Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Wewe ni DINI gani?
Unafahamu vipi kuwa walioikuta waliikuta ikiwa na material yote?
Inawezekana we are not even from here. Inasemekana mars was once like Earth miaka mingi nyuma then something happened ikawa hivyo ilivyo sasa.
Umeshajiuliza likitokea la kutokea duniani binadamu na viumbe hai wakatoweka then wana anga walio katika space station wakapata ufumbuzi wa kuendeleza maisha katika sayari tofauti vizazi vya hiyo sayari vitaelewa kuwa vilitoka wapi? Ujue tuna tafsiri nyingi sana za michoro kwenye mapango hatujui mababu wa mababu walimaanisha nn.
 
nmekujibu, haya nawewe jibu swali nlilokuuliza
Hujajibu swali inavyotakiwa ndiyo maana nimekuuliza tena ili uhakiki ukichokijibu.

Wao sijui watapewa nini ila wao watakuwa ni bora zaidi ya wanawake hao.
 
Naona umeishiwa hoja unauliza ujinga. Kile ulichodai kwamba ni dai la Barnett bila ithibati, ni nini ? Usiwe unapoteza muda.
umesema "Lincoln Barnett amekuja karne ya 20, na kuhitimisha jambo hilo."

mimi nimekuuliza

kahitimishaje?

unaelewa mpaka unafika hitimisho unatakiwa stage gani uwe umezipita?

hujajibu hili swali
Ina maana hujui hata unacho nukuu kwenye hoja na kujidai umejibu hoja ?

Kwa ushahidi wa uhalisia ambao tunaona kabisa hatu feel kuzunguka kwa dunia hata ukiwa katika space. Bali tunaona kila siku jua linatembea, au wewe huoni kama jua linachomoza Mashariki na kuzama Magharibi?
ukiwa duniani jua linaonekana ku move juu ya anga na kupotea nyakati za jioni, hiyo ni kwasababu dunia ina spin toward east kwa hiyo unachokiona hapo ni eyes illusion
Kadhalika, naweza kutumia ushahidi wa Albert Michelson ambaye alikuja kuthibitisha hilo baadae sana baada ya Leon aliyekuwa anaruka ruka maabara mwaka 1851 na Pendulum yake.
hii nayo umeitoa kule kule kwenye cyclopedia za kiislamu?
Ukiwa katika gari yenye constant speed una feel motion hu feel ? Kijana nitakupiga makofi.
kuna mambo mawili huyaelewi

gari haina constant speed na ndio kuna decrease na icrease ya speed hivyo ni tofauti na dunia ambayo speed yake hai decrease wala ku icrease. Gari inapokata kona speed inapungua ikifika kwenye mlima gia inabadilishwa na hapo speed haiwezi kuwa the same.

kingine

mfano wako wa gari na mtu kulinganisha na dunia ni irrelevant

kwenye dunia mtu ni kitu kidogo sana kuweza ku feel motion, so kwa hoja yako ya gari angalau ulitakiwa utolee mfano wa sisimizi ambaye ni kinda.

hata sisimizi bado hajafikia vigezo vya kutumika kama mfano, pengine ilitakiwa useme meli ya titanic ikiwa iko kwenye motion sisimizi anaweza ku feel hiyo motion?

Pili mfano na swali lako haliingii katika rotation ya Earth sababu kwanza unatakiwa ututhibitishie pasi na shaka juu mwendo wa dunia na wewe mwendo wako ulipo na usawa wake.
we're all moving the same speed with it
Kijana labda nikuulize kuna assumptions kibao katika Foucault Pendulum ? Kwanini pendulum lazima uirelease na kuicha imove clockwise ? Au reference lazima iwe ni North pole ?
weka facts zenye kuzingatia itifaki za kisayansi, hapo hujaonesha tatizo kwenye foucalt bali umeonesha tatizo ni wewe kutokuielewa vyema.
 
huwezi kuikosoa sayansi inayotumia research na vipimo katika tafiti zake kwa kutumia kitabu cha imani ambacho kimejengwa kwa msingi wa UJINGA.
Hili mpaka unakufa huwezi kulithibitisha, sababu kitabu chetu kinatuhimiza kwanza kabisa tusome na tunasoma kweli.

