Sasa mbons hujajibu swali lolote kuhusu Fuocault Pendulum ?Niitetee kwa minajili ipi?
Mimi sijaona tatizo, tatizo nimeliona kwako huna elimu juu ya hilo.
Labda nikutetee wewe kwamba tatizo ni kutohudhuria masomo yako effectively
Ndiyo huo nimeuweka.Irrelevant
Umeniambia unao uthibitisho na ndio maana nimekuambia uweke
Uweke sasa
Usitoke nje ya mada kijana.Falsafa ni nini?
Sayansi ni nini?
Solar system ni nini?
Na ili kitu kionekana kinahusiana na sayansi ni factor gani zinasngaliwa?
Kwani hizo nukuu umezisahau?Huu utoto mwingine kijana, uzi upo huu. Soma.
Ohoo, darasani habari za Leon wameziyoa wapi ? Kijana mbona unajiaibisha ?Darasa ndio source ya maarifa na sehemu kuu ya kuanza kupata maarifa kuanzia basic nk
Ulichokifanya wewe hujashirikisha hata ubongo wako kusoma hicho kitabu we ukaridhika na kichwa cha habari kwasababu mostly waislamu wanapinga sayansi na ndio maana nikikubana kwa kukuliza maswali unaishia pale pale walipoishia hao critics
Huu uongi mwingine.Kwani hizo nukuu umezisahau?
Mimi nimepita huko sijaona nataka saizi uniwekee kwenye post yako utakayo jibu hii comment yangu
Sasa kama ni hivyo, ulitakiwa ukikosoe na uweke usahihi wa mambo jambo ambalo hujalifanua na mjadala wa Leon umeukimbia. Umebaki kurudia maswali nikiyo kujibu, huu utoto unatakiwa uuache.Copy and paste yako imeonesha walakini kwenye kuelewa mambo. Ulicho ki copy hujakipitia kukisoma umebeba kama kilivyo kwa kuamini kwamba watakua wametoa hoja sahihi katika pingamizi hilo
Na hii sio mara moja kwako umekua ukifanya hivi mara nyingi tu hata katika mada zako kuu. Halafu unaanzisha ubishi wa kijinga as if hicho kitu kweli umekisoma na kukielewa kumbe hola
Sahihi kabisa wewe si uko sahihi, au hujui kama uko sahihi au hujui unachikijadili, kama hujui kwanini unapotezea watu muda ?Nikosoe mawazo ya waislamu wenzako?
Uelewa wangu ndiyo umetufikisha hapa, inakuwaje unauliza maswali yaliyojibiwa ?Sawa
Sasa labda tu nikuulize na nionyeshe ujinga wako ? Habari za Leon na Pendulum yake umezipata wapi ? Si umesema umefundishwa darasani, sasa unaniuliza tena nikupe source wakati umeshakiri kwamba umesomeshwa darasani hii ndiyo source yako, maana huko ndiko ulipo copy, ajabu uliishia kukariri jina la Pendulum tena kwa wanafunzi tulivyo inaonekana wazi wewe umegoogle ulivyoona tu kwamba ni kitu kinacho thibitisha ya kuwa dunia inazunguka kwa uwazi, ukavamia ukakileta, kilicho kukuta nafsi yako bila shaka ni shahidi. Tena inaonekana hata Parameters za equations ya motion huzijui, maana ulikimbia swali hili.Nikikuambia unipe source nilipo copy unaweza?
Mimi nimeweka evidence ya kule ulikokitoa kwa kuweka picha inayoonesha mfanano wa hizo nukuu.
