Rozela
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 845
- 2,235
Pamoja na mifumo ya ulinzi waliyokuwa wanaitegemea Iran kupigwa na Askari WAKIKE wa Israel na kuharibiwa mpaka Iran wameogopa kujibu shambulizi, haikuieshia hapo.
Njia aliyokuwa anaitegemea Iran ya kupitisha silaha kuingiza nchini kwake imesha fungwa na mashambulizi yanayoendelezwa na Israel pale Syria si ya bahati mbaya.
Akiwa anahutubia kiongozi wa Iran leo ameonekana mnyonge sana, kwa wana saikolojia ukimwangalia anaonesha ana wasiwasi na hajiamini wala kujua mustakabali wake pale ukobazini.
WITO: USIMCHOKOZE ALIYE KUZIDI AKILI NA MAARIFA. UTAKUFA KIFO KIBAYA. ONA SASA JAMAA AMESHAANZA KUPATA STIMU ZA KUZIMU ILA HAJAJUA WATAMLIPUA KWA UKUNGU KAMA RAIS WAO AU ATAPIGWA KOMBORA KAMA WENGINE.