Kitabu ambacho kimeitangulia Sayansi hicho ni habari nyingine. Yaani mimi naweza kuikosoa Sayansi kwa Sayansi yenyewe kama nilivyofanya hapa na kuikosoa Sayansi kwa kitabu hiki na Hadithi za Mtume wa Allah.
Nipe emperical evidence ambazo ni valid and interpretable in accordance with with scientific method kwenye hiyo kuran, nipe stage zote walizotumia kutafiti hilo mpaka wakafikia hitimisho.
Hivi ninacho kiandika huwa hukisomi au hukielewi ? Naona una mawenge unarudia rudia jambo ambalo nimeshalijibu.

Hivi uhalisia unahitaji ithibati za kisayansi ? Mathalani, ili tujue weww umezaliwa tunahitaji scientific method kujua hilo ? Sasa Qur'aan ndiyo uhalisia, na ndiyo maana hakuna aliyewahi kuikosoa Qur, 'aan zaidi akiamua kuisoma atastaajabu sana. Sasa usiniulize huu ujinga tena sababu nimeshakujibu zaidi ya mara tano sasa.
 
shida zipi?

kabla ya kujua shida kwanza umejitafakari uelewa wako kuhusu sayansi unaona unatosha?

kwasababu inaweza ikawa unaona zinashida kwasababu huielewi sayansi. Mfano huko juu umeonesha wazi hujui hata procedures za kufanya scientific research mpaka nikaamua niku recommend ukajifunze kwa mtoto wa form one
Kijana huwa unapenda kurudia mambo yaliyo jibiwa tena zaidi ya mara moja.

Hakuna sehemu ambayo nimeonyesha ya kuwa sijui scientific method bali nineonyesha kwa namna gani zikivyo dhaifu ndiyo maana hata wewe umeshindwa kuzitumia kuonyesha ukweli wa jambo la kisayansi, nakupa tena bonus ya swali tumia scientific method kuonyesha ukweli wa Foucoult Pendulum.

Nilikwambia situmii kosa kukosoa kosa, hapa huwa naziba upenyo wa kutoka ukitaka kutoka.

Na mimi nakurecommend kasome kitabu kiitwacho "Our Philosophy" uone udhaifu wa scientific method kitabu kimeandikwa Sadri. Sasa ukitaka marejeo hapa ninayo mengi sana, ila cha msingi unachotakiwa ni kuitetea hoja yako na kuonekana ni kweli, hili umelishindwa zamani.
 
hata hadithi za alfu ulela, spiderman sories, nk zipo constant lakini doesn't change the fact kuwa ni hadithi za kufikirika.
Hoja ya msingi je ni za kweli ?
unategemea kuran ipate challenge kutoka kwa waumini ambao tangu utotoni wamefundishwa kuwa kui challenge kuran ni dhambi?
Sitegemei Qur'aan ipate challange toka kwetu, tunategemea toka kwenu kitu ambacho hamkiwezi na hapa nathibitisha hilo.

Mimi naamini Qur'aan ni kweli na haina shaka, sasa nataka wewe uikosoe.
ni muumini gani wa kiislamu anaweza kumkosoa muhammad kwamba buraq was mythical creatures (fictional) and the event of flying was not real?
Leo hii nataka uthibitishe uongo wa hizi habari, ukiweza mimi naacha kutumia hii ID hili nalisema mara kadha wa kadha na hukuwahi kufanya hivyo, sasa kujadiliana na mtu asi
i muumini gani ambaye anaweza akapita mbele ya msikiti kwenye nyomi ya watu akasema muhammad alipotosha habari ya kupasua mwezi na akaachwa salama?
Vipi atike salama wakati anakuwa anasema uongo na kupotosha...?
kama nafasi hiyo ya kuhoji mambo hayo haipo kwanini ushangazwe na habari za kuran kubakia vile vile?
Sasa wewe ndiyo uhoji na ukosoe tuone.

Lakini kwanini nihoji uongo na ukweli tuko nao, haya ni matumizi mabaya ya akili.
huo udhaifu uliuona kwa kutumia research gani?

unahakika gani kama uliitumia vizuri kanuni kama inavyotakiwa?

ulitumia vipimo gani ku detect huo udhaifu?
Uhalisia,naona unanichosha na kunipotezea muda kijana, hili nimeshalijibu huko nyuma.

