Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Niitetee kwa minajili ipi?

Mimi sijaona tatizo, tatizo nimeliona kwako huna elimu juu ya hilo.

Labda nikutetee wewe kwamba tatizo ni kutohudhuria masomo yako effectively
Sasa mbons hujajibu swali lolote kuhusu Fuocault Pendulum ?

Lakini vipe uone tatizo wakati wewe ni kipofu juu ya jambo hilo ? Hii ni ajabu.

Tena nimekukosoa na marejeo nikakupa. Usiwe unabisha juu ya jambo usilokuwa na elimu nalo, matokeo yake ndiyo haya.
 
Huu utoto mwingine kijana, uzi upo huu. Soma.
Kwani hizo nukuu umezisahau?

Mimi nimepita huko sijaona nataka saizi uniwekee kwenye post yako utakayo jibu hii comment yangu
 
Darasa ndio source ya maarifa na sehemu kuu ya kuanza kupata maarifa kuanzia basic nk

Ulichokifanya wewe hujashirikisha hata ubongo wako kusoma hicho kitabu we ukaridhika na kichwa cha habari kwasababu mostly waislamu wanapinga sayansi na ndio maana nikikubana kwa kukuliza maswali unaishia pale pale walipoishia hao critics
Ohoo, darasani habari za Leon wameziyoa wapi ? Kijana mbona unajiaibisha ?

Pili, darasa ni sehemu ya kujifunza hata online pia huitwa darasani.

Tatu, kwanza hujanibana popote na kila swali ulilo uliza nimekujibu.

Nne, kama wako sahihi na wamejitosheleza niende nje ya walipoishia wao ili nikosee ? Sasa wakosoe, hili mbona umeshindwa kijana ?
 
Copy and paste yako imeonesha walakini kwenye kuelewa mambo. Ulicho ki copy hujakipitia kukisoma umebeba kama kilivyo kwa kuamini kwamba watakua wametoa hoja sahihi katika pingamizi hilo

Na hii sio mara moja kwako umekua ukifanya hivi mara nyingi tu hata katika mada zako kuu. Halafu unaanzisha ubishi wa kijinga as if hicho kitu kweli umekisoma na kukielewa kumbe hola
Sasa kama ni hivyo, ulitakiwa ukikosoe na uweke usahihi wa mambo jambo ambalo hujalifanua na mjadala wa Leon umeukimbia. Umebaki kurudia maswali nikiyo kujibu, huu utoto unatakiwa uuache.
 
Nikosoe mawazo ya waislamu wenzako?
Sahihi kabisa wewe si uko sahihi, au hujui kama uko sahihi au hujui unachikijadili, kama hujui kwanini unapotezea watu muda ?
 
Nikikuambia unipe source nilipo copy unaweza?

Mimi nimeweka evidence ya kule ulikokitoa kwa kuweka picha inayoonesha mfanano wa hizo nukuu.
Sasa labda tu nikuulize na nionyeshe ujinga wako ? Habari za Leon na Pendulum yake umezipata wapi ? Si umesema umefundishwa darasani, sasa unaniuliza tena nikupe source wakati umeshakiri kwamba umesomeshwa darasani hii ndiyo source yako, maana huko ndiko ulipo copy, ajabu uliishia kukariri jina la Pendulum tena kwa wanafunzi tulivyo inaonekana wazi wewe umegoogle ulivyoona tu kwamba ni kitu kinacho thibitisha ya kuwa dunia inazunguka kwa uwazi, ukavamia ukakileta, kilicho kukuta nafsi yako bila shaka ni shahidi. Tena inaonekana hata Parameters za equations ya motion huzijui, maana ulikimbia swali hili.

Sisi tunaonyesha tofauti kati ya kukariri ns kuelewa.
 
Hii inaonesha wazi kwamba ni kiasi gani sio mbunifu wa kujitafutia maarifa yako kwa ku reason mwenyewe bila kuangalia nani kasema jambo hilo ili ulibebe kama lilivyo ulitumie kutetea hoja zako.

Hizo habari ulizo copy hujazisoma na kuzielewa na ndio maana nimekuuliza maswali mengi umeshindwa kujibu na hiyo ndio hasara ya ku copy na ku paste
Sasa ubunifu vipi kitu ambacho kimeshakamilika ? Ubunifu wenu ndiyo umewapoteza na kuja mambo ya kijinga na uongo marw kila jambo linahitaji uthubitisho wa kisayansi, lakini nilivyo kubana naona umebadilisha na kusema ni mambo ya kisayansi tu ndiyo uhitaji uthibitisho wa kisayansi. Naamini kuanzia leo ule ujinga wa kusema hadithi za mtume ni hadithi za kubuni kama alfulela ulela au kupasuka kwa mwezi ni hadithi tu sababu hazina ushahidi wa kisayansi, zimeisha maana tukio la mwezi kupasuka si tukio la kisayansi bali ni uhalisia.

