Sijui.mbinguni ndio wapi asee?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui.mbinguni ndio wapi asee?
Fata utaratibu, thibitisha nilichokutaka uthibitishe kisha tuendelee, hii tabia ya kuruka kuruka utaiacha lini kijana ?Sasa jambo gani ambalo unaona limekosekana kuweza kuifanya habari hiyo iwe kweli?
Ni uthibitisho wenye components gani ambazo zinatosha kukushawishi mpaka ukaridhika na habari hiyo kuwa ni kweli?
Au hata wewe hujui unachokitaka unabisha tu?
Sasa mbona unakimbia maswali kijana ? Jibu maswali yangu kisja nijibu yako.Sawa nakubali tueleweshane ila kabla ya yote ningependa kujua unavijuaje hivi vitu?
Isije ikawa hata uwepo wa sayari ya mars unapinga, ni bora kuelewa mapema tuwekqne sawa zaidi ili nijue ni kiasi gani unayaelewa mambo ya anga kabla hatujafika mbali
sasa nikithibitisha na wakati huna concept yeyote utalionaje jibu?Fata utaratibu, thibitisha nilichokutaka uthibitishe kisha tuendelee, hii tabia ya kuruka kuruka utaiacha lini kijana ?
Kijana huu uoga utaacha lini ?sasa nikithibitisha na wakati huna concept yeyote utalionaje jibu?
utajuaje kwamba hujajibiwa?
maswali yako yanategemea na namna gani unayaelewa mambo ya astronautSasa mbona unakimbia maswali kijana ? Jibu maswali yangu kisja nijibu yako.
Kijana naona huna hoja.Hili ni jukwaa huru Kama hujapendezwa na habari unaipotezea ujashikiwa fimbo, wako ambao wako interested wewe Kama hauna ni wewe usitake watu waishi Kama unavyotaka wewe
Umeona maswali niliyo uliza ? Sasa ng'amua kupitia maswaki hayo kwamba nina idea au sina, kisha onyesha kama sina idea maana muda wote unaruka ruka na maswali yako wazu, hii ni njia ya wasio jua kile wanachokiegemea,ningekuwa mimi hili ningekuwa nimeshalimaliza kitambo sana.maswali yako yanategemea na namna gani unayaelewa mambo ya astronaut
naomba unijuze kwasababu kama una idea ya hivi vitu mjadala wetu utakua mzuri hata maswali yako yatakua na challenge yenye kujenga kupata maarifa mapya
kabla ya ku criticize kitu unatakiwa uwe na knowledge ya hicho kitu, uwe na fact za ku dispute hiyo inaitwa critical reasoningKijana huu uoga utaacha lini ?
Ndiyo uthibitishe ya kuwa sina concept juu ya hili, kisha uone nini kinachofata. Usipoteze muda.
nimesoma hoja zako na ndio maana nimekuambia huna ideaUmeona maswali niliyo uliza ? Sasa ng'amua kupitia maswaki hayo kwamba nina idea au sina, kisha onyesha kama sina idea maana muda wote unaruka ruka na maswali yako wazu, hii ni njia ya wasio jua kile wanachokiegemea,ningekuwa mimi hili ningekuwa nimeshalimaliza kitambo sana.
Humu kinacho onekana watu ni mashabiki wa Sayansi kama mlivyo katika ushabiki wa mpira, ndiyo maana kujibu maswali mepesi pia hamuwezi.
Natarajia ukiniquote baada ya hapa, nakuja kusoma jibu lako.
