Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

Safi kabisa, sasa swali langu liko pae pale na halikwepeki, mtu ambaye hana idea, si huwa anakosolewa na kufundishwa na kuoewa majibu ya sawa, sasa wewe hili hujalifanya, ndiyo maana nikakwambia uthibitishe, sasa kupoteza kwako muda kunahitimisha ya kuwa umeshindwa kukikosoa hicho nilichokiandika na huna majibu ya maswali hayo.

Kuhusu swali lako la kutumia njia ya kisayansi,nataka kukuonyesha ya kuwa si kila jambo la kisayansi linabatilishwa kwa sayansi, hii kanuni umeipata wapi ? Ngoja nikuonyeshe au nikupe mfano, si unaamini katika Sola System, au Earth's Stationary ? Ni jaribio gani la kisayansi lililofanyika kuthibitisha viwili hivi ? Zaidi ya falsafa na nadharia tu ?

Sasa usilazimishe kosa lisahihishe kosa, bali usahihi unasahihisha kosa.

Pili, hoja za kubatilisha hilo, nimeziweka katika maswali huko nyuma, maswali ambayo hamjayajibu, kwahiyo huwa tunakosoa kwa kuhoji.

Kwa maelezo hayo mafupi natarajia majibu zaidi ya riadha hizi unazokimbia.
sasa kama huna idea maana yake unahitaji maarifa na hilo ni somo pana haliwezekani kufundishwa JF, na kama umekiri kua huna idea you don't have a right to criticize something that is beyond your awareness

kabla ya kufika huko unaweza kueleza unaelewa solar system kwa upana gani? umetumia nini kuijua solar system?

nipe hizo hoja ulizotumia kubatilisha tuone kama zime qualify vigezo vya kufanya ijibiwe
 
maswali yako hayana critical reasoning ambayo hayana hoja za kiushawishi kwa mtu ambaye ana idea ya maswala ya anga na unajimu

waliopinga dhana ya moon landing walijibiwa kwasababu ya hoja zao kuwa na mantiki na nguvu ya ushawishi kutokana na scientific facts walizotumia ku criticize japo kuwa hawakua sahihi

sasa wewe hujaweka facts kuonesha kwanini jambo hilo liwe uongo umebisha tu kienyeji kama ambavyo vijiweni wanavyobisha
Simchezo kazi ipo. Sasa onyesha wapu usiandike andike, kuandika unayo yaandika ni jambo rahisi, maana unasukumwa na hisia na si hoja za kielimu. Sasa kusema tu siyo hoja. Onyesha swali gani kisha kosoa kielimu na uweke usahihi hapa, usikimbie.

Mara ngapi nimekuwa nakukosoa kwa hoja na kukupa mifano kibao, bali nakuambia swali fulani la uongo na ninakuonyesha uongo wa swali hilo.

Kuhusu facts, kila nilichokiandika humu ni facts, ndiyo maana mnashindwa kukossoa na kushindwa kujibu maswali yangu, huu ni ushahidi tosha ya kuwa hujui unachokiandika.
 
sasa kama huna idea maana yake unahitaji maarifa na hilo ni somo pana haliwezekani kufundishwa JF, na kama umekiri kua huna idea you don't have a right to criticize something that is beyond your awareness

kabla ya kufika huko unaweza kueleza unaelewa solar system kwa upana gani? umetumia nini kuijua solar system?

nipe hizo hoja ulizotumia kubatilisha tuone kama zime qualify vigezo vya kufanya ijibiwe
Kujadiliana na wasio jua mambo kuna wakati huwa ni raha sana, katika masomo huwa kuna misingi,kabla ya kuliendea somo husika, maana yake hata misingi pia huna ulitakiwa kutoa misingi hiyo, basi jalia somo ni pana sana, basi hata kujibu maswali unatakiwa ujibu maswali.

Nimecheka sana, hizi kauli zenu za "Ooo huwezi kuelewa hiki kitu, sababu ni kipana sana", bla bla kibao, sasa wewe umeelewa vipi na mimi nisielewe ?

Pili, hakuna sehemu nikiyi kiri sina idea, bali naonyesha uwajibu wa wewe kujibu maswali yangu na kunikosoa ili unionyeshe ya kuwa sina idea, sasa linaelekea saa la pili au tatu, una zunguka zunguka.

Tatu, unauliza swai la kijinga kuhusu Solar System, ulitakiwa ujihukumu mwenyewe kwa kutumia Scientific method kujua nadharia ya Solar System ni Sayansi au kinyume chake, au hata hizi Scientific methods pia huzijui ?

Nne, maswali yako yote unayo yauliza kwangu ni mepesi sana, ila nitakujibi baada ya kujibu naswali yangu na kuthibitisha ya kuwa mimi sina idea na majibu sahihi ni haya, sababu huwa unakimbia maswali kwa mtindo huu.
 
Simchezo kazi ipo. Sasa onyesha wapu usiandike andike, kuandika unayo yaandika ni jambo rahisi, maana unasukumwa na hisia na si hoja za kielimu. Sasa kusema tu siyo hoja. Onyesha swali gani kisha kosoa kielimu na uweke usahihi hapa, usikimbie.

Mara ngapi nimekuwa nakukosoa kwa hoja na kukupa mifano kibao, bali nakuambia swali fulani la uongo na ninakuonyesha uongo wa swali hilo.

Kuhusu facts, kila nilichokiandika humu ni facts, ndiyo maana mnashindwa kukossoa na kushindwa kujibu maswali yangu, huu ni ushahidi tosha ya kuwa hujui unachokiandika.
huu muda uliotumia kuyaandika haya maelezo yasio na msingi ungeutumia kuniwekea hata point mbili za scientific fact kupinga hoja ningekuona mtu wa maana sana.

