Kujadiliana na wasio jua mambo kuna wakati huwa ni raha sana, katika masomo huwa kuna misingi,kabla ya kuliendea somo husika, maana yake hata misingi pia huna ulitakiwa kutoa misingi hiyo, basi jalia somo ni pana sana, basi hata kujibu maswali unatakiwa ujibu maswali.
Nimecheka sana, hizi kauli zenu za "Ooo huwezi kuelewa hiki kitu, sababu ni kipana sana", bla bla kibao, sasa wewe umeelewa vipi na mimi nisielewe ?
Pili, hakuna sehemu nikiyi kiri sina idea, bali naonyesha uwajibu wa wewe kujibu maswali yangu na kunikosoa ili unionyeshe ya kuwa sina idea, sasa linaelekea saa la pili au tatu, una zunguka zunguka.
Tatu, unauliza swai la kijinga kuhusu Solar System, ulitakiwa ujihukumu mwenyewe kwa kutumia Scientific method kujua nadharia ya Solar System ni Sayansi au kinyume chake, au hata hizi Scientific methods pia huzijui ?
Nne, maswali yako yote unayo yauliza kwangu ni mepesi sana, ila nitakujibi baada ya kujibu naswali yangu na kuthibitisha ya kuwa mimi sina idea na majibu sahihi ni haya, sababu huwa unakimbia maswali kwa mtindo huu.