu utotoni wamefundishwa kuwa kui challenge kuran ni dhambi?
Leo hii nataka uthibitishe uongo wa hizi habari, ukiweza mimi naacha kutumia hii ID hili nalisema mara kadha wa kadha na hukuwahi kufanya hivyo, sasa kujadiliana na mtu asini muumini gani wa kiislamu anaweza kumkosoa muhammad kwamba buraq was mythical creatures (fictional) and the event of flying was not real?
Vipi atike salama wakati anakuwa anasema uongo na kupotosha...?i muumini gani ambaye anaweza akapita mbele ya msikiti kwenye nyomi ya watu akasema muhammad alipotosha habari ya kupasua mwezi na akaachwa salama?
Sasa wewe ndiyo uhoji na ukosoe tuone.kama nafasi hiyo ya kuhoji mambo hayo haipo kwanini ushangazwe na habari za kuran kubakia vile vile?
Uhalisia,naona unanichosha na kunipotezea muda kijana, hili nimeshalijibu huko nyuma.huo udhaifu uliuona kwa kutumia research gani?
unahakika gani kama uliitumia vizuri kanuni kama inavyotakiwa?
ulitumia vipimo gani ku detect huo udhaifu?
Hapa kazi imeisha.garbage
Hitimisho la kuwa hakuna jaribio lililo fanyika la kisayansi linalo thibitisha ya kuwa dunia inazunguka.umesema "Lincoln Barnett amekuja karne ya 20, na kuhitimisha jambo hilo."
mimi nimekuuliza
kahitimishaje?
unaelewa mpaka unafika hitimisho unatakiwa stage gani uwe umezipita?
hujajibu hili swali
Hili ndiyo Foucoult imekuthibitishia. Muda huo wewe unakuwa hapo hapo ulipo au ?ukiwa duniani jua linaonekana ku move juu ya anga na kupotea nyakati za jioni, hiyo ni kwasababu dunia ina spin toward east kwa hiyo unachokiona hapo ni eyes illusion
Haya tunayaita marejeo, sasa ndiyo uniambie kwamba Albert Michelson hakufanya hili jaribio na kuhitimisha ya kuwa dunia haizunguki au shida iko wapi ?hii nayo umeitoa kule kule kwenye cyclopedia za kiislamu?
Constant speed ya gari ipo ikiwa katika conditions fulani, ikiwa katika straight path na condition nyingine.kuna mambo mawili huyaelewi
gari haina constant speed na ndio kuna decrease na icrease ya speed hivyo ni tofauti na dunia ambayo speed yake hai decrease wala ku icrease. Gari inapokata kona speed inapungua ikifika kwenye mlima gia inabadilishwa na hapo speed haiwezi kuwa the same.
kingine
mfano wako wa gari na mtu kulinganisha na dunia ni irrelevant
kwenye dunia mtu ni kitu kidogo sana kuweza ku feel motion, so kwa hoja yako ya gari angalau ulitakiwa utolee mfano wa sisimizi ambaye ni kinda.
hata sisimizi bado hajafikia vigezo vya kutumika kama mfano, pengine ilitakiwa useme meli ya titanic ikiwa iko kwenye motion sisimizi anaweza ku feel hiyo motion?
Siyo kweli, hatw nikiwa kwenye gari na feel speed.we're all moving the same speed with it
Kuna facts kuliko uhalisia kijana ? Sasa nieleweshe na ujibu maswali niliyo kuuliza ?weka facts zenye kuzingatia itifaki za kisayansi, hapo hujaonesha tatizo kwenye foucalt bali umeonesha tatizo ni wewe kutokuielewa vyema.
Nimecheka sana.Wewe mafundisho ya dini yamekuharibu ..
Quote maswali yako yote uliyouliza nitakupa majibu.
Fanya saivi sasa.
kinakuhimiza kusoma in scientific reasoning?Hili mpaka unakufa huwezi kulithibitisha, sababu kitabu chetu kinatuhimiza kwanza kabisa tusome na tunasoma kweli.
ni mpumbavu pekee ndio anaweza kuona ulichokiandika hapa kina make sense.Kitabu ambacho kimeitangulia Sayansi hicho ni habari nyingine. Yaani mimi naweza kuikosoa Sayansi kwa Sayansi yenyewe kama nilivyofanya hapa na kuikosoa Sayansi kwa kitabu hiki na Hadithi za Mtume wa Allah.
uhalisia ni nini?Hivi ninacho kiandika huwa hukisomi au hukielewi ? Naona una mawenge unarudia rudia jambo ambalo nimeshalijibu.
