Lincoln Barnett amekuja karne ya 20, na kuhitimisha jambo hilo. Kauli yake iko sahihi sababu sababu huwezi kujua kama dunia inatembea wakati huihisi ukiwa maabara kama alivyofanya Leon Foucault, huu ujinga mnauamini nyinyi msio hoji. Lakini vile vile unachodai wewe ndiyo umekifanya hapa, unatuleletea habari za Foucault Pendulum bila kututhibitishia ukweli wa jambo hilo na vipi hiyo Pendulum inafanya kazi.
Mimi nakupa kazi wewe, ututhibitishie ya kuwa ni kweli Foucault Pendulum ina detects rotation ya Earth, na utuambie kwanini kuna Assumptions nyingi katika hiyo Pendulum, na utuambie kwanini kipimo hicho kisingefanywa katika "Space" hali ya kuwa hapa duniani hatu hisi mwendo wa dunia, hapa ndipo unatona ya kuwa hitimisho la Barnett ni sahihi kwamba hakuna jaribio lililo wahi kufanyika kuonyesha kweli dunia ina zunguka.
Kweli hakuna na Foucault Pendulum si jaribio bali ni ukanjanja wa maabara kwenda kupima mwendo wa dunia, bora kidogo Albert Michelson alijaribu kufanya majaribio mwaka 1881 na mwaka 1887 kwa kutumia "Speed of two light beams against one another" akathibisha ya kuwa "The Earth wasn't moving". Kisha mjinga mmoja akaja na shabiki wa Corpenicus akakataa kwa ujinga na ushabiki.
Kwa faida sababu nimeona wewe huna unachojua wala hufatilii na uhoji, soma makala ya Paul E. Wylie aliyoipa jina la "The paradox of Foucault Pendulum" uone ukanjanja wa Leon Foucault. Huu ujinga hata mtoto wa kidato cha pili kama atahoji kwa umakini ataona hizi ni cjai tu.
Hizi pia ni dhana nyingine,ambazo zinahitaji ithibati.
Hii pia si hoja bali na malalamiko na madai yasiyo kuwa na shaka ndani yake, nitakuuliza swali je Barnett hajasema hivyo au kitabu cha Barnett hakipo ?
Pili, Qur'aan habari nyingine, hii ikisema jambo ujue ni kweli wala halihitaji jaribio.