Sasa uhakika tena wakati vitu vinaonekana, wewe huoni kama jua linatembea na dunia iko tuli ?
Hapa kazi imeisha.
 
umesema "Lincoln Barnett amekuja karne ya 20, na kuhitimisha jambo hilo."

mimi nimekuuliza

kahitimishaje?

unaelewa mpaka unafika hitimisho unatakiwa stage gani uwe umezipita?

hujajibu hili swali
Hitimisho la kuwa hakuna jaribio lililo fanyika la kisayansi linalo thibitisha ya kuwa dunia inazunguka.

Mathalani, unataka nifikie hitimisho gani la kisayansi kusema wewe upo na hapa unajadiliana na mimi ? Nakuonyesha ya kuwa si kila jambo linathibitishwa na sayansi, ukizingatia udhaifu wa Sayansi ulivyo.

Hili swali hapa nalijibu maya sita itakuwa.
ukiwa duniani jua linaonekana ku move juu ya anga na kupotea nyakati za jioni, hiyo ni kwasababu dunia ina spin toward east kwa hiyo unachokiona hapo ni eyes illusion
Hili ndiyo Foucoult imekuthibitishia. Muda huo wewe unakuwa hapo hapo ulipo au ?

Sasa hili ndilo mnalotakiwa kuthibitisha. Unaipimaje speed ya dunia, ukiwa kwenye dunia au ukiwa nje ya dunia ?
hii nayo umeitoa kule kule kwenye cyclopedia za kiislamu?
Haya tunayaita marejeo, sasa ndiyo uniambie kwamba Albert Michelson hakufanya hili jaribio na kuhitimisha ya kuwa dunia haizunguki au shida iko wapi ?

Wewe habari za Leon Foucault umezitoa wapi umeziota au wewe ndiyo wa kwanza ? Sasa hii si hoja kijana, jenga hoja na ujibu hoja, hui utoto haubadilishi ukweli wa kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi unao onyesha ya kuwa dunia inazunguka katika muhimili wake.
kuna mambo mawili huyaelewi

gari haina constant speed na ndio kuna decrease na icrease ya speed hivyo ni tofauti na dunia ambayo speed yake hai decrease wala ku icrease. Gari inapokata kona speed inapungua ikifika kwenye mlima gia inabadilishwa na hapo speed haiwezi kuwa the same.

kingine

mfano wako wa gari na mtu kulinganisha na dunia ni irrelevant

kwenye dunia mtu ni kitu kidogo sana kuweza ku feel motion, so kwa hoja yako ya gari angalau ulitakiwa utolee mfano wa sisimizi ambaye ni kinda.

hata sisimizi bado hajafikia vigezo vya kutumika kama mfano, pengine ilitakiwa useme meli ya titanic ikiwa iko kwenye motion sisimizi anaweza ku feel hiyo motion?
Constant speed ya gari ipo ikiwa katika conditions fulani, ikiwa katika straight path na condition nyingine.

Pili, sharti ya kupimwa kwa speed lazima kuwe na acceleration na dunia katika nukta hii mnaleta assumptions, na hamtuambii ilikuwaje ikaanza ku rotste na ni lini ? Kam mmeikuta dunia katika mwendo vipi mnaweza kupima mwendo wake na kuupata exactly ?

Tatu, hizi nadharia ndizo mlizomezeshwa ya kuwa kwazo huwezi kuhisi mwendo wa dunia, hapa nacheka sana, kuna milima mikubwa, kuna majengo marefu, kuna bahari na mambo kadha wa kadha, duni ingekuwa inazunguka lazima tunge feel athari ya mzunguko huo.

Nne, mfano wa gari ni stahiki sababu marejeo yapo, na mfano wako huna marejeo sababu ili upate uhalisia kazima uwe nje ya dunia.
we're all moving the same speed with it
Siyo kweli, hatw nikiwa kwenye gari na feel speed.