Endelea kubuni mimi nakuja kukuchapa tu. Sifa ya kitu kilichokamilika ukikipunguza umekiharibu na ukiongeza pia umeharibu.

Uongo huwa hatupendi, onyesha swali gani ulilo uliza kuhusu kile nilicho kicopy sikukujibu na mimi nakuonyesha maswali nikiyo kuuliza kwa kile ulichoki copy hukujibu.
 
Nani amekwambia nina shaka juu wako ? Kijana unasinzia nini ? Maana yake huna uthibitisho wa kisayansi kuonyesha wewe upo, hii ni maana yake ya kuwa si kila jambo linathibitishwa kisayansi.
Umesema haiwezekani?

Ili kitu kiwepo kinatakiwa kiwe na factor gani?

Sasa kama hakuna haja ya wewe kutoa ushahidi, na ndiyo hivyo hivyo Sayansi haiwezi kuthibisha kuzunguka kwa dunia sababu jwmbo hili liko wazi sana kiadi ambacho kuleta ithibati ni kudhihirisha uongo wa sayansi.
Usiseme haiwezi wakati umeulizwa maswali yenye kukupa ufumbuzi wa hilo na umekiri kuwa huyajui

Sasa kama huyajui why useme imeshindwa?
Maana yake mjadala umeisha.
Umeashaje?
 
abda uniambie mwanafunzi anaye copy majibu ya mwenzake kipindi cha mtihani

Unge copy halafu ukazisoma hizo habari kwa undani zaidi ungepata maarifa, lakini ku copy bila kuhakiki taarifa ni ujinga
Sasa kijana si ukosoe kile nilicho copy, maana nimecopy habari za kina Barnett zile na vitabu vipo au kitabu cha "The Universe and Dr. Einstein" cha Waislamu au hakipo ? Au Stephen Hawking hajulikani na yale hayajayasema ? Yaani zile habari nimeziosoma na makala ina zadi ya kurasa 24. Sasa kosoa kijana usipate shida.

Taarifa nilizo zitoa za uhakika ndiyo maana ulikimbia kuwajadili kina Michelson ukapita mbali.
 
Umesema haiwezekani?

Ili kitu kiwepo kinatakiwa kiwe na factor gani?
Jibu swali nililo kuuliza.
Usiseme haiwezi wakati umeulizwa maswali yenye kukupa ufumbuzi wa hilo na umekiri kuwa huyajui

Sasa kama huyajui why useme imeshindwa?
Maswali gani hayo nimesema siyajui, naona ni mengi nitajie matatu tu.
Umeashaje?
Umeshakiri ya kuwa sayansi ina thibitishwa kwa mambo ya sayansi. Maana yake si kila jambo linathibitishwa kisayansi, una kubali au unakataa ? Ndiyo maana nilipo kuuliza ya kuwa ushahidi gani au uchunguzi gani wa kisayansi unaweza kuthibitisha ya kuwa wewe ni mdogo kuliko baba yako au moja ni nusu mbili ? Huu ndiyo uhalisia wenyewe na dunia kutozunguka ni uhalisia, na jua kitembea ni uhalisia. Ndiyo maana sayansi inaleta dhana na ukanjanja juu ya viwili hivyo.
 
Sasa labda tu nikuulize na nionyeshe ujinga wako ? Habari za Leon na Pendulum yake umezipata wapi ? Si umesema umefundishwa darasani,
Na huko sio ku copy, huko ni kufundishwa unaelewa, unahoji, na unaweza ukaelezea kwa wigo mpana hicho kitu

Ulichokifanya wewe ni ku copy na kuja kuya paste huku tena ukitoa kwenye untrusted site ambazo sio official kwenye maswala hayo.

Hiyo inatilia shaka uelewa wako na nimethibitisha hilo baada ya kugundua hujui chochote zaidi ya hapo walipoishia wenzako.

sasa unaniuliza tena nikupe source wakati umeshakiri kwamba umesomeshwa darasani hii ndiyo source yako, maana huko ndiko ulipo copy
Darasani hatu copy, labda kwa muktadha wa mwanafunzi anaye igia kwa mwenzake bila kushirikishi ubongo huyo ndio ana copy

Wewe huna tofauti na huyo anayeigia kwa mwenzake majibu ambayo hayajui ila kayakuta tu mwenzake kaandika

ajabu uliishia kukariri jina la Pendulum tena kwa wanafunzi tulivyo inaonekana wazi wewe umegoogle ulivyoona tu kwamba ni kitu kinacho thibitisha ya kuwa dunia inazunguka kwa uwazi
ukavamia ukakileta, kilicho kukuta nafsi yako bila shaka ni shahidi. Tena inaonekana hata Parameters za equations ya motion huzijui, maana ulikimbia swali hili.
Sisi tunaonyesha tofauti kati ya kukariri ns kuelewa.

