Chonde chonde dada yangu Lady Jaydee

Chonde chonde dada yangu Lady Jaydee

mmeshaanzaa kazi kwenu sasa ehee!! embu wwka mashairi ya chilla na mondi tucompare na kucontrast hapa???

Utawaweza hao... yaani kwavile majina yamefanana, ndo tayari ame-copy; kichefu chefu tupu!! Hawajiulizi kwanini hata album za mbele zikitolewa utakuta kuna jina, kisha bracket na kufuatilia release year coz' wanafahamu majina lazima yatakuwa yanafanana tu! Hebu muulize... within 20 hours, Nitampata Wapi ya Diamond ina zaidi ya Viewers 110,000, hiyo ya Chilla ina viewers wangapi tangu iwe uploaded You Tube miaka sita iliyopita!!!?

Katika uzi wangu sitaki kusikia habari za Dai, huu uzi ni wangu ninaumiliki mimi mwenyewe, ukitaka habari za MAMBA peleka kule kwe spesho siredi yake, mtakula ban sasa hivi.
 
We jamaa wa wapi wewe? Eti uzi wangu naumiliki mimii mwenyewe.... aaaaaaargh! Hao akuna Invisible wenyewe wakiandika thread watu wanaandika hata wasiyoyapenda wao, halafu wewe mzamiaji tu useme uzi ni wako? Uzi wako, sawa... na Jamii Forum ni yako? Hili ni Jukwaa huru, ukishaandika chochote huwezi kulazimisha watu wa-comment unachotaka wewe na kama ungetaka hivyo ungewatumia PM hao uliotaka kuongea nao kugha unayoitaka wewe!
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaahaaaaaaa! Nilikua nakupima wazimu tu mkuu, lakini nasisitiza tena na tena.
 
Ah! Na wewe sasa kupimana gani huko bhana... sema waambie hao wachangiaji warudi kwenye mstari manake naona wameachana na mada moja kwa moja na kuhamia kwenye issue ya Nguza na vibinti!
 
"ulinidanganya ukaniacha peke oooh saliiima........"
Kwa hiyo ndo ukaona basi tena... +kujumlisha na +msalaba, au x (eksi) na x (kuzidisha) zote ni sawa tu! Evelyn una mambo!!! Unaosemekana kugonjwa ni mchepuko... si unajua mheshimiwa enzi zake alikuwa mtu wa totoz... ukimrembulia, hakuachi hata kama baba ako ni rafiki yake!
 
Huyu nguza angetolewa tu jela dah, kitu cha mfungo maisha si mchezo
 
Kwa hiyo ndo ukaona basi tena... +kujumlisha na +msalaba, au x (eksi) na x (kuzidisha) zote ni sawa tu! Evelyn una mambo!!! Unaosemekana kugonjwa ni mchepuko... si unajua mheshimiwa enzi zake alikuwa mtu wa totoz... ukimrembulia, hakuachi hata kama baba ako ni rafiki yake!

ha ha ha nmeamini "hawara anauma kuliko mke" bora watu wakamue mke sio hawara eti ha ha ha sio mie nlosema lakini
 
Apige ngoma yake yeye kama yeye. Ngoma kama "siri yangu" ni ngoma kali mno ya kwake mwenyewe.
 
Katika uzi wangu sitaki kusikia habari za Dai, huu uzi ni wangu ninaumiliki mimi mwenyewe, ukitaka habari za MAMBA peleka kule kwe spesho siredi yake, mtakula ban sasa hivi.

aliyesema mondi kakopi kwa chilla umempa taarifa??? au umetuona sisi tuliomjibu tuu??? anza nae kwanza basi.
 
Nguza Viking ni pedophile, yeye na wanawe wamefungwa jela kwa makosa ya kuwaingilia kimapenzi watoto wadogo. Kwa mtazamo wangu tu, nyimbo zake hazifai hata kusikilizwa na jamii ya watu wastaarabu, achana kurudia kuziimba tena.
Leo unajisikiaje
 
Back
Top Bottom