Sasa ubunifu vipi kitu ambacho kimeshakamilika ? Ubunifu wenu ndiyo umewapoteza na kuja mambo ya kijinga na uongo marw kila jambo linahitaji uthubitisho wa kisayansi, lakini nilivyo kubana naona umebadilisha na kusema ni mambo ya kisayansi tu ndiyo uhitaji uthibitisho wa kisayansi. Naamini kuanzia leo ule ujinga wa kusema hadithi za mtume ni hadithi za kubuni kama alfulela ulela au kupasuka kwa mwezi ni hadithi tu sababu hazina ushahidi wa kisayansi, zimeisha maana tukio la mwezi kupasuka si tukio la kisayansi bali ni uhalisia.Hii inaonesha wazi kwamba ni kiasi gani sio mbunifu wa kujitafutia maarifa yako kwa ku reason mwenyewe bila kuangalia nani kasema jambo hilo ili ulibebe kama lilivyo ulitumie kutetea hoja zako.
Hizo habari ulizo copy hujazisoma na kuzielewa na ndio maana nimekuuliza maswali mengi umeshindwa kujibu na hiyo ndio hasara ya ku copy na ku paste
Umesema haiwezekani?Nani amekwambia nina shaka juu wako ? Kijana unasinzia nini ? Maana yake huna uthibitisho wa kisayansi kuonyesha wewe upo, hii ni maana yake ya kuwa si kila jambo linathibitishwa kisayansi.
Usiseme haiwezi wakati umeulizwa maswali yenye kukupa ufumbuzi wa hilo na umekiri kuwa huyajuiSasa kama hakuna haja ya wewe kutoa ushahidi, na ndiyo hivyo hivyo Sayansi haiwezi kuthibisha kuzunguka kwa dunia sababu jwmbo hili liko wazi sana kiadi ambacho kuleta ithibati ni kudhihirisha uongo wa sayansi.
Umeashaje?Maana yake mjadala umeisha.
Sasa kijana si ukosoe kile nilicho copy, maana nimecopy habari za kina Barnett zile na vitabu vipo au kitabu cha "The Universe and Dr. Einstein" cha Waislamu au hakipo ? Au Stephen Hawking hajulikani na yale hayajayasema ? Yaani zile habari nimeziosoma na makala ina zadi ya kurasa 24. Sasa kosoa kijana usipate shida.abda uniambie mwanafunzi anaye copy majibu ya mwenzake kipindi cha mtihani
Unge copy halafu ukazisoma hizo habari kwa undani zaidi ungepata maarifa, lakini ku copy bila kuhakiki taarifa ni ujinga
Jibu swali nililo kuuliza.Umesema haiwezekani?
Ili kitu kiwepo kinatakiwa kiwe na factor gani?
Maswali gani hayo nimesema siyajui, naona ni mengi nitajie matatu tu.Usiseme haiwezi wakati umeulizwa maswali yenye kukupa ufumbuzi wa hilo na umekiri kuwa huyajui
Sasa kama huyajui why useme imeshindwa?
Umeshakiri ya kuwa sayansi ina thibitishwa kwa mambo ya sayansi. Maana yake si kila jambo linathibitishwa kisayansi, una kubali au unakataa ? Ndiyo maana nilipo kuuliza ya kuwa ushahidi gani au uchunguzi gani wa kisayansi unaweza kuthibitisha ya kuwa wewe ni mdogo kuliko baba yako au moja ni nusu mbili ? Huu ndiyo uhalisia wenyewe na dunia kutozunguka ni uhalisia, na jua kitembea ni uhalisia. Ndiyo maana sayansi inaleta dhana na ukanjanja juu ya viwili hivyo.Umeashaje?
Na huko sio ku copy, huko ni kufundishwa unaelewa, unahoji, na unaweza ukaelezea kwa wigo mpana hicho kituSasa labda tu nikuulize na nionyeshe ujinga wako ? Habari za Leon na Pendulum yake umezipata wapi ? Si umesema umefundishwa darasani,
Darasani hatu copy, labda kwa muktadha wa mwanafunzi anaye igia kwa mwenzake bila kushirikishi ubongo huyo ndio ana copysasa unaniuliza tena nikupe source wakati umeshakiri kwamba umesomeshwa darasani hii ndiyo source yako, maana huko ndiko ulipo copy
ajabu uliishia kukariri jina la Pendulum tena kwa wanafunzi tulivyo inaonekana wazi wewe umegoogle ulivyoona tu kwamba ni kitu kinacho thibitisha ya kuwa dunia inazunguka kwa uwazi
ukavamia ukakileta, kilicho kukuta nafsi yako bila shaka ni shahidi. Tena inaonekana hata Parameters za equations ya motion huzijui, maana ulikimbia swali hili.