Sasa kama nime google hapo ndio nafasi yako ya wewe kunionesha hizo source nilizo copy huko kama ambavyo mimi nimefanya.
 
Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani[emoji27][emoji27] Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap[emoji27][emoji27][emoji27] Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake[emoji27][emoji27]
Wewe utakufa kabla ya huo mwisho wa dunia.
Huo utafiti unalenga vitukuu wa vitukuu wako.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sasa kijana si ukosoe kile nilicho copy,
Hujakielewa, kakisome ukielewe kwanza mbona nimekuuliza maswali mengi ambayo yameonesha sio tu kwamba huna concept bali hujui kitu?
maana nimecopy habari za kina Barnett zile na vitabu vipo au kitabu cha "The Universe and Dr. Einstein" cha Waislamu au hakipo ?
Umekisoma umekielewa?
Au Stephen Hawking hajulikani na yale hayajayasema ?
Kwanza umeelewa vyema alichokisema stephen hawking?

Unaelewa kwamba stephen hawking akipingama na earth rotation habari ya black hole inakosa mashiko?

Unaelewa black hole ndio dhana kubwa ambayo ina mchango mkubwa sana wa hawking katika kufanikisha watu wanaelewa?

Sasa ushawahi jiuliza anaanzaje kupinga hoja ambayo ipo kwenye chain moja na nadharia ambayo anaikubali?

Yaani zile habari nimeziosoma na makala ina zadi ya kurasa 24. Sasa kosoa kijana usipate shida.
Kujua idadi ya kurasa hakuthibitishi kua umesoma, hilo linaweza kuandikwa hata nje ya ganda la kitabu pasipo hata mtu kusoma yaliyomo anaweza kujua

Mimi nimegundua hilo kua haujasoma kitu kutokana na maswali nayokuuliza umeonesha kutoyajua kabisa. Kivipi usome ukaelewa halafu ushindwe kujibu maswali?
Taarifa nilizo zitoa za uhakika ndiyo maana ulikimbia kuwajadili kina Michelson ukapita mbali.
Uhakika gani?

Wakati nimekupa vigezo vya kuhakiki habari umeshindwa?
 
Na huko sio ku copy, huko ni kufundishwa unaelewa, unahoji, na unaweza ukaelezea kwa wigo mpana hicho kitu

Ulichokifanya wewe ni ku copy na kuja kuya paste huku tena ukitoa kwenye untrusted site ambazo sio official kwenye maswala hayo.

Hiyo inatilia shaka uelewa wako na nimethibitisha hilo baada ya kugundua hujui chochote zaidi ya hapo walipoishia wenzako.
Sasa nilicho copy ni cha uongo kwa mtazamo wako sasa thibitisha hilo. Hili unakwepa sana.

Swali langu ni hujajibu darasani waetoa wapi hizo habari za Leon ?

Onyesha ya kuwa hizo site ni untrusted na kwanini na je kilichoandikwa sahihi au siyo sahihi ?

Ajabuukweli ni kwamba hizo site ni sahihi zaidi na za kweli kuliko NASA na mfano wake, hi huwezi kukosoa mpaka unakufa.
Darasani hatu copy, labda kwa muktadha wa mwanafunzi anaye igia kwa mwenzake bila kushirikishi ubongo huyo ndio ana copy

Wewe huna tofauti na huyo anayeigia kwa mwenzake majibu ambayo hayajui ila kayakuta tu mwenzake kaandika
Hukumuuliza mwalimu wako ametoa wapi habari za Foucault Pendulum ?

Embu nikumbushe hivi Faucault Pendulum ulisoma katika topic ya Mechanics siyo au kidato cha ngapi ? Nacheka sana.
Sasa kama nime google hapo ndio nafasi yako ya wewe kunionesha hizo source nilizo copy huko kama ambavyo mimi nimefanya.
Sasa nitaainisha vipi wakati umecopy jambo la ujumla kwalo lipo katika source nyingi, ni sawa na mimi nikwambie unipe source ya first law of Newton katika motion, kisha nikwambie umeitoa wapi, bila shaka utakataa sababu source za hiyo law ziko nyingi. Usiwe unauliza maswali ya kijinga.
 
Hujakielewa, kakisome ukielewe kwanza mbona nimekuuliza maswali mengi ambayo yameonesha sio tu kwamba huna concept bali hujui kitu?
Hakuna swali hata moja, zaidi ya wewe kukimbia na Pendulum, na kuachana na mada ya msingi.

Hili huna uwezo nalo, na humu umethibitisha hilo.
 
Wakati nimekupa vigezo vya kuhakiki habari umeshindwa?
Habari gani za kisayansi au habari kama habari ?

Ulichoweka wewe ni scientifi method ambazo hukuweza kuzitumia kuitetea hoja ya Pendulum.
 
Back
Top Bottom