Kwa speed hiyo mimi hapa nilipo baada muda fulani nisingekuwa hapa, aidha kimuelekeo au kwa muda.
weka facts zenye kuzingatia itifaki za kisayansi, hapo hujaonesha tatizo kwenye foucalt bali umeonesha tatizo ni wewe kutokuielewa vyema.
Kuna facts kuliko uhalisia kijana ? Sasa nieleweshe na ujibu maswali niliyo kuuliza ?

Kijana nakushuri ukisoma kitu kisome hasa. Mimi situmii madhaifu kukosoa udhaifu hili usirudie tena, kama wewe unaishindwa kutumia njia za kisayansi ulizozitaja kuthibitisha ukweli wako, unatakiwa ukasome tena hizo njia uzielewe. Usitake na mimi niwe zwa zwa ksma wewe.
 
Wewe mafundisho ya dini yamekuharibu ..

Quote maswali yako yote uliyouliza nitakupa majibu.

Fanya saivi sasa.
Nimecheka sana.

Uzi si unauona kijana, haujafutwa fatilia kila swali nililo uliza kisha ulijibu, ukiweza naacha kutumia hii ID na wewe utakuwa shahidi.
 
Hili mpaka unakufa huwezi kulithibitisha, sababu kitabu chetu kinatuhimiza kwanza kabisa tusome na tunasoma kweli.
kinakuhimiza kusoma in scientific reasoning?

Kitabu ambacho kimeitangulia Sayansi hicho ni habari nyingine. Yaani mimi naweza kuikosoa Sayansi kwa Sayansi yenyewe kama nilivyofanya hapa na kuikosoa Sayansi kwa kitabu hiki na Hadithi za Mtume wa Allah.
ni mpumbavu pekee ndio anaweza kuona ulichokiandika hapa kina make sense.

kama sayansi ilitanguliwa na kuran kwanini mnasema kuran imeandika habari za kisayansi ambazo wanasayansi wanazikubali
Hivi ninacho kiandika huwa hukisomi au hukielewi ? Naona una mawenge unarudia rudia jambo ambalo nimeshalijibu.

Hivi uhalisia unahitaji ithibati za kisayansi ? Mathalani, ili tujue weww umezaliwa tunahitaji scientific method kujua hilo ? Sasa Qur'aan ndiyo uhalisia, na ndiyo maana hakuna aliyewahi kuikosoa Qur, 'aan zaidi akiamua kuisoma atastaajabu sana. Sasa usiniulize huu ujinga tena sababu nimeshakujibu zaidi ya mara tano sasa.
uhalisia ni nini?

unawezaje kujua ulichokiona ni uhalisia na sio kwamba you've been tricked by illusion?

Nipe emperical evidence ambazo ni valid and interpretable in accordance with with scientific method kwenye hiyo kuran, nipe stage zote walizotumia kutafiti hilo mpaka wakafikia hitimisho.
 
Hujajibu swali inavyotakiwa ndiyo maana nimekuuliza tena ili uhakiki ukichokijibu.

Wao sijui watapewa nini ila wao watakuwa ni bora zaidi ya wanawake hao.
Umeamua aje mpaka sasa kwamba ni waongo au ni wakweli? Comments zimekuwa nyingi sana nitazisoma ila napenda kujua kama umeshabadili msimamo.

How are you?
 
Kijana huwa unapenda kurudia mambo yaliyo jibiwa tena zaidi ya mara moja.

hujajibu swali

umesema hizo njia zina shida...hujatoa uthibitisho wa kauli yako

nimeuliza shida ipi? hujajibu

na pia nikauliza kabla ya kujua shida kwanza umejitafakari uelewa wako kuhusu hayo mambo ya sayansi unaona unatosha?

kwasababu inaweza ikawa unaona zinashida kwasababu huna maarifa ya kuielewa sayansi. Mfano huko juu umeonesha wazi hujui hata procedures za kufanya scientific research mpaka nikaamua niku recommend ukajifunze kwa mtoto wa form one

Nipe emperical evidence ambazo ni valid and interpretable in accordance with with scientific method kwenye hiyo kuran, nipe stage zote walizotumia kutafiti hilo mpaka wakafikia hitimisho.
Hakuna sehemu ambayo nimeonyesha ya kuwa sijui scientific method bali nineonyesha kwa namna gani zikivyo dhaifu ndiyo maana hata wewe umeshindwa kuzitumia kuonyesha ukweli wa jambo la kisayansi,
pitia post ambayo nimekuelekeza ukapate maarifa kwa mtoto wa kidato cha kwanza utaona.
nakupa tena bonus ya swali tumia scientific method kuonyesha ukweli wa Foucoult Pendulum.
umeisoma mpaka wapi hiyo FP?