Sisi tunaonyesha tofauti kati ya kukariri ns kuelewa.
Wewe utakufa kabla ya huo mwisho wa dunia.Sasa hizo siku zikifika Mimi hapa nilipo nafikaje huko kama tu hicho kifaa kimetumia Trillion 6 mimi mwenyew nafikaje na nitatumia kifaa gani[emoji27][emoji27] Maana kama Kupanda ndege ya 200k nimefeli hiyo Hela yao natolea wap[emoji27][emoji27][emoji27] Au kila mtu atakula urefu wa kamba yake[emoji27][emoji27]
Hujakielewa, kakisome ukielewe kwanza mbona nimekuuliza maswali mengi ambayo yameonesha sio tu kwamba huna concept bali hujui kitu?Sasa kijana si ukosoe kile nilicho copy,
Umekisoma umekielewa?maana nimecopy habari za kina Barnett zile na vitabu vipo au kitabu cha "The Universe and Dr. Einstein" cha Waislamu au hakipo ?
Kwanza umeelewa vyema alichokisema stephen hawking?Au Stephen Hawking hajulikani na yale hayajayasema ?
Kujua idadi ya kurasa hakuthibitishi kua umesoma, hilo linaweza kuandikwa hata nje ya ganda la kitabu pasipo hata mtu kusoma yaliyomo anaweza kujuaYaani zile habari nimeziosoma na makala ina zadi ya kurasa 24. Sasa kosoa kijana usipate shida.
Uhakika gani?Taarifa nilizo zitoa za uhakika ndiyo maana ulikimbia kuwajadili kina Michelson ukapita mbali.
Sasa nilicho copy ni cha uongo kwa mtazamo wako sasa thibitisha hilo. Hili unakwepa sana.Na huko sio ku copy, huko ni kufundishwa unaelewa, unahoji, na unaweza ukaelezea kwa wigo mpana hicho kitu
Ulichokifanya wewe ni ku copy na kuja kuya paste huku tena ukitoa kwenye untrusted site ambazo sio official kwenye maswala hayo.
Hiyo inatilia shaka uelewa wako na nimethibitisha hilo baada ya kugundua hujui chochote zaidi ya hapo walipoishia wenzako.
Hukumuuliza mwalimu wako ametoa wapi habari za Foucault Pendulum ?Darasani hatu copy, labda kwa muktadha wa mwanafunzi anaye igia kwa mwenzake bila kushirikishi ubongo huyo ndio ana copy
Wewe huna tofauti na huyo anayeigia kwa mwenzake majibu ambayo hayajui ila kayakuta tu mwenzake kaandika
Sasa nitaainisha vipi wakati umecopy jambo la ujumla kwalo lipo katika source nyingi, ni sawa na mimi nikwambie unipe source ya first law of Newton katika motion, kisha nikwambie umeitoa wapi, bila shaka utakataa sababu source za hiyo law ziko nyingi. Usiwe unauliza maswali ya kijinga.Sasa kama nime google hapo ndio nafasi yako ya wewe kunionesha hizo source nilizo copy huko kama ambavyo mimi nimefanya.
Hakuna swali hata moja, zaidi ya wewe kukimbia na Pendulum, na kuachana na mada ya msingi.Hujakielewa, kakisome ukielewe kwanza mbona nimekuuliza maswali mengi ambayo yameonesha sio tu kwamba huna concept bali hujui kitu?
Habari gani za kisayansi au habari kama habari ?Wakati nimekupa vigezo vya kuhakiki habari umeshindwa?