umesema "Lincoln Barnett amekuja karne ya 20, na kuhitimisha jambo hilo."
mimi nimekuuliza
kahitimishaje?
unaelewa mpaka unafika hitimisho unatakiwa stage gani uwe umezipita?
hujajibu hili swali
Hitimisho la kuwa hakuna jaribio lililo fanyika la kisayansi linalo thibitisha ya kuwa dunia inazunguka.
Mathalani, unataka nifikie hitimisho gani la kisayansi kusema wewe upo na hapa unajadiliana na mimi ? Nakuonyesha ya kuwa si kila jambo linathibitishwa na sayansi, ukizingatia udhaifu wa Sayansi ulivyo.
Hili swali hapa nalijibu maya sita itakuwa.
ukiwa duniani jua linaonekana ku move juu ya anga na kupotea nyakati za jioni, hiyo ni kwasababu dunia ina spin toward east kwa hiyo unachokiona hapo ni eyes illusion
Hili ndiyo Foucoult imekuthibitishia. Muda huo wewe unakuwa hapo hapo ulipo au ?
Sasa hili ndilo mnalotakiwa kuthibitisha. Unaipimaje speed ya dunia, ukiwa kwenye dunia au ukiwa nje ya dunia ?
hii nayo umeitoa kule kule kwenye cyclopedia za kiislamu?
Haya tunayaita marejeo, sasa ndiyo uniambie kwamba Albert Michelson hakufanya hili jaribio na kuhitimisha ya kuwa dunia haizunguki au shida iko wapi ?
Wewe habari za Leon Foucault umezitoa wapi umeziota au wewe ndiyo wa kwanza ? Sasa hii si hoja kijana, jenga hoja na ujibu hoja, hui utoto haubadilishi ukweli wa kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi unao onyesha ya kuwa dunia inazunguka katika muhimili wake.
kuna mambo mawili huyaelewi
gari haina constant speed na ndio kuna decrease na icrease ya speed hivyo ni tofauti na dunia ambayo speed yake hai decrease wala ku icrease. Gari inapokata kona speed inapungua ikifika kwenye mlima gia inabadilishwa na hapo speed haiwezi kuwa the same.
kingine
mfano wako wa gari na mtu kulinganisha na dunia ni irrelevant
kwenye dunia mtu ni kitu kidogo sana kuweza ku feel motion, so kwa hoja yako ya gari angalau ulitakiwa utolee mfano wa sisimizi ambaye ni kinda.
hata sisimizi bado hajafikia vigezo vya kutumika kama mfano, pengine ilitakiwa useme meli ya titanic ikiwa iko kwenye motion sisimizi anaweza ku feel hiyo motion?
Constant speed ya gari ipo ikiwa katika conditions fulani, ikiwa katika straight path na condition nyingine.
Pili, sharti ya kupimwa kwa speed lazima kuwe na acceleration na dunia katika nukta hii mnaleta assumptions, na hamtuambii ilikuwaje ikaanza ku rotste na ni lini ? Kam mmeikuta dunia katika mwendo vipi mnaweza kupima mwendo wake na kuupata exactly ?
Tatu, hizi nadharia ndizo mlizomezeshwa ya kuwa kwazo huwezi kuhisi mwendo wa dunia, hapa nacheka sana, kuna milima mikubwa, kuna majengo marefu, kuna bahari na mambo kadha wa kadha, duni ingekuwa inazunguka lazima tunge feel athari ya mzunguko huo.
Nne, mfano wa gari ni stahiki sababu marejeo yapo, na mfano wako huna marejeo sababu ili upate uhalisia kazima uwe nje ya dunia.
we're all moving the same speed with it
Siyo kweli, hatw nikiwa kwenye gari na feel speed.
Kwa speed hiyo mimi hapa nilipo baada muda fulani nisingekuwa hapa, aidha kimuelekeo au kwa muda.
weka facts zenye kuzingatia itifaki za kisayansi, hapo hujaonesha tatizo kwenye foucalt bali umeonesha tatizo ni wewe kutokuielewa vyema.
Kuna facts kuliko uhalisia kijana ? Sasa nieleweshe na ujibu maswali niliyo kuuliza ?
Kijana nakushuri ukisoma kitu kisome hasa. Mimi situmii madhaifu kukosoa udhaifu hili usirudie tena, kama wewe unaishindwa kutumia njia za kisayansi ulizozitaja kuthibitisha ukweli wako, unatakiwa ukasome tena hizo njia uzielewe. Usitake na mimi niwe zwa zwa ksma wewe.