Nataka nijihakikishie kwamba najadiliana na mtu anayejua hili jambo hivyo kutakua na maswali nitakayokuuliza ili kuthibitisha kama umeisoma kwa kuielewa kiasi cha kuona madhaifu yake

Nilikwambia situmii kosa kukosoa kosa, hapa huwa naziba upenyo wa kutoka ukitaka kutoka.
vile vile hujatumia usahihi kukosoa kosa, umelopoka tu.

Nipe emperical evidence ambazo ni valid and interpretable in accordance with with scientific method kwenye hiyo kuran, nipe stage zote walizotumia kutafiti hilo mpaka wakafikia hitimisho.
Na mimi nakurecommend kasome kitabu kiitwacho "Our Philosophy" uone udhaifu wa scientific method kitabu kimeandikwa Sadri. Sasa ukitaka marejeo hapa ninayo mengi sana, ila cha msingi unachotakiwa ni kuitetea hoja yako na kuonekana ni kweli, hili umelishindwa zamani.
bilashaka hicho kitabu kitakua kimetolewa kama suggestion kwenye cyclopedia za kiislam maana ndio source zako unazoziamini.

hilo neno udhaifu hujaanza leo kulitaja lakini hakuna siku uli prove kwa uthibitisho nahisi ni kwasababu source ya habari yako haikutoa majibu yote na ndio maana unaishia kuishia pale walipoishia wenzako
 
Umeamua aje mpaka sasa kwamba ni waongo au ni wakweli? Comments zimekuwa nyingi sana nitazisoma ila napenda kujua kama umeshabadili msimamo.

How are you?
Katika hili tunafata uhalisia wa mambo,uhalisia ambao uko kinyume na haya.

Mimi mzima sana bibie, hofu kwako. Uko byee....?
 
ni mpumbavu pekee ndio anaweza kuona ulichokiandika hapa kina make sense.

kama sayansi ilitanguliwa na kuran kwanini mnasema kuran imeandika habari za kisayansi ambazo wanasayansi wanazikubali
Nani amesema Qur'aan imeandika habari za kisayansi ? Huwa husomi nonacho kiandika kijana. Nimesema kinachosemwa na Qur'aan ni sahihi, Sayansi inakuja kufata, na ukiona sayansi imepingq na Qur'aan ujue Sayansi imedanganya, na Qur'aan si kitabu cha Sayansi bali ni kitabu cha muongozo na ni kweli tupu.

Ndiyo sisi wapunbavu ambao tunawasimamishia hoka za kielimu na kuonyesha kwa namna gani mgani mlivyo wajinga, mpaka sasa hivi hujatumia hizo scientifi method kuonyesha au kutetea ukweli wa Leon unaruka ruka.
 
kinakuhimiza kusoma in scientific reasoning?

ni mpumbavu pekee ndio anaweza kuona ulichokiandika hapa kina make sense.

kama sayansi ilitanguliwa na kuran kwanini mnasema kuran imeandika habari za kisayansi ambazo wanasayansi wanazikubali

uhalisia ni nini?

unawezaje kujua ulichokiona ni uhalisia na sio kwamba you've been tricked by illusion?

Nipe emperical evidence ambazo ni valid and interpretable in accordance with with scientific method kwenye hiyo kuran, nipe stage zote walizotumia kutafiti hilo mpaka wakafikia hitimisho.
 
uhalisia ni nini?

unawezaje kujua ulichokiona ni uhalisia na sio kwamba you've been tricked by illusion?

Nipe emperical evidence ambazo ni valid and interpretable in accordance with with scientific method kwenye hiyo kuran, nipe stage zote walizotumia kutafiti hilo mpaka wakafikia hitimisho.
Suala la uhalidia nimelijibu sana na hili lingine kadhalika umelirufia sana.
 
Back
Top Bottom