Sasa mbons hujajibu swali lolote kuhusu Fuocault Pendulum ?Niitetee kwa minajili ipi?
Mimi sijaona tatizo, tatizo nimeliona kwako huna elimu juu ya hilo.
Labda nikutetee wewe kwamba tatizo ni kutohudhuria masomo yako effectively
Lakini vipe uone tatizo wakati wewe ni kipofu juu ya jambo hilo ? Hii ni ajabu.
Tena nimekukosoa na marejeo nikakupa. Usiwe unabisha juu ya jambo usilokuwa na elimu nalo, matokeo yake ndiyo haya.