Sasa ni kiswahili gani kiwango za ujuzi kinapimwa kwa umbali ? Kijana swali lako halina mjengeko wa kimatamshi zaidi ya kubabatiza, na ndiyo maana nimelikosoa na nimejibu kama ulivyo uliza. Kama sijajibu kama ulivyo uliza onyesha ni wapi na kwanini ?Mimi nimeuliza swali inavyotakiwa na nilikua naelewa nacho kifanya ku twist kwako hoja yangu hakubatilishi target ya swali.
Pamoja na kwamba umebadilisha swali liwe katika mtindo ambao umeona itakupa urahisi kujibu lakini bado umeshindwa kulielewa swali.
Swali limeuliza ni umbali gani umefika kuielewa solar system kwa upana wake, halijasema umefika umbali gani kuikosoa solar system.
Aya ya mwisho inathibitisha wewe huna uwezo wa kujibu hoja zangu. Jibu langu ni sahihi, na sijakujibu kama ulivyo nukuu, bali nimekujibu nimefikia kiwango cha kuikosoa Solar System. Sasa soma vizuri ulichokiandika katika hiyo aya ya mwisho. Jibu nililo kupa ni sahihi kabisa.