FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hapana, naizungumzia akili iliyo salama isiyo na shakaAkili unayoizungumzia hapa siyo ile yenyewe, akili iliyo salama inahoji na kutafakari kwa kina, na ibapotfakari inakuja na maswali yasiyo jibika.
Unapotoka kuchezea michanga chezea vizuri usije ukachafuka kwani mama atakuchapa.Hapana, naizungumzia akili iliyo salama isiyo na shaka
Duh huyu jamaa ni mbishi kweli.Angalia usije bisha kuwa haujazaliwa.Wewe hapo umeona nini ? Mpaka unaniuliza kama nimeona?
Kwani hapo bibie kitu kimekufanya mpaka ukasidikisha hiyo habari? Je, hukuona haja ya kuhoji au hupaswi kuhoji?
Mimi mpaka hapo nina maswali zaidi ya matatu ya kuhoji juu ya habari hiyo. Huku ushahidi wa picha nikiudhohofisha sababu hata mimi naweza kubuni picha kama hiyo.
Tukirudi katika swali lako, hapo nimeona picha tu sijaona kipya. Ili niweze kuwaamini tu ni kuwa watuambie kwanini walituambia kuna mtu alienda mwezini na kwanini hawaendi tena?
Ukweli huwa una mea popote.Duh huyu jamaa ni mbishi kweli.Angalia usije bisha kuwa haujazaliwa.
Mzungu angewaza kama wewe wasingefika afrika wala amerika kusini.Wazungu wanawekeza nguvu nyingi kwenye maswala ya anga za mbali ambako hata wakisema wakaishi huko maisha yatakuwa ya gharama kubwa kuliko hapa duniani ambako bado hawajapamaliza.
Sijui kuna nini kwenye hizi mission zao.
Mjinga wewe, thibitisha hilo.
Unadhani Mungu alipokuwa akiagiza watu wake watoke nchi moja kwenda nchi nyingine alimaanisha Sudan na Rwanda?
Hizi unazoita nchi leo ziliwekwa mipaka na wakoloni na kupewa majina, rejea neno NCHI kwa lugha ya Mungu wa enzi.
Huyo jamaa anaweza kubisha wewe umekufa na akakushinda alafu anaweza akaanza kubisha wewe ujafa na akashinda jamaa Bishi linamaelezo mengi bila hoja za maana.Duh huyu jamaa ni mbishi kweli.Angalia usije bisha kuwa haujazaliwa.
Ndio wenye akili za KI MEKO, watu wanaumiza vichwa, na pesa nyingi, jitu linakuja tu ohhh, hizo chanjo wanataka kupunguza waafrika?!!tuzikataee, si utengeneze za kwako?!!Wenzako wanajifungia ndani wanafanya tafiti za mabilion ya pesa wewe from no where.. i mean not from no where like no where yani kwenye sofa la shemeji yako hapo unaita "UONGO".
Yes this guys are working very hard... Gharama za hii mission ni TZS Trilioni 7..... Yaani karibia robo ya bajeti yetu ya mwaka mzima.Wenzako wanajifungia ndani wanafanya tafiti za mabilion ya pesa wewe from no where.. i mean not from no where like no where yani kwenye sofa la shemeji yako hapo unaita "UONGO".
Punguza upimbi basi CNN wameonyesha moving pictures kabisa... Ingia You tube utaona, hakuna habari za kuficha ficha mambo kwa wenzetu....Wewe hapo umeona nini ? Mpaka unaniuliza kama nimeona?
Kwani hapo bibie kitu kimekufanya mpaka ukasidikisha hiyo habari? Je, hukuona haja ya kuhoji au hupaswi kuhoji?
Mimi mpaka hapo nina maswali zaidi ya matatu ya kuhoji juu ya habari hiyo. Huku ushahidi wa picha nikiudhohofisha sababu hata mimi naweza kubuni picha kama hiyo.
Tukirudi katika swali lako, hapo nimeona picha tu sijaona kipya. Ili niweze kuwaamini tu ni kuwa watuambie kwanini walituambia kuna mtu alienda mwezini na kwanini hawaendi tena?
Elimu yako mkuu ili tuweze kukusaidia??Haya mambo ya Sayari yapo kweli au usanii tu wa NASA?
Wewe endelea kuamini kikombe cha babu, na kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, haya mengine they are far beyond your understanding....Nilitaka kusema hivyo hivyo. hawa jamaa tangu waje na ile movie ya kumuua osama huku obama anaangalia live ndio mimechoka. wana msemo wao if you cannot make it fake it.
Na kupita bila kupingwa kwenye chaguzi....Sisi tumefanikiwa katika kupiga Nyungu!
Alafu maelezo na hoja zake zote ni nonsense yaani hazina mashiko na ni za kipuuzi na kitoto kweli.Mtu mwenye busara hata akipinga hoja anapinga kwa utayari wa kufundishwa na kukubali kuelewa jambo fulani na kukubali mawazo mapya asiyofahamu na sio kujifanya mjuaji wa kila jambo hali ya kuwa hakuna anachokifahamu.Huyo jamaa anaweza kubisha wewe umekufa na akakushinda alafu anaweza akaanza kubisha wewe ujafa na akashinda jamaa Bishi linamaelezo mengi bila hoja za maana.
Unamaanisha matumizi ya neno "akili iliyo salama" hutumiwa na watoto kuelezea utoto?Unapotoka kuchezea michanga chezea vizuri usije ukachafuka kwani mama atakuchapa.
Nazungumza na wewe, utoto uache.
Tuliza akili na usome nachokiandika, utoto na ushabiki baki nao.Punguza upimbi basi CNN wameonyesha moving pictures kabisa... Ingia You tube utaona, hakuna habari za kuficha ficha mambo kwa wenzetu....
Maelezo yangu yamejitosheleza.Unamaanisha matumizi ya neno "akili iliyo salama" hutumiwa na watoto kuelezea utoto?
Sasa kama sina hoja maana yake ni rahisi kujibu ninachokiandika.Huyo jamaa anaweza kubisha wewe umekufa na akakushinda alafu anaweza akaanza kubisha wewe ujafa na akashinda jamaa Bishi linamaelezo mengi bila hoja za maana.