Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Mimi napenda ujue vitu vidogo vidogo ambavyo unaviona ndo tujadili mambo makubwa.
Wewe kwa akili yako unafikiri ndege kuruka na kutua hakuna assumptions?
Kuna assumptions nyingi sana mpaka umbo la ndege iweze kuruka na kutua salama, hizo assumptions zinarahisishwa kwa msaada wa kitu kinaitwa calculus na applications za theory za motion. Hata utabiri wa hali ya hewa una assumption kibao ila unatoa kitu kama kilivyo tabiliwa, ila sijajua mwengu una fani gani. Ungekuwa karibu ningekuelewesha kwa vitu havipo linearly kama unavyo fikiria maana hata kwenye biasha na uzalishaji haupo kama unavyo waza ndo maana kuna assumptions kibao kwenye uchumi
Kijana usipate shida weka hizo Assumptions nikuonyeshe kwa namna gani hazifanyi kazi.

Kisha mada hii naimaliza kwa kitu hiki "Contigent Factors/Factor"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu wewe ni Muislamu??
Tena Muislamu hasa.
 
Waafrika huwa ni rahisi sana kuamini kitu hususani kwa wazungu...unaamini kweli hicho kifaa kimefika sayari ya MARS!!!!! Mkisikia tu "mzungu kafanya kitu flani" mnapigwa butwaa [emoji3]
Wewe mmatumbi wa buza umefanya nini zaidi ya kujamba tu na kuchafua mazingira?

Hao wazungu ndio wanaokufanya unaandika ushuzi wako hapa jamiiforums kwa kujimwambafai.

Usisahau hilo.
 
Wewe mmatumbi wa buza umefanya nini zaidi ya kujamba tu na kuchafua mazingira?

Hao wazungu ndio wanaokufanya unaandika ushuzi wako hapa jamiiforums kwa kujimwambafai.

Usisahau hilo.


Mtu mweusi ataendelea kuwa mtumwa wa mzungu isipokuwa wenye kujitambua ...refer ulichokiandika hata mtoto wako I don't know what he will learn from you boy!!!! Kuwa na hekma/busara na maneno yako kijana.
 
Wewe hapo umeona nini ? Mpaka unaniuliza kama nimeona?

Kwani hapo bibie kitu kimekufanya mpaka ukasidikisha hiyo habari? Je, hukuona haja ya kuhoji au hupaswi kuhoji?

Mimi mpaka hapo nina maswali zaidi ya matatu ya kuhoji juu ya habari hiyo. Huku ushahidi wa picha nikiudhohofisha sababu hata mimi naweza kubuni picha kama hiyo.

Tukirudi katika swali lako, hapo nimeona picha tu sijaona kipya. Ili niweze kuwaamini tu ni kuwa watuambie kwanini walituambia kuna mtu alienda mwezini na kwanini hawaendi tena?
Hivi unadhani safari za anga ni kama Mbagala kariakoo !

Kila mission INA objective yake Na hizo pesa za walipa kodi wa marekanj lazima ziwe accounted for.

It is practically impossible to to establish han settlement on the moon. Hakuna atmosphere, inadequate gravity how do we live there.
Au unadhani kupeleka kifaa au MTU kwenye moon ni kwaajiri ya show off
 
Unao ushahidi wa haya unayo yaandika au huwa unayasoma kama habari tu za kwa kwenye magazeti.
Andaa dollar 400k uje uende mwenyewe space x wakishafanikiwa Na project yao. Maana hata akienda baba ako utamwambia anakudanganya kalipwa Na NASA aje apoteshe umma [emoji23][emoji23]
 
kumbuka kwenye mwezi hakuna oxygen
Hyo ndo kanuni ambayo naizungumzia
Unadhani watu waliopo kwenye international space station wanapumuaje.


Kuna Na namna nyingi za kutengeneza oxygen

Kama kuvunja maji Na kupata hydrogen Na oxygen
 
Naanzia hapa,suala la budget waesema lini au umejiaje kama budget ni kubwa ? Umbali wa kwenda Mars na Mwezini unatofautiana vipi na changamoto ni zipi ? Bajeti hiyo ni kiasi gani wanayo

Kuna swali nilikuuliza wewe unahihikisha vipi ya kuwa kweli wameenda Mwezini au Mars ? Marejeo yako wewe ni yapi ? Hili swali hujalijibu. Kwamba je kwa kuona picha au kusikia habari ?

Hapa naona unawachoresha Wanasayansi na kuwafanya tuwaone wamebweteka. Kisayansi walitakiwa mpaka sasa hivi wawe wameshaenda zaidi ya mara kumi sababu ni zaidi ya miongo mitatu tangu tuambiwe Nail alikwenda mwezini. Maana yake walitakiwa wawe wameshabuni vifaa vyenyw ufanisi mkubwa na kwa gharama nafuu. Labda watuambie ya kuwa gharama imekuwa kubwa zaidi ya kuandaa movie kama hiyo, au wameshajua ya kuwa watu wameshawaona wao mazwazwa kwa kuigiza tukio hilo pale Area 51.

