Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Shangaa na wewe hajui chuma tu ndo kinaliwa na kutu cha mtu kinaliwa na mtu....Teh teh teh, enzi hizo alikuwa under 18 huyo Salma hivyo hakutakiwa kugegedwa?
Mama salma ni mtoto???
Mshabiki wa Jide unamshauri mwanamuziki wako kucopycopy?
wakati hao watoto wanaingiliwa ulikuwepo?
Haha Evelyn hakuwepo alisikia tu
wakati hao watoto wanaingiliwa ulikuwepo?
kama hukuepo umejuaje sasa...acha kupika maumbea kwan nani asojua kuwa nguza alikula salima
Nguza Viking ni pedophile, yeye na wanawe wamefungwa jela kwa makosa ya kuwaingilia kimapenzi watoto wadogo. Kwa mtazamo wangu tu, nyimbo zake hazifai hata kusikilizwa na jamii ya watu wastaarabu, achana kurudia kuziimba tena.
Una hakika??
Babu Seya ni pedophile kwahiyo hafai katika jamii. Linapokuja swala la kuwaingilia watoto wadogo hakuna mahakama yoyote inayoweza kufanyia mzaa swala kama hilo. Pedophiles wamekuwa tatizo kubwa duniani, na sasa vyombo vya sheria duniani vinashirikiana kuwatia nguvuni na kuwapoteza kabisa.
nashangaa sana wanaotetea as if kitendo ni kizuri hiki..... cjui wangekua n watoto wao wamefanywa hivi bdo wangebisha na kutetea?:what:
Wabongo tushawazoea kwa kucopy Diamond na mbwembwe zote "nitampata wapi" kumbe kamcopy Q chilla_ nitampata wapi kama yule.. Beat
Utawaweza hao... yaani kwavile majina yamefanana, ndo tayari ame-copy; kichefu chefu tupu!! Hawajiulizi kwanini hata album za mbele zikitolewa utakuta kuna jina, kisha bracket na kufuatilia release year coz' wanafahamu majina lazima yatakuwa yanafanana tu! Hebu muulize... within 20 hours, Nitampata Wapi ya Diamond ina zaidi ya Viewers 110,000, hiyo ya Chilla ina viewers wangapi tangu iwe uploaded You Tube miaka sita iliyopita!!!?mmeshaanzaa kazi kwenu sasa ehee!! embu wwka mashairi ya chilla na mondi tucompare na kucontrast hapa???
Babu Seya ni pedophile kwahiyo hafai katika jamii. Linapokuja swala la kuwaingilia watoto wadogo hakuna mahakama yoyote inayoweza kufanyia mzaa swala kama hilo. Pedophiles wamekuwa tatizo kubwa duniani, na sasa vyombo vya sheria duniani vinashirikiana kuwatia nguvuni na kuwapoteza kabisa.
Nguza Viking ni pedophile, yeye na wanawe wamefungwa jela kwa makosa ya kuwaingilia kimapenzi watoto wadogo. Kwa mtazamo wangu tu, nyimbo zake hazifai hata kusikilizwa na jamii ya watu wastaarabu, achana kurudia kuziimba tena.
kama hukuepo umejuaje sasa...acha kupika maumbea kwan nani asojua kuwa nguza alikula salima
sana tu,huwa haaribu.
Kwani huo wimbo aliimba jinsi alivyokuwa anawaingilia hao watoto mpaka isifae kusikilizwa kwenye jamii zetu?