Chombo Gani cha habari cha Kimataifa kinatoa habari za uhakika

Ukraine wana uhalifu gani? Hivi wafia dini mbona mnapendavkulalamika
 
Ukraine walihalifu nini?
 
Wafia dini kwa unafiki bwana mnapenda media ziisifie urusi kwa kuivamia ukraine mnapenda media ziwasifie hamas kwa kuua, kuwabaka, kuwateka wayahudi october 7 na media zilaani na kuiponda israel inapojitetea dhidi ya magaidi wenu wanatumia mwamvuli wa kidini
 
Yan Russia akichokozwa akatoa kichapo ni dhambi
Ila hao Nyoro Nyoro Ukraine wakivamia Russia ni Mashujaa
Tuwe serious kidogo
Urusi alichokozwa wapi wakati yeye ndio mchokozi aliyeanza kuwasaidia waasi kujitenga ukraine baadaye kaivamia ukraine anawaua waukraine pasipo hatia mnapata faida gani kutetea unafiki wa putin?
 
RT
 
Urusi alichokozwa wapi wakati yeye ndio mchokozi aliyeanza kuwasaidia waasi kujitenga ukraine baadaye kaivamia ukraine anawaua waukraine pasipo hatia mnapata faida gani kutetea unafiki wa putin?
Kwaiyo hao Maadui zake wamagharibi kutumia NATO kuweka pale Ukraine Mpakani sio uchoko, akae kimya aishije?
Wakati jirani kumkaribisha adui yake
 
Yan Russia akichokozwa akatoa kichapo ni dhambi
Ila hao Nyoro Nyoro Ukraine wakivamia Russia ni Mashujaa
Tuwe serious kidogo
Tupo serious.
Kwani aliyeanza 'kurusha ngumi' kwa mwenzake, namaanisha ni taifa gani lilianza kuvuka mpaka kuivamia nchi nyingine kimedani?

Kama kuna aliyechokozwa kwa sababu zozote tusizozijua, kwanini asitumie diplomasia badala ya mtutu wa bunduki?

Nadhani tunashereheka hivi vita kama tunavyojipambanua kwenye ushabiki wa Simba vs Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…