Chonde chonde dada yangu Lady Jaydee

Chonde chonde dada yangu Lady Jaydee

Teh teh teh, enzi hizo alikuwa under 18 huyo Salma hivyo hakutakiwa kugegedwa?
Shangaa na wewe hajui chuma tu ndo kinaliwa na kutu cha mtu kinaliwa na mtu....
ye ale tu et vyake visiliwe
 
Mshabiki wa Jide unamshauri mwanamuziki wako kucopycopy?

Sio dhambi. Ila ni namna ya kuwapa ladha mashabiki wako kwa namna nyingine, ndio maana hata nyimbo za nje nyingi ni lazima utakuta zina copy, mfano ALL OF ME, Ingia you tube uone copy zake, kuna copy(cover) jamaa amefanya mpaka watu wanasema hiyo ndio ilifaa kuwa original
 
Nguza Viking ni pedophile, yeye na wanawe wamefungwa jela kwa makosa ya kuwaingilia kimapenzi watoto wadogo. Kwa mtazamo wangu tu, nyimbo zake hazifai hata kusikilizwa na jamii ya watu wastaarabu, achana kurudia kuziimba tena.

Una hakika??
 
Babu Seya ni pedophile kwahiyo hafai katika jamii. Linapokuja swala la kuwaingilia watoto wadogo hakuna mahakama yoyote inayoweza kufanyia mzaa swala kama hilo. Pedophiles wamekuwa tatizo kubwa duniani, na sasa vyombo vya sheria duniani vinashirikiana kuwatia nguvuni na kuwapoteza kabisa.
 
nashangaa sana wanaotetea as if kitendo ni kizuri hiki..... cjui wangekua n watoto wao wamefanywa hivi bdo wangebisha na kutetea?:what:
 
Afrika na Asia bado hawako makini na swala linalowahusu pedophiles, lakini nchi za Ulaya kwasasa wanakamatwa sana. Kitu kingine media zetu hazina habari za kiuchunguzi ndio maana watu hawawezi kukubaliana na swala kama hili kiurahisi.
 
Wabongo tushawazoea kwa kucopy Diamond na mbwembwe zote "nitampata wapi" kumbe kamcopy Q chilla_ nitampata wapi kama yule.. Beat

mmeshaanzaa kazi kwenu sasa ehee!! embu wwka mashairi ya chilla na mondi tucompare na kucontrast hapa???
 
Utawaweza hao... yaani kwavile majina yamefanana, ndo tayari ame-copy; kichefu chefu tupu!! Hawajiulizi kwanini hata album za mbele zikitolewa utakuta kuna jina, kisha bracket na kufuatilia release year coz' wanafahamu majina lazima yatakuwa yanafanana tu! Hebu muulize... within 20 hours, Nitampata Wapi ya Diamond ina zaidi ya Viewers 110,000, hiyo ya Chilla ina viewers wangapi tangu iwe uploaded You Tube miaka sita iliyopita!!!?
 
Babu Seya ni pedophile kwahiyo hafai katika jamii. Linapokuja swala la kuwaingilia watoto wadogo hakuna mahakama yoyote inayoweza kufanyia mzaa swala kama hilo. Pedophiles wamekuwa tatizo kubwa duniani, na sasa vyombo vya sheria duniani vinashirikiana kuwatia nguvuni na kuwapoteza kabisa.

kweli wewe salamander
 
Nguza Viking ni pedophile, yeye na wanawe wamefungwa jela kwa makosa ya kuwaingilia kimapenzi watoto wadogo. Kwa mtazamo wangu tu, nyimbo zake hazifai hata kusikilizwa na jamii ya watu wastaarabu, achana kurudia kuziimba tena.

Kwani huo wimbo aliimba jinsi alivyokuwa anawaingilia hao watoto mpaka isifae kusikilizwa kwenye jamii zetu?
 
​Ndio, ukisikiliza vizuri nyimbo za Babu Seya kuna maneno huwa anatamka,"chiinja ndamaa!", we unafikiri alikuwa na maana gani?.
 
Back
Top Bottom