Nataka unipe hoja zenye umezifanyia observation, testable explanations, make prediction based on hypothesis, kisha uje kui test hiyo prediction

sio unakuja kupinga kienyeji tu kua ni uwongo eti kwasababu wewe huelewi mechanism inayofanyika ili jambo hilo liwezekane halafu unataka watu wapoteze muda wao ku argue na wewe
 
Kama ataamua watu wakaishi.
Mars kama ingekutwa na mimea,MITI,maji bahari, oxygen nisingekuwa na shaka
ILA Kwa ukame huu NI ngumu
unaamini katika 'Muweza wa vyote' Sasa kwanini unasema haiwezekani!!
Screenshot_20210224-074852.jpg
 
huu muda uliotumia kuyaandika haya maelezo yasio na msingi ungeutumia kuniwekea hata point mbili za scientific fact kupinga hoja ningekuona mtu wa maana sana.

Nataka unipe hoja zenye umezifanyia observation, testable explanations, make prediction based on hypothesis, kisha uje kui test hiyo prediction

sio unakuja kupinga kienyeji tu kua ni uwongo eti kwasababu wewe huelewi mechanism inayofanyika ili jambo hilo liwezekane halafu unataka watu wapoteze muda wao ku argue na wewe
Naona utakuwa husomi nilicho kiandika, ila kama ungesoma usingepoteza muda kuandika haya tena sababu majibu yangu yamejitosheleza.

Nakuwekea hapa kwa ufupi ili nikusaidie. Nilikwambia hatuwezi kulazimisha kosa lisahihisha kosa, bali usahihi husahihisha kosa. Kisha nikakwambia huwa tunabatilisha mambo kwa njia nyingi na miongoni nwazo ni kuhoji,kisha nikakupa mfano uniambie Solar System ni Sayansi au kinyunr chake, kama ni Sayansi uniambie ni njia gani ya Kisayansi ilitumika kuhitimisja hilo ?
 
Kama ataamua watu wakaishi.
Mars kama ingekutwa na mimea,MITI,maji bahari, oxygen nisingekuwa na shaka
ILA Kwa ukame huu NI ngumuView attachment 1712987
Hawa jamaa huwa wanashindwa swali hili, kwamba watuambie marejeo yao wao ni wapi katika kujua ukweli wa mambi hayo,sisi swalihili huwa rahisia sana kwetu, ni kwamba marejeo yetu ni Qur'aan na Hadithin
 
Kujadiliana na wasio jua mambo kuna wakati huwa ni raha sana, katika masomo huwa kuna misingi,kabla ya kuliendea somo husika, maana yake hata misingi pia huna ulitakiwa kutoa misingi hiyo, basi jalia somo ni pana sana, basi hata kujibu maswali unatakiwa ujibu maswali.

Nimecheka sana, hizi kauli zenu za "Ooo huwezi kuelewa hiki kitu, sababu ni kipana sana", bla bla kibao, sasa wewe umeelewa vipi na mimi nisielewe ?

Pili, hakuna sehemu nikiyi kiri sina idea, bali naonyesha uwajibu wa wewe kujibu maswali yangu na kunikosoa ili unionyeshe ya kuwa sina idea, sasa linaelekea saa la pili au tatu, una zunguka zunguka.

Tatu, unauliza swai la kijinga kuhusu Solar System, ulitakiwa ujihukumu mwenyewe kwa kutumia Scientific method kujua nadharia ya Solar System ni Sayansi au kinyume chake, au hata hizi Scientific methods pia huzijui ?

Nne, maswali yako yote unayo yauliza kwangu ni mepesi sana, ila nitakujibi baada ya kujibu naswali yangu na kuthibitisha ya kuwa mimi sina idea na majibu sahihi ni haya, sababu huwa unakimbia maswali kwa mtindo huu.
ikiwa lengo lako ni kujifunza ulitakiwa uwe politely and calm ila kujifanya mjuaji kwa kupinga pinga kila kitu bila vivid evidence to support your claims can sometimes be insane. hujui na hutaki kukubali kuwa hujui at the same time unalamisha mtu akufundishe

swali la solar system nimekuuliza wewe kwa lengo la kutaka kujua unalielewa vipi na kwa kutumia facts zipi unaweza disprove

ni mepesi mbona huyajibu?
 
[emoji848][emoji848][emoji848] pahala panzur palipo andaliwa ni ap tulipo uko kwingine nikujifanya wanajuw zaid
Mkuu soma vizuri nilichoandika kwa makini.
Alafu utapata jibu kwanini wanafanya hivyo.

Wajifanye ujuaji ili iweje sasa?
 
Naona utakuwa husomi nilicho kiandika, ila kama ungesoma usingepoteza muda kuandika haya tena sababu majibu yangu yamejitosheleza.

Nakuwekea hapa kwa ufupi ili nikusaidie. Nilikwambia hatuwezi kulazimisha kosa lisahihisha kosa, bali usahihi husahihisha kosa. Kisha nikakwambia huwa tunabatilisha mambo kwa njia nyingi na miongoni nwazo ni kuhoji,kisha nikakupa mfano uniambie Solar System ni Sayansi au kinyunr chake, kama ni Sayansi uniambie ni njia gani ya Kisayansi ilitumika kuhitimisja hilo ?
unataka tuijadili solar system sawa

nataka nijue umefika umbali gani kuielewa hiyo solar system kwa upana wake?

mbona swali hilo hujajibu?
 
Back
Top Bottom