Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Sasa jambo gani ambalo unaona limekosekana kuweza kuifanya habari hiyo iwe kweli?

Ni uthibitisho wenye components gani ambazo zinatosha kukushawishi mpaka ukaridhika na habari hiyo kuwa ni kweli?

Au hata wewe hujui unachokitaka unabisha tu?
Fata utaratibu, thibitisha nilichokutaka uthibitishe kisha tuendelee, hii tabia ya kuruka kuruka utaiacha lini kijana ?
 
Sawa nakubali tueleweshane ila kabla ya yote ningependa kujua unavijuaje hivi vitu?

Isije ikawa hata uwepo wa sayari ya mars unapinga, ni bora kuelewa mapema tuwekqne sawa zaidi ili nijue ni kiasi gani unayaelewa mambo ya anga kabla hatujafika mbali
Sasa mbona unakimbia maswali kijana ? Jibu maswali yangu kisja nijibu yako.
 
Fata utaratibu, thibitisha nilichokutaka uthibitishe kisha tuendelee, hii tabia ya kuruka kuruka utaiacha lini kijana ?
sasa nikithibitisha na wakati huna concept yeyote utalionaje jibu?

utajuaje kwamba hujajibiwa?
 
sasa nikithibitisha na wakati huna concept yeyote utalionaje jibu?

utajuaje kwamba hujajibiwa?
Kijana huu uoga utaacha lini ?

Ndiyo uthibitishe ya kuwa sina concept juu ya hili, kisha uone nini kinachofata. Usipoteze muda.
 
Sasa mbona unakimbia maswali kijana ? Jibu maswali yangu kisja nijibu yako.
maswali yako yanategemea na namna gani unayaelewa mambo ya astronaut

naomba unijuze kwasababu kama una idea ya hivi vitu mjadala wetu utakua mzuri hata maswali yako yatakua na challenge yenye kujenga kupata maarifa mapya
 
Umeona maswali niliyo uliza ? Sasa ng'amua kupitia maswaki hayo kwamba nina idea au sina, kisha onyesha kama sina idea maana muda wote unaruka ruka na maswali yako wazu, hii ni njia ya wasio jua kile wanachokiegemea,ningekuwa mimi hili ningekuwa nimeshalimaliza kitambo sana.

Humu kinacho onekana watu ni mashabiki wa Sayansi kama mlivyo katika ushabiki wa mpira, ndiyo maana kujibu maswali mepesi pia hamuwezi.

Natarajia ukiniquote baada ya hapa, nakuja kusoma jibu lako.
 
Kijana huu uoga utaacha lini ?

Ndiyo uthibitishe ya kuwa sina concept juu ya hili, kisha uone nini kinachofata. Usipoteze muda.
kabla ya ku criticize kitu unatakiwa uwe na knowledge ya hicho kitu, uwe na fact za ku dispute hiyo inaitwa critical reasoning

Mimi pia napenda kuona mawazo mbadala juu ya hoja fulani, huwa sipendezewi na hoja ambayo haina upinzani imesimama yenyewe.

Mfano watu wanaopinga moon landing ukifatilia hoja zao ni vey impressive zina nguvu, zime base katika calculations na knowledge za kisayansi na ndio maana unaona hata NASA wanazijibu kwasababu ni hoja fikirishi zinaweza sababisha kundi kubwala watu kukubaliana na hoja hizo kulingana na fact zilizotumika kupinga habari yao, lakini hawawezi ku deal na mtu anayekataa observation bila fact kwasababu wanajua hoja yake haina ushawishi mbele za watu wasomi
 
Umeona maswali niliyo uliza ? Sasa ng'amua kupitia maswaki hayo kwamba nina idea au sina, kisha onyesha kama sina idea maana muda wote unaruka ruka na maswali yako wazu, hii ni njia ya wasio jua kile wanachokiegemea,ningekuwa mimi hili ningekuwa nimeshalimaliza kitambo sana.

Humu kinacho onekana watu ni mashabiki wa Sayansi kama mlivyo katika ushabiki wa mpira, ndiyo maana kujibu maswali mepesi pia hamuwezi.

Natarajia ukiniquote baada ya hapa, nakuja kusoma jibu lako.
nimesoma hoja zako na ndio maana nimekuambia huna idea

labda uniambie wapi umetumia scientific method ku disprove fact?
 
Ebu soma hicho kitu Kwanza
Usi sahau tuliachwa tukiwa uchi mapangoni swala la muda kama mengine tu mkuu
Screenshot_20210226-184837.jpg
 
tulivyoikuta dunia nawalivyoikuta mars NI tofauti Sanaa.
hii mitambo unayoiona hapa kwani ilikuja na dunia watu waliikuta tayari imewekwa?

mars kuna madini ya chuma, magnesium, aluminum, calcium, and potassium nk. haya yote yanaweza kutumika kama uzazi ku produce vifaa vingine.

wana anga wamejikita kufanya utafiti kwenye vitu ambavyo vinapatikana katika sayari yetu

so far kuna vitu viko vingi ambavyo huku havipo ambavyo vikifanyiwa utafiti vinaweza vikawa na impact kubwa
 
kabla ya ku criticize kitu unatakiwa uwe na knowledge ya hicho kitu, uwe na fact za ku dispute hiyo inaitwa critical reasoning

Mimi pia napenda kuona mawazo mbadala juu ya hoja fulani, huwa sipendezewi na hoja ambayo haina upinzani imesimama yenyewe.