Hivi uhalisia unahitaji ithibati za kisayansi ? Mathalani, ili tujue weww umezaliwa tunahitaji scientific method kujua hilo ? Sasa Qur'aan ndiyo uhalisia, na ndiyo maana hakuna aliyewahi kuikosoa Qur, 'aan zaidi akiamua kuisoma atastaajabu sana. Sasa usiniulize huu ujinga tena sababu nimeshakujibu zaidi ya mara tano sasa.
Umeamua aje mpaka sasa kwamba ni waongo au ni wakweli? Comments zimekuwa nyingi sana nitazisoma ila napenda kujua kama umeshabadili msimamo.Hujajibu swali inavyotakiwa ndiyo maana nimekuuliza tena ili uhakiki ukichokijibu.
Wao sijui watapewa nini ila wao watakuwa ni bora zaidi ya wanawake hao.
Kijana huwa unapenda kurudia mambo yaliyo jibiwa tena zaidi ya mara moja.
pitia post ambayo nimekuelekeza ukapate maarifa kwa mtoto wa kidato cha kwanza utaona.Hakuna sehemu ambayo nimeonyesha ya kuwa sijui scientific method bali nineonyesha kwa namna gani zikivyo dhaifu ndiyo maana hata wewe umeshindwa kuzitumia kuonyesha ukweli wa jambo la kisayansi,
umeisoma mpaka wapi hiyo FP?nakupa tena bonus ya swali tumia scientific method kuonyesha ukweli wa Foucoult Pendulum.
vile vile hujatumia usahihi kukosoa kosa, umelopoka tu.Nilikwambia situmii kosa kukosoa kosa, hapa huwa naziba upenyo wa kutoka ukitaka kutoka.
bilashaka hicho kitabu kitakua kimetolewa kama suggestion kwenye cyclopedia za kiislam maana ndio source zako unazoziamini.Na mimi nakurecommend kasome kitabu kiitwacho "Our Philosophy" uone udhaifu wa scientific method kitabu kimeandikwa Sadri. Sasa ukitaka marejeo hapa ninayo mengi sana, ila cha msingi unachotakiwa ni kuitetea hoja yako na kuonekana ni kweli, hili umelishindwa zamani.
Katika hili tunafata uhalisia wa mambo,uhalisia ambao uko kinyume na haya.Umeamua aje mpaka sasa kwamba ni waongo au ni wakweli? Comments zimekuwa nyingi sana nitazisoma ila napenda kujua kama umeshabadili msimamo.
How are you?
Nani amesema Qur'aan imeandika habari za kisayansi ? Huwa husomi nonacho kiandika kijana. Nimesema kinachosemwa na Qur'aan ni sahihi, Sayansi inakuja kufata, na ukiona sayansi imepingq na Qur'aan ujue Sayansi imedanganya, na Qur'aan si kitabu cha Sayansi bali ni kitabu cha muongozo na ni kweli tupu.ni mpumbavu pekee ndio anaweza kuona ulichokiandika hapa kina make sense.
kama sayansi ilitanguliwa na kuran kwanini mnasema kuran imeandika habari za kisayansi ambazo wanasayansi wanazikubali
Kinahimiza kusoma katika uhalisia na si kubahatisha kama sayansi ilivyo.kinakuhimiza kusoma in scientific reasoning?
kinakuhimiza kusoma in scientific reasoning?
ni mpumbavu pekee ndio anaweza kuona ulichokiandika hapa kina make sense.
kama sayansi ilitanguliwa na kuran kwanini mnasema kuran imeandika habari za kisayansi ambazo wanasayansi wanazikubali
uhalisia ni nini?
unawezaje kujua ulichokiona ni uhalisia na sio kwamba you've been tricked by illusion?
Nipe emperical evidence ambazo ni valid and interpretable in accordance with with scientific method kwenye hiyo kuran, nipe stage zote walizotumia kutafiti hilo mpaka wakafikia hitimisho.
Suala la uhalidia nimelijibu sana na hili lingine kadhalika umelirufia sana.uhalisia ni nini?
unawezaje kujua ulichokiona ni uhalisia na sio kwamba you've been tricked by illusion?
Nipe emperical evidence ambazo ni valid and interpretable in accordance with with scientific method kwenye hiyo kuran, nipe stage zote walizotumia kutafiti hilo mpaka wakafikia hitimisho.