Lakini suala la uzandiki juu ya tukio la mwezini mbona limeshabatilishwa tangu zamani na husemwa pia sababu ya kifo cha John F. Kenedy ni kufichua siri au kutaka kufichua mbinu hiyo. Kihistoria husemwa ya kuwa hiyo ilikuwa ni vita baina ya USSR na Marekani katika kuonyeshana umwamba maendeleo ya kisayansi.

Mimi siyo kwamba nadhani bali nina uhakika kabisa.

Watuambie kwanza umbali wa kutoka katika uso wa dunia mpaka mwezini ni kiasi gani ? Bila kuweka Assumtions yoyote ile, wakiweka tu Assumptions wameharibu.

Pili, walitumia vigezo gani kutengeneza kifaa ambacho walijua fika kitawapeleka na kuwafikisha mwezini ? Hapa inabidi watuambie. Maana yake kabla inabidi ufanya ufanue utafiti, na utembelee sehemu husika. Tafiti hii ilifanyika wapi na kwa kutumia nini ?

Sasa unapohoji haya mambo ndipo unapoona ya kuwa hili ni igizo na wengine walithibitisha hilo.

Tatu, kiimani jambo hili hali wezekani, sababu hakuna anaejua ya kuwa Mwezi uko umbali gani toka mbingu ya kwanza ila kwa macho ukiangalia vizuri unaona ya kuwa mwezi uko karibu sana na mbingu ya kwanza kuliko ardhini, yaani duniani. Tunaambiwa umbali wa mbingu ya kwanza na dunia na mbingu na mbingu ni mwendo wa miaka 500. Hii ni kwa mwendo kasi wa juu zaidi (Rejea jaya katika kitabu kiitwacho "Qamus al Bida'ah" ). Maana chini ya muda huo hizo zinabaki kuwa stori tu na kufurahisha nafsi.

Tatu, zipo sababu za kisayansi zinazo pinga igizo hilo. Unaweza kuzifatilia Google ukazipata. Ukisearch "Did we land on the moon". Utaona mambo mengi wapo wanao thibitisha ya kuwa tukio hilo ni kweli na wale wanao kadhibisha tukio hilo, ukipima katika mzani utaona ya luwa hawa wapili wana hoja zenye nguvu mno kuliko wengin, na hao wa kwanza wameanza kuja kuandika hayo hivi karibuni.

Narudi kuendelea hapa nilipoishia...
Una hoji vitu kama layman sheikh, wewe umekazana Na kurudi mwezini tuu waende kufanya nini. Mwezini hakuna uwezekano wa maisha wachome pesa zanini unadhani ni show off zile ndugu. Zile ni tafiti Na tafiti zinagharama kubwa sana huwezi Fanya mambo kwa show off tu.


Mwaka 2021 unauliza umbali wa mwezi kutoka duniani kweli??

Maswali kàribu yote unayo hoji ni ya kitoto.

Ukiona engineering ya hicho kifaa Na gadgets zote zilizomo ungekaa kimya.
 
ila oxygen ya duniani ni ya asili.
Unazaliwa unaikuta.si ndio?
Unadhani watu waliopo kwenye international space station wanapumuaje.


Kuna Na namna nyingi za kutengeneza oxygen

Kama kuvunja maji Na kupata hydrogen Na oxygen
 
Adam na hawa waliishi duniani.sio mars wala Jupiter n.k
Nandio sayari ambayo mungu ameweka UHAI.
Tunatakiwa kusoma vitabu vyote vya kale pia vya kiimani vikiwamo so sorry ni ngumu sana kunielewa hasa kuhusu suala hili its above human knowledge
 
kwamba rangi ya blue mbingu ukitoboa unaiona nyengine ukitoboa mpaka ya saba unamuona Mungu, Thinking ndogo sana hii.
[emoji23][emoji23][emoji23] hafu wana mock NASA , hawa watu aisee sio poa.
 
Nitajie sayari nyingine.ambayo wanaishi watu
The absence of evidence is not the evidence of absence.

Hatujui kama ulimwenguni Kuna intelligent beings wengine kama sisi. Yawezekana hawapo au wapo
 
Wewe ndo unajibana.
Katika hizo sayari Tisa na dunia ikiwemo.ni moja Tu inayosapoti maisha.
Na hata ukiangalia mizunguko ya hizo sayari kulizunguka JUA.ni wazi dunia ndo ina afaa kuishi
Mkuu Kuna kitu kinaitwa terraforming .

Kufanya mazingira ya mars kuweza support wanadamu. Haijawahi fanyika bado but wameshawaza hayo maswali yako kabla hawajachoma pesa zao
 
Nini faida ya watu ya kwenda kuishi mars.?
Mkuu Kuna kitu kinaitwa terraforming .

Kufanya mazingira ya mars kuweza support wanadamu. Haijawahi fanyika bado but wameshawaza hayo maswali yako kabla hawajachoma pesa zao
 
sayari ambayo inasapoti Maisha NI moja tu
The absence of evidence is not the evidence of absence.

Hatujui kama ulimwenguni Kuna intelligent beings wengine kama sisi. Yawezekana hawapo au wapo
 
Back
Top Bottom