Mfano watu wanaopinga moon landing ukifatilia hoja zao ni vey impressive zina nguvu, zime base katika calculations na knowledge za kisayansi na ndio maana unaona hata NASA wanazijibu kwasababu ni hoja fikirishi zinaweza sababisha kundi kubwala watu kukubaliana na hoja hizo kulingana na fact zilizotumika kupinga habari yao, lakini hawawezi ku deal na mtu anayekataa observation bila fact kwasababu wanajua hoja yake haina ushawishi mbele za watu wasomi
Kijana mbona unazunguka mno ? Maswali yangu si umeyaona sasa kosoa nikichokiandika na uthibitishe. Siju zote wanao jua huwa wanakosoa na kuelekeza na kuonyesha njia, sasa wewe unakwama wapi ? Kama huwezi kujibu maswali yangu sema, hutachekwa.
 
Ebu elewa Kwanza.
Adam aliikuta dunia ikiwa na kila kitu.
Maji,MITI,mimea,bahari hewa n.k.
Vitu ambavyo tumevikuta na vinatuwezesha kuishi bila shida yoyote.
Kule mars hata wanyama hamna,ndege hamna ,bahari hamna hewa yenyewe hamna mtaishi vipi kule.?
katika hivyo vitu alivyovikuta adam ilikua ni pamoja na ma flyovers, rockets, nuclear?

watu tunaongelea ulimwengu wenye watu wabunifu ambao wanasafiri million miles kwa vyombo vya kisasa kufanya investigation katika sayari za mbali we unaleta upuuzi wa watu wa zamani waliokuwa wazembe kuzimaliza KM 600 kutoka misri kwenda israel iliwachukua miaka 400
 
Ebu tuombe uzima.tuje kuona maisha ya mars.
ILA Mimi Nina uhakika mars hakuwezi kukalika
kumbuka kuna millions of galaxy katika hizo zilizotafitiwa ni mars pekee ambayo imeonekana kuwa na mfanano na dunia japo inakaupee flani wa kimazingira.

ishu ya mmea kuto kumea mars sio big issue katika ulimengu wa sayansi hii sio tatizo inawezekana hata kwa kufanya simulation udongo.
Udongo kama huo kwa kweli ni ngumu
Screenshot_20210224-074852.jpg
 
nimesoma hoja zako na ndio maana nimekuambia huna idea

labda uniambie wapi umetumia scientific method ku disprove fact?
Safi kabisa, sasa swali langu liko pae pale na halikwepeki, mtu ambaye hana idea, si huwa anakosolewa na kufundishwa na kuoewa majibu ya sawa, sasa wewe hili hujalifanya, ndiyo maana nikakwambia uthibitishe, sasa kupoteza kwako muda kunahitimisha ya kuwa umeshindwa kukikosoa hicho nilichokiandika na huna majibu ya maswali hayo.

Kuhusu swali lako la kutumia njia ya kisayansi,nataka kukuonyesha ya kuwa si kila jambo la kisayansi linabatilishwa kwa sayansi, hii kanuni umeipata wapi ? Ngoja nikuonyeshe au nikupe mfano, si unaamini katika Sola System, au Earth's Stationary ? Ni jaribio gani la kisayansi lililofanyika kuthibitisha viwili hivi ? Zaidi ya falsafa na nadharia tu ?

Sasa usilazimishe kosa lisahihishe kosa, bali usahihi unasahihisha kosa.

Pili, hoja za kubatilisha hilo, nimeziweka katika maswali huko nyuma, maswali ambayo hamjayajibu, kwahiyo huwa tunakosoa kwa kuhoji.

Kwa maelezo hayo mafupi natarajia majibu zaidi ya riadha hizi unazokimbia.
 
Kijana mbona unazunguka mno ? Maswali yangu si umeyaona sasa kosoa nikichokiandika na uthibitishe. Siju zote wanao jua huwa wanakosoa na kuelekeza na kuonyesha njia, sasa wewe unakwama wapi ? Kama huwezi kujibu maswali yangu sema, hutachekwa.
maswali yako hayana critical reasoning ambayo hayana hoja za kiushawishi kwa mtu ambaye ana idea ya maswala ya anga na unajimu

waliopinga dhana ya moon landing walijibiwa kwasababu ya hoja zao kuwa na mantiki na nguvu ya ushawishi kutokana na scientific facts walizotumia ku criticize japo kuwa hawakua sahihi

sasa wewe hujaweka facts kuonesha kwanini jambo hilo liwe uongo umebisha tu kienyeji kama ambavyo vijiweni wanavyobisha
 
Ebu elewa Kwanza.
Adam aliikuta dunia ikiwa na kila kitu.
Maji,MITI,mimea,bahari hewa n.k.
Vitu ambavyo tumevikuta na vinatuwezesha kuishi bila shida yoyote.
Kule mars hata wanyama hamna,ndege hamna ,bahari hamna hewa yenyewe hamna mtaishi vipi kule.?
kila kitu pamoja na airbus ya mwaka 1970?

kila kitu pamoja na iphone 11 pro max ya mwaka jana?
 
Back
Top Bottom