Usi sahau tuliachwa tukiwa uchi mapangoni swala la muda kama mengine tu mkuu
hii mitambo unayoiona hapa kwani ilikuja na dunia watu waliikuta tayari imewekwa?
mars kuna madini ya chuma, magnesium, aluminum, calcium, and potassium nk. haya yote yanaweza kutumika kama uzazi ku produce vifaa vingine.
wana anga wamejikita kufanya utafiti kwenye vitu ambavyo vinapatikana katika sayari yetu
so far kuna vitu viko vingi ambavyo huku havipo ambavyo vikifanyiwa utafiti vinaweza vikawa na impact kubwa
Kijana mbona unazunguka mno ? Maswali yangu si umeyaona sasa kosoa nikichokiandika na uthibitishe. Siju zote wanao jua huwa wanakosoa na kuelekeza na kuonyesha njia, sasa wewe unakwama wapi ? Kama huwezi kujibu maswali yangu sema, hutachekwa.kabla ya ku criticize kitu unatakiwa uwe na knowledge ya hicho kitu, uwe na fact za ku dispute hiyo inaitwa critical reasoning
Mimi pia napenda kuona mawazo mbadala juu ya hoja fulani, huwa sipendezewi na hoja ambayo haina upinzani imesimama yenyewe.
Mfano watu wanaopinga moon landing ukifatilia hoja zao ni vey impressive zina nguvu, zime base katika calculations na knowledge za kisayansi na ndio maana unaona hata NASA wanazijibu kwasababu ni hoja fikirishi zinaweza sababisha kundi kubwala watu kukubaliana na hoja hizo kulingana na fact zilizotumika kupinga habari yao, lakini hawawezi ku deal na mtu anayekataa observation bila fact kwasababu wanajua hoja yake haina ushawishi mbele za watu wasomi
katika hivyo vitu alivyovikuta adam ilikua ni pamoja na ma flyovers, rockets, nuclear?
watu tunaongelea ulimwengu wenye watu wabunifu ambao wanasafiri million miles kwa vyombo vya kisasa kufanya investigation katika sayari za mbali we unaleta upuuzi wa watu wa zamani waliokuwa wazembe kuzimaliza KM 600 kutoka misri kwenda israel iliwachukua miaka 400
Udongo kama huo kwa kweli ni ngumukumbuka kuna millions of galaxy katika hizo zilizotafitiwa ni mars pekee ambayo imeonekana kuwa na mfanano na dunia japo inakaupee flani wa kimazingira.
ishu ya mmea kuto kumea mars sio big issue katika ulimengu wa sayansi hii sio tatizo inawezekana hata kwa kufanya simulation udongo.
Safi kabisa, sasa swali langu liko pae pale na halikwepeki, mtu ambaye hana idea, si huwa anakosolewa na kufundishwa na kuoewa majibu ya sawa, sasa wewe hili hujalifanya, ndiyo maana nikakwambia uthibitishe, sasa kupoteza kwako muda kunahitimisha ya kuwa umeshindwa kukikosoa hicho nilichokiandika na huna majibu ya maswali hayo.nimesoma hoja zako na ndio maana nimekuambia huna idea
labda uniambie wapi umetumia scientific method ku disprove fact?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Wenzako wanajifungia ndani wanafanya tafiti za mabilion ya pesa wewe from no where.. i mean not from no where like no where yani kwenye sofa la shemeji yako hapo unaita "UONGO".
ni watu ndio wanaobadilisha na sio power ya maombi wala miujiza, kutoka kupanda punda mpaka airbus ni jitiaada za watu sio kwamba hivyo vitu vilikuja na duniatulivyoikuta dunia nawalivyoikuta mars NI tofauti Sanaa.
maswali yako hayana critical reasoning ambayo hayana hoja za kiushawishi kwa mtu ambaye ana idea ya maswala ya anga na unajimuKijana mbona unazunguka mno ? Maswali yangu si umeyaona sasa kosoa nikichokiandika na uthibitishe. Siju zote wanao jua huwa wanakosoa na kuelekeza na kuonyesha njia, sasa wewe unakwama wapi ? Kama huwezi kujibu maswali yangu sema, hutachekwa.
kila kitu pamoja na airbus ya mwaka 1970?Ebu elewa Kwanza.
Adam aliikuta dunia ikiwa na kila kitu.
Maji,MITI,mimea,bahari hewa n.k.
Vitu ambavyo tumevikuta na vinatuwezesha kuishi bila shida yoyote.
Kule mars hata wanyama hamna,ndege hamna ,bahari hamna hewa yenyewe hamna mtaishi vipi kule.?