Chombo Gani cha habari cha Kimataifa kinatoa habari za uhakika

Kila nikisikiliza media kubwa zilizoaminika kwasasa ni kama TBC tu

Iwe BBC Swahili, VOA, CNN au Al Jazeera zote ni ovyo tu zinatoka habari za kuendelea na za uongo na uzushi sana
Wanainanga Russia, Parestina, Libya, North Korea nk
Lakini katu wanawasifu wahalifu kama Ukraine, Rwanda, Israel nk
Kwa Sasa angalau kidogo DW
Ukraine wana uhalifu gani? Hivi wafia dini mbona mnapendavkulalamika
 
Kila nikisikiliza media kubwa zilizoaminika kwasasa ni kama TBC tu

Iwe BBC Swahili, VOA, CNN au Al Jazeera zote ni ovyo tu zinatoka habari za kuendelea na za uongo na uzushi sana
Wanainanga Russia, Parestina, Libya, North Korea nk
Lakini katu wanawasifu wahalifu kama Ukraine, Rwanda, Israel nk
Kwa Sasa angalau kidogo DW
Ukraine walihalifu nini?
 
Wafia dini kwa unafiki bwana mnapenda media ziisifie urusi kwa kuivamia ukraine mnapenda media ziwasifie hamas kwa kuua, kuwabaka, kuwateka wayahudi october 7 na media zilaani na kuiponda israel inapojitetea dhidi ya magaidi wenu wanatumia mwamvuli wa kidini
 
Yan Russia akichokozwa akatoa kichapo ni dhambi
Ila hao Nyoro Nyoro Ukraine wakivamia Russia ni Mashujaa
Tuwe serious kidogo
Urusi alichokozwa wapi wakati yeye ndio mchokozi aliyeanza kuwasaidia waasi kujitenga ukraine baadaye kaivamia ukraine anawaua waukraine pasipo hatia mnapata faida gani kutetea unafiki wa putin?
 
Kila nikisikiliza media kubwa zilizoaminika kwasasa ni kama TBC tu

Iwe BBC Swahili, VOA, CNN au Al Jazeera zote ni ovyo tu zinatoka habari za kuendelea na za uongo na uzushi sana
Wanainanga Russia, Parestina, Libya, North Korea nk
Lakini katu wanawasifu wahalifu kama Ukraine, Rwanda, Israel nk
Kwa Sasa angalau kidogo DW
RT
 
Urusi alichokozwa wapi wakati yeye ndio mchokozi aliyeanza kuwasaidia waasi kujitenga ukraine baadaye kaivamia ukraine anawaua waukraine pasipo hatia mnapata faida gani kutetea unafiki wa putin?
Kwaiyo hao Maadui zake wamagharibi kutumia NATO kuweka pale Ukraine Mpakani sio uchoko, akae kimya aishije?
Wakati jirani kumkaribisha adui yake
 
Yan Russia akichokozwa akatoa kichapo ni dhambi
Ila hao Nyoro Nyoro Ukraine wakivamia Russia ni Mashujaa
Tuwe serious kidogo
Tupo serious.
Kwani aliyeanza 'kurusha ngumi' kwa mwenzake, namaanisha ni taifa gani lilianza kuvuka mpaka kuivamia nchi nyingine kimedani?

Kama kuna aliyechokozwa kwa sababu zozote tusizozijua, kwanini asitumie diplomasia badala ya mtutu wa bunduki?

Nadhani tunashereheka hivi vita kama tunavyojipambanua kwenye ushabiki wa Simba vs Yanga.
 
Back
Top Bottom