FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwa wenye akili, tukate hati miliki za viwanja sayari ya sayari ya Mars
Hiyo sayari ni potential sana kwa miaka kadhaa ijayo, taifa la watu wenye akili ni vema tukapimiana viwanja tukiwa huku huku Duniani, tutakapoanza kwenda huko kazi yetu ni kuwalangua watu viwanja kama anavyofanya professor. ================================ Update: 19/02/2021...